Dah! Huo ni uchawi, mtoto wa mwenzio kumtabiria anaharibika? Haya sasa ameonekana kwenye nyimbo tu amelipwa milioni kumi na tano na anakuwa namba moja shule. Haka katoto kanajielewa sana.
Ifikie mahali tuelewe kwamba maneno si matendo kwani akiimba izo nyimbo za mapenz zinafanyaje Ni nyimbo tu unataka kunambia shamsa haijui dini hpn sio hivi muache akikuze kipaji chake usimpe shid zuchu wetu
Huu ni msiba! Atamuimbia rais wake kuhusu mapenziii.dah wazazi tuna kazi mbele ya muumba wetu. Tupelekeni watt wetu kusoma dini wallahi .Allah tuongoze wazazi wote.
Nakupenda baby zuchu 😘
Mhhhh uyu mtoto jamani mungu amtunze na kumuepusha na husda
Huyu kyoto ni balaa
Dunia Ina mambo halafu mzazi hapo anaona kapata maisha mtt anahalibika jamani
Dah! Huo ni uchawi, mtoto wa mwenzio kumtabiria anaharibika? Haya sasa ameonekana kwenye nyimbo tu amelipwa milioni kumi na tano na anakuwa namba moja shule. Haka katoto kanajielewa sana.
Allah akbar
Best nasoo
Mmh kwamiaka umedanganya sema hujui. Umri. Wako
Kama miaka kumi
Mfundisheni mtoto maadili mema
Aende shule dogo
Pambana bint
😀😃😄😆
😅😅
😍😍
Mtoto mdogo Ana maring dunia imeisha hao ni wazaz malezi mabovu
Las sana
Xxxx
Uongo
Nampenda Kitoto baby zuchu kinajiamin kinahakiri
May God protect you baby zuchu much love for you ❤️ 💗 💕 ♥️
Mashallah kwa kipaji
Wow,,,much love ❤❤to you baby zuchu ,,good job,,,mungu akulinde vyema ,
Good girl god bless you
Nakupenda sana dad zuchu
Ifikie mahali tuelewe kwamba maneno si matendo kwani akiimba izo nyimbo za mapenz zinafanyaje Ni nyimbo tu unataka kunambia shamsa haijui dini hpn sio hivi muache akikuze kipaji chake usimpe shid zuchu wetu
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
Tusapotiane kwa kusubscribe
Nakapenda xan aka katoto jaman nakubal San dogo janja
❤❤❤safi zuchu baby nakupenda sana
We ndio umeona akili hiyo
Nakupenda Sana beby zuu natamani siku moja kufanya kazi na wewe
I like vile unafany 🎉🎉🎉🎉❤❤
I really enjoyed your fun
Mtoto nampenda sana
Mtoto anaakil huy
Mtoto anaakil huy
Be by z uchuuu💛💛💛💛💓👍
Huu ni msiba! Atamuimbia rais wake kuhusu mapenziii.dah wazazi tuna kazi mbele ya muumba wetu. Tupelekeni watt wetu kusoma dini wallahi .Allah tuongoze wazazi wote.
Haaaaaaaaaaaaa
Salma ❤
Nakupenda zuch baby ❤❤❤
Mashalha
Uko vizr zuchu baby
zuchu baby ametisha
Kaswida
Zuchu
Love this gal
MaaShaAllah
Zuchu
Mtot alelewe maadiri mazuri sio ayo mama kua na bidii ya kulea mtoto
Jaman hapo tushampoteza hamna mtoto hapo
Mshenz wew uloandika Eti mtoto mwenye akili kuliko wote
Labda watoto wako ndo hawana akili
😆😆
Kweli watoto wake hawana akili, ndo maana kasema hivyo
Amna kitu mtoto anajua mapenz na kujichekesha mmh atal.
maashaalah,but hiyo malezi ambayo wameleleya huyo mtoi si poa ,rekebisha mtoto mamake poa.tafadhali,miaka nitano na mapenzi ashajua subhanalkah
Mmh sioni akili mie hspo muelekeze maadili mazuri jamani dini ndo kipa umbele kwake si nyimbo za mapenzi
we mtoto umri huo unaimba mapenzi! duuh! sasa wewe mapenzi unayajua? Yesu akusaidie
Mungu akuxaidie mtto mdogo maneno hayo
Baby zuchu