Nguvu iliyopo kwenye huu wimbo sio ya kawaida 🛐🛐, I bless Lord for you kaka boaz, wewe hauimbi tuu bali unahubiri neno la Mungu kupitia nyimbo nzuri na zenye nguvu ya Mungu 🙌🙌
Ufunuo Wa yohana 9:11-15 Brother Boaz Danken Neema yake BABA YETU WA MBINGUNI izidi kuwa Nawe katika utumishi waoooo.. Hallelujah Yesu anastahili kupokeaa Utukufu na Heshima.yeshua amashia hakuna kama WEWE
I am deeply grateful to GOD for the gift of Boaz Danken. May He bless you with a long and fulfilling life so we can continue experiencing the overflow of His anointing in you. 🙌✨🙏
Hallelujah Mtumishi kaka Boaz!! Wimbo huu unaanza kwa kuelezea YESU atakavyokuja na watakatifu...na kutawala miaka 1000 kama mfalme...na makao makuu yake itakuwa pale Yerusalemu. (Ufunuo 19:11). Wimbo unaendea kwa kumuabudu na kumwambia Yesu ni nani kwetu.... Tunakuabudu Yeshua Hamashiah....UNAWEZA YESU TUOSHE KWA DAMU YAKO...tuwe safi TUTAWALE PAMOJA NAYE MIAKA 1000.(Baada ya dhiki kuu ya miaka 7).
Lord receive all the glory this far just by your grace grant us a successful 2025 let your favour and grace be with us deliver us from all evils I surrender myself and my family and the year ahead to you! Jesus I trust in you
Brother, I salute the talent and the Spirit of God who operates in you. Najihisi niko Mbingu za juu kabisa. Bwana akuinue tena na tena, nakuombea kaka. Mashairi yako yana maudhui ya juu sana. Be blessed more and more. I love Jesus, you serve my brother.
Kaka Danken sijui niseme nini juu yako ila tu najua neno moja Mungu yu pamoja na wewe mbaka machozi ya furaha na matumaini ya nguvu yanatoka huu wimbo ni baraka ya mwaka mzima wa 2024 na kickstart ya 2025 Mungu ni Mkuu sana Ubariwe na yeye Awezaye Kutubariki. Asalam nakusalimu Karibu Kiboje Zanzibar
For those struggling financially usikate tamaa.. mtumaini Mungu ktk kitu unachokifanya maana kabla mwaka haujaisha, hakika bwana atakuonesha kuwa anaweza kukutajirisha with unlimited favour of money! Huu ni mwaka wako wa kushine. Keep trusting God
Namshukuru Mungu kwa ibada hii. Ina historia sana kwenye maisha yangu. Ilinipa kupata kitu nitakachodumu nacho maisha yangu yote..... Asante Yesu kwa hicho🎉🎉🎉
Sina chakusema ila niseme neno moja boaz unatuheshimisha sana Tanzania nasema hivi kwakuwa najua Mungu ulienae hawezi kuruhusu kiburi kikainuka ndani yako ila zaidi utukufu kwa Mungu anaekutumia na Azidi kukutumia mpaka milele yote Ameeeeni .
Wa kwanz kabisa ...naombeni likes apa...
Nguvu iliyopo kwenye huu wimbo sio ya kawaida 🛐🛐, I bless Lord for you kaka boaz, wewe hauimbi tuu bali unahubiri neno la Mungu kupitia nyimbo nzuri na zenye nguvu ya Mungu 🙌🙌
With Heavenly God Grace we will Be here in 20 Years to come yaani 2044 And we will rejoice in God with This Song again.
Wimboo huu ni motoooo Mungu azidi kukuinua mtumishii
Who is here in 2025 ❤
Very powerful song 🎉❤
ABSOLUTELY BEAUTIFUL SONG....beyond words.🎉❤
Yeshua Hamashiach is indeed the Almighty God.
This song is timely. A season of New Jerusalem. Rev 19.... Wow.... The year of seeing our Lord Jesus Christ face to face 🙏🙏🙏🙏
Huu wimbo,, mpaka naogopa kuusikiliza wote,,Umejaa utukufu wa Mungu😭🙌
Jesus Jesus Jesus Christ. See these true heart of praise before you, and heal our land.
Ufunuo Wa yohana 9:11-15
Brother Boaz Danken Neema yake BABA YETU WA MBINGUNI izidi kuwa Nawe katika utumishi waoooo..
Hallelujah Yesu anastahili kupokeaa Utukufu na Heshima.yeshua amashia hakuna kama WEWE
YESHUAH pekee ndiye wa kuabudiwa 🙌🙌🙏🙇🙏🙌🙌
Hallelujah MUNGU tuvushe Salama Mimi na huyu anayesoma ujumbe huu tuione 2025 kwa ushindi AMEN
Amen na imekua
@SMEDIA298 hakika MUNGU ni mwema sana
I am deeply grateful to GOD for the gift of Boaz Danken. May He bless you with a long and fulfilling life so we can continue experiencing the overflow of His anointing in you. 🙌✨🙏
Hallelujah Mtumishi kaka Boaz!!
Wimbo huu unaanza kwa kuelezea YESU atakavyokuja na watakatifu...na kutawala miaka 1000 kama mfalme...na makao makuu yake itakuwa pale Yerusalemu. (Ufunuo 19:11).
Wimbo unaendea kwa kumuabudu na kumwambia Yesu ni nani kwetu....
Tunakuabudu Yeshua Hamashiah....UNAWEZA YESU TUOSHE KWA DAMU YAKO...tuwe safi TUTAWALE PAMOJA NAYE MIAKA 1000.(Baada ya dhiki kuu ya miaka 7).
Lord receive all the glory this far just by your grace grant us a successful 2025 let your favour and grace be with us deliver us from all evils I surrender myself and my family and the year ahead to you! Jesus I trust in you
Yeshua hamashiach hakuna kama wewe🙌🙌🙌
MUNGU aendelee kuinua huduma hii ya mtumishi Boaz nyimbo zake Zina uwepo was MUNGU ndani yake nfurahi kusikiliza
Woooo,,,,very powerfull song be blessed man of GOD❤❤❤
Asante Yesu mwingine kama wewe hakuna. Bwana Yesu akubariki mtumishi Boaz .. This is indeed Heavenly!!! 🙏
FINALLY THIS SONG HAS BEEN BLESSING MY HEART EVER SINCE THE AUDIO CAME OUT😭😭😭😭😭!
UPAKO🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Very nice song nipitie pia
Merci père Dieu pour le souffle de vie 👏 akuna kama wewe baba
God is so creative. I am always in awe of the outpouring in this man of God’s ministration. Glory to God. Thanking him for your life Boaz Danken❤❤❤
Perfect description of Who JESUS is , THE GREAT and MIGHTY KING forever Hallelujah.
Mungu azidi kukuinua katika utumishi wako Pastor Boaz Danken
Listen at the break of the new yr 2025.Masterpiece,it's so amazing product of the secret places of God.#puregospel #
Mtumishi uiniliwege tuu sana huu wimbo umejaa Roho sana
It's a very powerful song.. I'm blessed
Huyu Boaz ni fundi mziki kwelikweli....Mungu akubariki sana mtumishi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mafuta mazito. Moto mwingi sana. Mbarikwe watumishi wa Mungu kwa kazi hii. Hongereni sana ❤🤩
Mungu akubariki Sana Mtumishi WA Mungu, huu wimbo NI nguvu Sana, si Tu Una nguvu za Mungu Bali WENYEWE pia NI nguvu
Asante yesu nimebarikiwa Sana na wimbo huu barikiwa mtumishi
Glory to YESHUA
There's none like You 🔥🔥🔥
Hallelujah hallelujah 🙏🙌
Eeeeh eeeeh Hakuna kama wewe YESHUA HAMASHIAH 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kazana Baba mtumishi yesu yuko enzini anaifurahia kazi yako
Brother, I salute the talent and the Spirit of God who operates in you.
Najihisi niko Mbingu za juu kabisa.
Bwana akuinue tena na tena, nakuombea kaka.
Mashairi yako yana maudhui ya juu sana.
Be blessed more and more.
I love Jesus, you serve my brother.
2025 the year of all gospel artist. To sing new song that will lead many to Christ l tap the Grace of this song
Jina la yesu litukuzwe milele yote hakik wew ni mwema tunakup sifa na heshima milele daima❤
Kaka Danken sijui niseme nini juu yako ila tu najua neno moja Mungu yu pamoja na wewe mbaka machozi ya furaha na matumaini ya nguvu yanatoka huu wimbo ni baraka ya mwaka mzima wa 2024 na kickstart ya 2025 Mungu ni Mkuu sana Ubariwe na yeye Awezaye Kutubariki. Asalam nakusalimu Karibu Kiboje Zanzibar
Asante Yesu, pokea utukufu na heshima, Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu Boaz, uzidi kuwa baraka kwa wengi, Haleluya
Very powerful song... Revealing Jesus Messiah. Barikiwa Sana Boaz
Haleluia haleluia haleluia
Ooh i can see the over flow of the holy ghost through this song
Hakuna kama wewe
Pumzi yake ni uponyaji🙌 🙏
Amen amen ndio yesu kristo akuna kama wewe
2025 abundant blessings is our portion.
Hakika anastahili..Hakuna kama yeye- Yeshua.
More grace minister Boaz.
Hii tutaimba Word Explotion 2025. Karibu tena mtumishi.
The Lyrics are too heavy and glorious 🙌🙏
Na ikawe hivyo kwenye maisha yangu 2025 Yeshuah amashiah hakuna kama ww kwenye mbingu zangu 💯
For those struggling financially usikate tamaa.. mtumaini Mungu ktk kitu unachokifanya maana kabla mwaka haujaisha, hakika bwana atakuonesha kuwa anaweza kukutajirisha with unlimited favour of money! Huu ni mwaka wako wa kushine. Keep trusting God
Amen amen itake this favour in 2025
Truly Brother Boaz you are a true worshipper. Bwana azidi kuipanua mipaka yako.
Hakika Mungu anaachilia kalama mbalimbali kwa watu Mungu agutumie kama chombo chake amina
Who's here in 2030?❤ glory be to God
Here 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Halleluya! Halleluya! Halleluya!
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu Aliye Hai
Namshukuru Mungu kwa ibada hii. Ina historia sana kwenye maisha yangu. Ilinipa kupata kitu nitakachodumu nacho maisha yangu yote..... Asante Yesu kwa hicho🎉🎉🎉
Amen, hakika hakuna kama Yeshua Hamashiach, utukufu wote ni Wako❤
Aminaaa , hakuna kama yeye . Ni yeye ndie aliyekuwako na yupo na atakayekuwapo mwenyezi. Kwa hakika hakuna kama yeye , yeye ndie Yeshua
Mungu akubariki mtumishi wake , binafsi nabarikiwa sana na uimbaji wako🎉🎉🎉
Thank you Jesus Christ 🙏
GLORY TO JESUS CHRIST.
Hallelujah Hosana. Mungu akubariki kwa huduma njema kaka Boaz na team
🙏🙏🙏🙏Mungu Asante kwa kutuumba kwa jinsi ya Ajabu Yesu Nakupenda,Roho Mtakatifu wewe ni mzuri unatujari barikiwa ♥️♥️♥️this song 🔥🔥
Nyimbo zinaupako wa kipekee sana 🎉
❤ wastahili kupokea utukufu na heshima… 2025 a good year
Blessings 🙌 🙌 🙌 ❤️ 🇺🇸
Mungu akubariki san mtu wa Mungu kwa wimbo mzuri
Hallelujah hallelujah hallelujah
Glory be to God 😭😭
Heaven Song this is🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mungu wa mbinguni apandishe huduma iyi daima
Boaz be blessed... You always sing JESUS and his fullness ❤❤
Glory to God 🙏🙏
Mungu azidi kukubariki sana mtumishi wa Mungu Boaz
Glory Hallelujah!
The power of the Lord moves 🙌
Halleluyaaaaa nilikuw nauaubil sana..MUNGU kakucahugua umtumikie kweli akujaze roho mtakatifu zaidi❤
Nilichochukua kwako jana kikubwa you have a powerful unanguvu ya Mungu yesterday nimeona kitu kikubwa saana kwako wewe ni mnyenyekevu saaana
Blessed 🙏 from Kenya 🇰🇪, likes zikuje
Nyimbo na mavazi bubujiko lazima😢🎉🎉🎉
Oh Jesus 🙌🙌🙌
Mtumishi Boaz mungu akubariki zaidi. This song so powerful 🎉
Dankan Mungu azidi kukutumia, wow namaliza mwaka na ushindi, Yesu pokea utukufu na heshima
Oh yes 😭😭🕊️🕊️
Glory to Jesus forevermore
Hallelujah utukufu kwa bwanaaa
Amen Amen Amen ❤🎉
The way I love your ministration Mtumishi!! +254 tunakupenda sana
Wimbo mzuri wakutukumbusha unyakuo unakaribia.
Wana Tanzania msipo muonyesha bwana Dankeni mapenzi, tutamchukua aje Kenya 🇰🇪
Glory to King Jesus.
I am touched.
Asante Mwoyo Mutakativu
Hallelujah
Yesu ametukuzwa🙌
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 glory to Jesus...❤❤❤❤
We love the song and give it a like before we finish listening
Sina chakusema ila niseme neno moja boaz unatuheshimisha sana Tanzania nasema hivi kwakuwa najua Mungu ulienae hawezi kuruhusu kiburi kikainuka ndani yako ila zaidi utukufu kwa Mungu anaekutumia na Azidi kukutumia mpaka milele yote Ameeeeni .
Yesu Unastahili 2025🙌🙌
Boaz Dunken Mungu akubariki sana
Hakuna kama wewe Yesu
Nime❤ sana sifa za yeshua
Barikiwa mtumish sana❤❤❤❤👏👏👏👏👏👏
Hakuna kama Yeshua!