- 482
- 166 837
St. Anthony's Cathedral Tanga
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 11 เม.ย. 2022
Media hii inamilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Jimbo katoliki la Tanga. Hiki ni kitengo cha Habari cha Kanisa ambacho kinarusha Mafundisho mbalimbali ya kanisa kama vile Maadhimisho mbalimbali ya Misa ndani ya Jimbo la Tanga hivyo wote mlipo katika Kanisa Katoliki ndani ya Jimbo mnakaribishwa kuomba kurushiwa Maadhimisho ya Misa katika Parokia yenu
MISA TAKATIFU UZINDUZI WA JUBILEI YA DHAHABU YA SEMINARI YA MT. YOSEFU - SONI, JIMBOKATOLIKI TANGA.
Mpendwa mtazamaji wetu wa ST. ANTHONY'S CATHEDRAL TANGA karibu katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Uzinduzi wa Jubilei ya Dhahabu yaani miaka 50 ya Seminari ya Mt. Yosefu - Soni Lushoto, Jimbo Katoliki Tanga tarehe 18.01.2025 kuanzia saa nne kamili Asubuhi (04:00).
Misa hiyo inatarajiwa kuongozwa na Mhashamu Thomas John Kiangio Askofu wa Jimbo Katoliki Tanga.
Jiunge nasi kwa KUSUBSCRIBE Channel yetu ya St. Anthony's Cathedral Tanga ili uweze kupata Taarifa na Matukio Mbalimbali MUNGU AKUBARIKI SANA.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Karibu Mpendwa katika kitengo hiki cha habari kinachomilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Chumbageni Tanga. Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao ya kijamii
INSTAGRAM:- st.anthony'scathedraltanga
FACEBOOK:-st.anthony'scathedraltanga
TIKTOK:-st.anthony'scathedraltanga
Mawasliano:-
St. Anthony's Cathedral Tanga Media
S.L. P 84 Tanga,
0672 350 777
st.anthonymedia12@gmail.com

มุมมอง: 260
วีดีโอ
HOMILIA YA MISA TAKATIFU YA UZINDUZI WA JUBILEI YA DHAHABU YA SONI SEMINARI
มุมมอง 16414 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Karibu Mpendwa katika kitengo hiki cha habari kinachomilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Chumbageni Tanga. Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM:- st.anthony'scathedraltanga FACEBOOK:-st.anthony'scathedraltanga TIKTOK:-st.anthony'scathedraltanga Mawasliano:- St. Anthony's Cathedral Tanga Media S.L. P 84 Tanga, 0672 350 777 st.anthonymedia12@gmail.com
Uzinduzi wa Jubilei ya Miaka 50 ya Soni Seminari
มุมมอง 24921 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Uzinduzi wa Jubilei ya Miaka 50 ya Soni Seminari
MISA YA SHUKRANI YA PD. S. MSUYA KUTOKA NYUMBANI KWAO M/MARETII P/TEULE MWEMBE JIMBO KATOLIKI SAME.
มุมมอง 60428 วันที่ผ่านมา
Mpendwa mtazamaji wetu wa ST. ANTHONY'S CATHEDRAL TANGA karibu katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Shukrani ya Padre Stephano Edward Msuya kutoka Nyumbani kwao Mwembe - Maretii, Parokia Teule ya Mt. Agustino Mwembe -Jimbo Katoliki Same Jana tarehe 27.12.2024 kuanzia saa tano kamili Asubuhi (05:00). Misa hiyo inatarajiwa kuongozwa na Padre Stephano Edward Msuya na Homilia imetolewa na Mheshimiw...
HOMILIA YA MISA YA SHEREHE YA NOELI KUTOKA MHA. THOMAS JOHN KIANGIO ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI TANGA
มุมมอง 72หลายเดือนก่อน
HOMILIA YA MISA YA SHEREHE YA NOELI KUTOKA MHA. THOMAS JOHN KIANGIO ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI TANGA
MASIFU NA MISA TAKATIFU YA USHEMASI NA UPADRISHO JIMBO KATOLIKI TANGA 03-04/12/2024 KARIBUNI WOTE
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
MASIFU NA MISA TAKATIFU YA USHEMASI NA UPADRISHO JIMBO KATOLIKI TANGA 03-04/12/2024 KARIBUNI WOTE
HOMILIA YA PADRE F. MBUYA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 29 MWAKA B WA KANISA KUTOKA KANISA KUU
มุมมอง 753 หลายเดือนก่อน
HOMILIA YA PADRE F. MBUYA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 29 MWAKA B WA KANISA KUTOKA KANISA KUU
SALAMU KUTOKA KWA PAPA FRANSCISKO ZIKIWAKILISHWA NA BABA WA BABA MTAKATIFU TANZANIA
มุมมอง 904 หลายเดือนก่อน
SALAMU KUTOKA KWA PAPA FRANSCISKO ZIKIWAKILISHWA NA BABA WA BABA MTAKATIFU TANZANIA
RAIS WA TEC MHA. ASKOFU PISA ATANGAZA MWENYEJI WA KONGAMANO LA EKARISTI 2028
มุมมอง 464 หลายเดือนก่อน
RAIS WA TEC MHA. ASKOFU PISA ATANGAZA MWENYEJI WA KONGAMANO LA EKARISTI 2028
MAKAMU WA RAIS WA TEC ATOA TAMKO LA MAASKOFU JUU UTEKAJI NA MAUAJI YALIYOTOKEA HAPA NCHINI TANZANIA
มุมมอง 974 หลายเดือนก่อน
MAKAMU WA RAIS WA TEC ATOA TAMKO LA MAASKOFU JUU UTEKAJI NA MAUAJI YALIYOTOKEA HAPA NCHINI TANZANIA
HOTUBA YA NAIBU WAZIRI MKUU MH. DOTO BITEKO MBELE YA MAASKOFU WALIOIBUA HOJA YA WATEKAJI NA WAUAJI
มุมมอง 564 หลายเดือนก่อน
HOTUBA YA NAIBU WAZIRI MKUU MH. DOTO BITEKO MBELE YA MAASKOFU WALIOIBUA HOJA YA WATEKAJI NA WAUAJI
MISA TAKATIFU YA UFUNGUZI WA KONGAMANO LA INJILI KATIKA VIWANJA VYA KARISMATIKI CHUMBAGENI- TANGA.
มุมมอง 1464 หลายเดือนก่อน
MISA TAKATIFU YA UFUNGUZI WA KONGAMANO LA INJILI KATIKA VIWANJA VYA KARISMATIKI CHUMBAGENI- TANGA.
KARIBUNI KWENYE KONGAMANO KUBWA LA INJILI KATIKA VIWANJA VYA KARISMATIKI CHUMBAGENI
มุมมอง 614 หลายเดือนก่อน
KARIBUNI KWENYE KONGAMANO KUBWA LA INJILI KATIKA VIWANJA VYA KARISMATIKI CHUMBAGENI
KATIBU MKUU WA JIMBO LA TANGA UTANDAWAZI UTUSAIDIE KWA AJILI YA SIFA NA UTUKUFU WA MWENYEZI MUNGU
มุมมอง 315 หลายเดือนก่อน
KATIBU MKUU WA JIMBO LA TANGA UTANDAWAZI UTUSAIDIE KWA AJILI YA SIFA NA UTUKUFU WA MWENYEZI MUNGU
Mh. Padre Benedicto Nyangao akitoa furaha yake baada ya Kigango cha Majani mapana kuwa P. tarajiwa
มุมมอง 915 หลายเดือนก่อน
Mh. Padre Benedicto Nyangao akitoa furaha yake baada ya Kigango cha Majani mapana kuwa P. tarajiwa
UJUMBE WA WATOTO WA SHIRIKA LA KIPAPA LA UTOTO MTAKATIFU KWA WAAMINI WOTE NA JAMII KWA UJUMLA
มุมมอง 1755 หลายเดือนก่อน
UJUMBE WA WATOTO WA SHIRIKA LA KIPAPA LA UTOTO MTAKATIFU KWA WAAMINI WOTE NA JAMII KWA UJUMLA
WATOTO WA SHIRIKA LA UTOTO MTAKATIFU P. TARAJIWA YA MT. K/LWANGA WALIA NA WAZAZI JUU YA MALEZI YAO
มุมมอง 2355 หลายเดือนก่อน
WATOTO WA SHIRIKA LA UTOTO MTAKATIFU P. TARAJIWA YA MT. K/LWANGA WALIA NA WAZAZI JUU YA MALEZI YAO
Tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Wamasai Ngorongoro
มุมมอง 2.9K5 หลายเดือนก่อน
Tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Wamasai Ngorongoro
KWAYA YA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI KUTOKA KANISA KUU LA MT. ANTHONY WA PADUA - JIMBO LA TANGA.
มุมมอง 2595 หลายเดือนก่อน
KWAYA YA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI KUTOKA KANISA KUU LA MT. ANTHONY WA PADUA - JIMBO LA TANGA.
ROZARI TAKATIFU KUTOKA OFISI ZA ST. ANTHONY MEDIA
มุมมอง 78 หลายเดือนก่อน
ROZARI TAKATIFU KUTOKA OFISI ZA ST. ANTHONY MEDIA
USHEMASI JIMBO KATOLIKI TANGA TAREHE 30.05.2024 KARIBUNI WOTE
มุมมอง 4108 หลายเดือนก่อน
USHEMASI JIMBO KATOLIKI TANGA TAREHE 30.05.2024 KARIBUNI WOTE
SIKU YA KWANZA YA JUMA KWAYA YA MT. YOSEFU KUTOKA PAROKIA YA BIKIRA MARIA NYOTA YA BAHARI PANGANI
มุมมอง 2059 หลายเดือนก่อน
SIKU YA KWANZA YA JUMA KWAYA YA MT. YOSEFU KUTOKA PAROKIA YA BIKIRA MARIA NYOTA YA BAHARI PANGANI
MAPOKEZI YA MHASHAMU THOMAS J. KIANGIO PAROKIANI POTWE
มุมมอง 1789 หลายเดือนก่อน
MAPOKEZI YA MHASHAMU THOMAS J. KIANGIO PAROKIANI POTWE
JE? UNAFAHAMU WA JIBU WA UONGOZI WA HALMASHAURI YA WALEI
มุมมอง 819 หลายเดือนก่อน
JE? UNAFAHAMU WA JIBU WA UONGOZI WA HALMASHAURI YA WALEI
KWAYA YA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI(BMM) KUTOKA KANISA KUU LA MT. ANTHONY WA PADUA - TANGA
มุมมอง 1949 หลายเดือนก่อน
KWAYA YA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI(BMM) KUTOKA KANISA KUU LA MT. ANTHONY WA PADUA - TANGA
KWAYA YA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI (BMM) KUTOKA KANISA KUU LA MT. ANTHONY WA PADUA- TANGA
มุมมอง 2479 หลายเดือนก่อน
KWAYA YA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI (BMM) KUTOKA KANISA KUU LA MT. ANTHONY WA PADUA- TANGA
MAMA MARY SINGANO MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WALEI JIMBO AWATAKIA WAAMINI WOTE HERI ZA PASAKA
มุมมอง 679 หลายเดือนก่อน
MAMA MARY SINGANO MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WALEI JIMBO AWATAKIA WAAMINI WOTE HERI ZA PASAKA
PD. GERARD KABAREGA GOMBERA WA SEMINARI NDOGO YA SONI WATAKIA WAAMINI WOTE HERI NA BARAKA ZA UFUFUKO
มุมมอง 639 หลายเดือนก่อน
PD. GERARD KABAREGA GOMBERA WA SEMINARI NDOGO YA SONI WATAKIA WAAMINI WOTE HERI NA BARAKA ZA UFUFUKO
MSEMINARI AKISAIDIANA NA PD. SEMNG'INDO KUIMBA MBIU YA PASAKA KANISA KUU
มุมมอง 4019 หลายเดือนก่อน
MSEMINARI AKISAIDIANA NA PD. SEMNG'INDO KUIMBA MBIU YA PASAKA KANISA KUU
PD. JOSEPH SEKIJA MWENYEKITI WA UMAWATA JIMBO LA TANGA AKITOA SALAMU ZA PASAKA KWA NIABA YA MAPADRE.
มุมมอง 939 หลายเดือนก่อน
PD. JOSEPH SEKIJA MWENYEKITI WA UMAWATA JIMBO LA TANGA AKITOA SALAMU ZA PASAKA KWA NIABA YA MAPADRE.
Hongereni sana
Misa inaadhimishwa wapi, msoma tangazo hujasema
Hongera sana Fr.kalatunga mwenyezi Mungu akuimarishe akujalie afya njema itakayokuwezesha kufanya kazi yake popote na katika Shamba.lake.
Hongera Fr. Kalatunga...Mwenyezi Mungu akuongoze katika utume ndani ya Kanisa
Hongera sana padre mpya Andrew Kalatunga. Mungu akuongoze katika utume huo mpya katika shamba lake.
Hongera father
Hongera Pd Andrew
Hongera Fr.Andrew Kalatunga
❤❤❤❤
Hongera Sana Kaka msuya mungu mwema akubariki Katika utume huo mtakatifu
Hongera sana pd msuya misa imependeza mungu akupe afya njema yakuwezakuanza utume huo mpya
🎉❤🎉❤🎉🎉
❤❤🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤❤🎉🎉🎉
🎉🎉🎉❤❤❤
Inapendeza sana
❤❤❤❤❤
Imependeza lbada safi sana
waoooo🎉🎉🎉
Hamida Rajabu asnte kwa kutufuatilia
Hongera sana pd Shekidele,Mungu akuongoze katika utume wako.
Mungu Ni mwema sana kila wakati Tumsifu Yesu Kristo pamoja Nawapata live kutoka Bungoma county Kenya.Tuko pamoja katika Misa hii
Asante Mungu wa Mbinguni kupata padre mpya Godfrey.Niombee sana nifikie nami malengo yangu ya usister spain.
upo spain mji gani?Karibu sana ujerumani,unaweza kuniandikia kwa anuani hiyo sr.mtarajiwa,Mungu akubariki,nitakuja kwa nadhiri zako ukinialika.
Hongera sana Fr. Samweli Shekidele. Mungu akutie nguvu ktk utume wako.mpya
Fath Samwel,Mungu akutangulie ktk utume ulioitiwa.Tumsifu yesu kristo.
Hongera sana Fr.Samwel kwa kuijongea altare ya Bwana🎉🎉🎉
Hongera sana Fr Shekidele
Hongereni sana wakatilik wote ulimwenguni myngu yu pamoja nasi
Amina sana
Fr cyril hongera sana kaka yangu umehubiri vzr mnoooo
Hongera sana Fr. Mungu akubariki sana na aendelee kukutegemeza kila iitwapo leo
Hongera sana Fr. Mushi Mungu akuongoze ktk utume wa ukuhani.
Fr. Godfrey Hongera sana. Mungu akulinde. Inapendeza. Ni Neema kwetu
Ni Neema za Mungu kwa parokia ya Roho Mt. Mango, na kanisa kwa ujumla
Hongera sana Fr. Sirili umehubiri vzr sana. Mungu aendelee kukubariki na kukutunza ktk wito wako
Koocha Mushi, koocha Mbe 👏👏👏👏
Hongera sana Fr Godfrey 🎉🎉 Mungu akulinde,akutunze na akupe afya njema ktk utume na maisha yako ya utume 🎉🎉🎉
Hongera sana Fr,Mungu wambinguni akulinde na kukutunza katika utume
Hongera father
Mungu akubariki sana Fr Mushi
Koocha Mushi🎆🙏
Hongera fr. Gody Mungu akutunze katika utume wako
Hongera sana fr
Amina
Tunamshukuru Mungu tulimaliza vizuri, Mambo yalienda vizuri sana❤
parokia yetu iliyotulea..namuona Katekista wetu wa tangu enzi hio mwalim Charles
Hongera sana Rev. Fr. Peter Owino. Mungu aendelee kukubariki na kukutunza ktk wito wako
Hakika inavutia sana
Kongole kwako Fr Owino
Mwenyezi mungu amuongoze ktk kazi yake ya utume Fr Owino
Mungu akazidi kutenda nae katika wito wake, Hongera sana Fr Peter Owino
Hongera kwake Baba Peter Mungu akutangulie katika wito wako. Hongera Kwa kwaya mmeupiga mwingi
Hongera Kaka pandre peter mungu akubariki Sana Katika utume wako
Hongera sana