Hawa TH-cam wanaleta movie huku lazima wapitie comment ili wajue tunapenda movie lkn muda wao ni mdg kwahyo wakiona malalaliko ya aina moja wataskia lkn haya majitu huku nipen like zangu cjui yapoje
C mikwara kwel wapemba warabu koko wabaya sana walai uchawi kwao n kunusa wao hutumia vitabu uchawi kwao n kama chakula mwenyewe baba baihalamu Simba ashajua kama kuna janga kubwa sana laja kwakwe kuathiri familia yake
Mnaona sasa wazazi wetu nyinyi kwa upande wa baba zetu mnazaa ovyo mnatupa wakati mgumu sana unajikuta unatembea na kaka ako bila kujua hili ni fundisho kiukweli
Dinho is fighting for his brother to recover; ordering his father-in-law to cure his brother, but I think he is playing with fire better for him to take the advice of his wife, Mariam..so Mariam was right ✅ that is the only solution .😢❤
Brother 🧉🤣 don't play with tribe 😭😔 called wapemba they are very tough 💪 wizard 🪄 and most witchcraft evils so father baihalamu actually from his own spirit he has seen something will come to him and happen destroyed his families but actually 😭😭 the one who will find solutions and preventing is mariamu and baihalamu don't play with this tribe wapemba warabu koko they are seriously wen it comes to witchcraft and wizards evils 🎉
Kaka yake dinho alifwata maneno ya kuambiwa, na wahenga wanasemaga 😢 maneno yakuambiwa changanya na ya kwako ili upate mshimamo zaidi😮😊❤ much love from congo🇨🇩
Dhino usilipizie kisasi chako kwa mkeo hiyo sio vzuri kbsaa huyo kakako aliyataka mwenyewe n ujue mariam n mke bora kwako huo Emmy ni shirki TU San utkuja kujuta 😢hili ni funzo kbsa❤
Mara hio hio mm Ndio wa kwanza Leo nipeni kumi sio tanto Asanteni🎉🎉
Mkemweñzà inazid kupamba moto❤❤❤, 🇹🇿
Waoooooo wa mwesho mm leo like zanqu jmn❤️❤️❤️❤️🤣🤣
Team mzee simba gonga like hapa,afu tusubil waarabu watuonyeshe😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂
😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂
Haya na mie wamwisho sasa😅mana kila mmoja wakwanza ety😂😂
Naomba likes hata kama 1,too much ❤️❤️❤️ from dammam Saudi Arabia
Like za nn Yan watu washindwe kuwapa wenye movie yao wakupe ww Yan mnaboa na kuomba milike yenu bhn Kwan hamjui kuongea mengne bhn
Mnashindwa kujadil movie n'a kuomba watuongezee muda kdg mnagombaniq wa kwanza n'a like upuuz
Waambiye maana mimi nilisha choka 😢😢
Kwari kabisa umeongea point❤
Hawa TH-cam wanaleta movie huku lazima wapitie comment ili wajue tunapenda movie lkn muda wao ni mdg kwahyo wakiona malalaliko ya aina moja wataskia lkn haya majitu huku nipen like zangu cjui yapoje
Umeonaeeee.Mii Huwa nachukia izo like
😅😅😅❤
Kazi inazidi kua pambe bipenzi nakupenda sana bba bhailam umetia wasi wasi nahilo tatizo liko mbeleni❤❤❤❤
Leo wa Kwanza toka Burundi
Mna fanya vizuri sana na tuna zipenda kazi zenu so congratulations 🎊🎉 na mungu awe nanyi katika kazi zenu za muvi
Dah dinyo na mkwe wake hongereni nyote mikwala by mikwala mtu na mkwe wake kipenz 😅😅😅
C mikwara kwel wapemba warabu koko wabaya sana walai uchawi kwao n kunusa wao hutumia vitabu uchawi kwao n kama chakula mwenyewe baba baihalamu Simba ashajua kama kuna janga kubwa sana laja kwakwe kuathiri familia yake
Warabu wapemba c watu iba kote fanya kisanga kote ila kwa wapemba ogopa usijaribu 😢😮
Mzee Simba ni kiboko hatishiki ng'oo,punguza mkwala Dinho,mheshimu bamkwe😂
Mnajua kuwai team furus team WiFi team kupambana 🔥 yani niwe wa 101 kweli
Mnaona sasa wazazi wetu nyinyi kwa upande wa baba zetu mnazaa ovyo mnatupa wakati mgumu sana unajikuta unatembea na kaka ako bila kujua hili ni fundisho kiukweli
Kwaio ishaliwa Ama
Yaani inamafunzo makubwa sana
Much love from saudia Arabia really appreciate ❤❤❤🎉🎉🎉 like ata mbili jamani
Waoooooooo wa kwanza leo like zangu jamani ❤❤❤❤❤❤
Huyu dada kwatamaa zak anakuja kutembea nakaka loh simpendi huy
Ana tamaa sana yaan anaboa
Yan mm ananiuzi nataman ata nimchomoe atoke
@@edinahpatrick3380upi uyo mwache ataka kila mboro aionje 😂😂😂😂😂😂 ataka kuisikia iko ladha gani kubwa ndongo nono refu au fupi Kula zake mamaeeee
Waoooo naomi umenifuraisha leo hongra san dada angu nimeinda
Mzee simba nakukubali sana ❤❤
Dinho is fighting for his brother to recover; ordering his father-in-law to cure his brother, but I think he is playing with fire better for him to take the advice of his wife, Mariam..so Mariam was right ✅ that is the only solution .😢❤
Brother 🧉🤣 don't play with tribe 😭😔 called wapemba they are very tough 💪 wizard 🪄 and most witchcraft evils so father baihalamu actually from his own spirit he has seen something will come to him and happen destroyed his families but actually 😭😭 the one who will find solutions and preventing is mariamu and baihalamu don't play with this tribe wapemba warabu koko they are seriously wen it comes to witchcraft and wizards evils 🎉
Recho unajichanganya😂😂
Nmechelewa lkn nmefika naombeni like jpo tano jmni 💃💃💃💃😍😍
❤❤
Watu mnakera kweli kila mtu wa kwanza hata matokeo darasani huwa mmoja tu ndo wa kwanza 😮😮😮😮😮
😂😂😂😂😂 tatizo pia hawaangalii kumeendaje hawajui iposawa ama haina saut
Leo waishirin na sits sijachelewa can alihamdulilah
Kaka yake dinho alifwata maneno ya kuambiwa, na wahenga wanasemaga 😢 maneno yakuambiwa changanya na ya kwako ili upate mshimamo zaidi😮😊❤ much love from congo🇨🇩
In 5 min nimejifikia naomben like bs we lov our team from Burundi😍
Mambo yanazid kuwa motrooo🔥🔥🔥🔥🔥💯🥰
Nawapenda sana kaz safi mashallah ❤❤❤
Naipenda sana hii movie❤❤❤😂
Leo nimewai maomba like zeno 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
❤❤❤❤🎉
Léo wakwanza jameni nipeni likes zangu
Mimi NIPENI japo like 1
tunausubir moto wa waarabu sasa😂😂😂.....it is very creative yani kila siku jipya linaibuka
Mimi hapa kama mnavyonijua maneno kidogo likes nyingi na hata kama nimekawia nipeni hata tano tuh inatosha ❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤
Hiv ww like znakusaidia nn Mbn nakuon sehem nying sana unaomba omba nn kinakusumbua toto😂😂😂😂😂
Hahahahahaha Baba nakubariiii 👏🏻👏🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Kaba chori wa akiba wayatafuta nautayapata shoriako, mbona kama kweli waume kwenu awajakuponya ww😂😂😂ulipo kua wapiga mapiano😂😂
Aaaaaaah mashabiki wa wakewenza tumeanza kutukanwa
Kazi nzur san❤❤..Allah awape nguvu zaidi y kufanya kazi nzuri❤🎉
This time mbailam utatii kaka...from 🇰🇪 kenya ❤❤
😂😂😂😂dinho bwana acha sifa mbya mna roho mbaya wapi mbna ulipewa wehu na hukujitibu
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
🎉🎉 ABEDI from usa 🇺🇸 tuwe na sapoti vya nyumbani kwetu jamani
Like zangu jamani nimewahi
😂😂munipee namba ya mzee Simba plz nataka nimtogoze🏃🏃🏃🏃
niko nayo nikupe😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 yani nimeona naomi nikakukumbuka kanumba ndoa yangu aiseeee kazi kweli
Na jacleny wolpey
Dhino usilipizie kisasi chako kwa mkeo hiyo sio vzuri kbsaa huyo kakako aliyataka mwenyewe n ujue mariam n mke bora kwako huo Emmy ni shirki TU San utkuja kujuta 😢hili ni funzo kbsa❤
Hapa kwenye kuota mnafel. Siyo kila mtu huwa anaota ndoto ya kweli. Naomi anaota, Bhailam anaota, Mariam anaota. Punguzeni bhana
😂😂😂😂😂
Wake wenza kila siku yazidi kunoga ❤❤❤🇸🇦🇰🇪
Jamani team gulf tuendelee Tu kuinjoy na wake wenza hata kma Ramadhani tutalala kusimama😂😂😂😂
Kweli kabisa😅
😂😂😂nihiyo saa😂
@@kutailass6671 umeonaeeeee 😂😂😂😂
@@Sophia-i1t7j Eee, yan watu kulia kenye makaro ya vyombo
😂😂😂😂
wa kwanza jamani like za kwangu zije ata kumi tu nitashkuru
Leo nimewahi na mm naomba like zangu
Mambo Ya nzesimba na mukwewe na omi
Na mutowe bailamu
Wanafurayi
Raha
Namulize bisharifu
😂❤❤
Mzeee simnaaa wa masimbaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Naomi MashaAllah
Naupenda huu mchezo naomba muongeze muda
Kweli tuongezeeni dakika mashabik zenu bhailam❤
Naome wajua kuigiza sana 😂😂😂😂
Wakwanza jamaniii naomba like please mara yangu yakwanza ❤❤❤
Yaani recho kajichanga anayempenda n kakake😅
Bhailam u killed it bro😊
Dho mm naomba mzee simba iyo shida ipite n juu sana,ila naumi mma angalia juu uangalie chini mma,dunia hii mwnamke haruhusiwi kuomba talaka mm,dhoo 🙆🙆🙆🙆,emey utaumbuka to utatoa mtto mwenyewe kw mkono wko ❤❤❤❤nawapenda bure buda jamani
Napenda sn hii move❤❤❤
Wacha tungojee hasira za waraabu tukiwa team strong 💪 😅😅😅dhino madawa zimeisha kwa kichwa
Kidogo nichelewe🎉❤
Niko na wewe mzee simba , this round akuna kucheza na mtu wasikupande kichwan hao shebe shebe😂
Leo tumeona sitting room ya bhailam na naomi
Wallah ndio kwanza leo toka mchezo uwanze😂
😂😂😂😂😂
We Fatuma unaboesha kwani nni una nusanusa ivi 😏😏😏😏
😂😂😂😂
Twasubiri kipigo cha mwarabu😂❤❤
Mmmmh kitu na baba mkwe wak mikwar mingi dihny halafu humuez mzee simba wew jishushe tuu
Emmy kibao tenaa dawa zimeisha😂
Jmani Inabidi Mtuongezee Mda kidogo Siku izi mnachelewa sana
Mm wa kwanza nipeni mauwa yangu
Sijyachelewa Jamani tpyane hapo tano.theam hammam hellooooo
Baba mkwe dinyo wapiiiii
Kale kawimbo maseke ni nzuri ,linalingana na Dihno
Duuuuuuuuuyy😮so kwa mafumbo haya🙌
Dinho kakaako ameyatimba
Mzee Simba kama Mzee Simba 🎉🎉🎉chukua Maua yako baba
Shukran
Love from Chadia Official to🇧🇮
Nami leo nimewahi mapema kidogo😅😅
Namim Léo wa 5
❤❤❤❤ nawapendaga nyie watu bana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Inayofuata jaman
Nzuri sana
Kwani kakake dinyo kamfanyeje mzee simba wapendwa,😮
Hasikii chochote
Kawa kiziwi ghafla 😂😂😂
Jaman Fatma Ukijua ni kaka yako Sijuh Itakuaje😂
Atalaani kama kwa naoni nami hapo ndio na msubiri 😂😂😂😂😂 ataangaika kila siku kwa wanganga
Watu wa hamam ❤❤ like tukingonjea ramadhan
Mm sitaki like nataka talaka yangu
😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hizi like atapewa nani aachwe nani 🙄🙄 hongereni team WAKE WENZA Kaz nzr mjitahid ziwe dkk 45😊
Mi nimekupa wewe
@@fatumasophu5855 Asante
Team mbwela mpo ama hampo gonga like tuna subiri warabu na majini Yao sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamani munisaidie kupata huu wimbo ,unaimba movie ikianza 🙏
Kaimba Khelvin Khan
@@GetrudaSanga-d7l Mmh asante maana nautafta huuw imbo
@@GetrudaSanga-d7l mbona sijapata
😂recho n kivurige jamani😮
Nimeipenda movie night ❤❤❤
Yani nampenda huyu mzee simba jaman😅😅
Mubembeleza mukewo Balamu
Nawo
Anakupenda
wake wenza jaman naipenda bureeee❤❤❤❤
Moto sanaa th😊
Bhailam unamuangaliaje Naumi jicho hlo😂😂😂😂
Emmy dawa zimeisha ama?? 😂😂 Naomi nae 💥💥 kazi safi 🎉🎉
Vipande. vifupi tuongezeeni mda