JAY Melody - Wenge (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
- #Jay Melody#Wenge
Channel Administered by Ngomma VAS Limited. ©2019
Jay Melody is the young talented afrikan boy raised in the slams of Tandale kwa Mtogole he has the street hustle spirit in him, commonly known as the singer and composer Jay Melody has made is easy for him self in the music industry by being able to portray his street spirit in his music
enjoy his new music
connect with Jay Melody
Instagram: officialjaymelody
Twitter: realjaymelody
Facebook: officialjaymelody
2024 tujuane hata kwa like jamani
Who's else 2024???😢
Yuko pamoja😢🎉
My favourite song ya jay
Me
tunaoisikiliza adi mwaka huu bas tugonge like hapa❤❤❤
Kakaangu hapo napo uliwez weeuh mbona hii nyimbo naipenda ivi 🎉🎉
11days to new year 2024 but the song still rocking
Aki nimepatana na hii nyimbo na nimeachwa Jana 😮😮😢
Broo ulicho kiimba kimenikuta mpaka nahisi umeniimba mimi big up sana mungu akuongoze salama
Tanzania pagumu Sanaa, yaan wimbo km huu Ila watu hawaelewi! Watu wanapenda kusikiliza matusi dah😥😥😥
Nampenda huyu kaka jm uwiiiiiiiii my favorite song😍😍😍😍😍😍
Mchukue
Kiukwer jey nakupenda sn pia napenda nyimbo zako unaimba kwa hisia sn hasa nyimbo ya wenge inanikosha sanaaaaaa
Ngoma Kali sana sana inaishiiii
Jay Melody naomba fanya Remix ya huu wimbo weka Marioo au Diamond wimbo uende zaidi please kama unasomaga comments nisikilize pia kama shabiki wako. Asante 🖐🏼🙏
Hizi ndo nyimbo sasa
Sio zile kushoto kulia mara chuchumaa cjui mara pepeta,
Yaani sasa ni aslay, mbosso, jay melody na marioo mnakimbiza sana 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Robby Jagad
😝😝😝@robby kumbe nawe umeona huwiii
@@khadijaal6548 ndio hivo khadija
Zile jimbo za ovyo sijui babalao kushoto kulia hazina maana yoyote ndozinapata chat ujinga mtupu
hahaha
@@mussaabobakar7537 ndo hapo sasa hata mi nashangaa
Achen kuomba like maana kama tumekuja huku ujue tunamkubal jay
😂😂😂😂😂tena wamezid yan mmmh fire yan
Njoo onln tujaze views
Sabrinah Lutha usijalii
Yes you're correct
Jay melody fanya kazi na harmonize,Asanti
Daahh we jamaa unaimba bhana mchezo kandoo ipo cku dunia itatambua kipaji chako usikate tamaa usiwe kimya sana
Ngoma kali sana sema umenichosha umeikimbiza sana ila kuandika huna mpinzani bongo hii
"mapenzi ndo haya" 💓💓💓
#Jay ww jmn..... nimeiskiliza zaid ya mara 3 nyimbo tamu sana, big up from 🇿🇲 + 🇹🇿
Mmmmh 😍 enyewe Ni tamu
Daah sijawahi fiksha ata like 20 ila kwa hii ngoma najua ztafika tu gonga like tumsapot mlali
Njoo onln tuangalie wote tujaze views
Sabrinah Lutha wote
Yanii hinyimbo kila siku kazini Inapigwaaa Ilasasakujunani daaaaadaaaaaa waminikomaaaa mbonaaaaWiiii Love
Chini nachimba natafuta mzizi ooh 😢😢😢😢😢😢😢najiona mjinga Wenge kimtindo
Noma
Muko wap tunaoangalia 2021 tujuane hapa......me nampenda sana jay.........
Sisi ndio wa Mwanzo! SITAKI LIKES natafuta Hela🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Sija poteza GB zangu ✌🇹🇿
Love this song,,,Endelea kuachilia kazi za kuvutia.
Jamaan hii nyimboo inahistoria kwanguu daa syo poa
Wewe fundi Sana🔥🔥🔥🔥
I love u jay mwaaa
Jay I love you moreee
Sina usemi mm yani zaidi ya mara kumi natundia tu😍😍😍😍
Unafanyaga kweli mwamba ngoma kali balaaaaaa
Unajua mpk unakera sauti sasa ni🔥
Love ❤️ from West Africa Guinea 🇬🇳 Conakry 💕+224
Your good 👍😊, hongeza bidii
Duh!ngoma yatuliza nafsi kweli.yan apa ulikaa ukatulia Kila kitu on point.
Umetisha kaka ww ni fundi si kwa sauti hiyo wallah!!!
Hukosei kwa sauti namistari balsa congrat
Ata tusiwe wapenz mama jua naumia💔💔💔💔💔💔💔
Shkamoo kaka
Daah 💨 hii Ngoma kizazi Sana Yani
Kama umeniimbia Mimi inaniuxu kabisa hii Ngoma Mapenz MabAya yalinifnya Nikalia nnacho shukuru haykuniua.. ✌😀😁😂😂
Jamn huu wimbo nmeurudia Mara kumi nc music and love uu jey melody
Mm Mara hta Mia kumbe tupo wengi 🙏🙏💕
Nyie huyu dogo anajua na anajua tena wallah tz jmn tumsuport hyu kijana anajua tena sana
Weeee. Noma sana. Hooo mapenz hoo mapenzi
Kipenz Chang unajua sana jaymelody 😍🔥😍😍😍
Anajua sana
Who’s else is listening in 2020??
2023 😂
Kaka unawezaaaa..sikupngi
Jay Melody 🔥🔥🔥 hukoseagi
Uyu kijana namuelewa
Moo shine tuko p1
Go on my namesake, am here to support you by listening to your song,Mashallah
Dah nyimbo zuri sana toka asubuhi naiskilza hongera San.
nimeipenda hiyo big bratha
I love youuuuuuuuuuuu dah bonge la song dah kwenye sea piano ni vurugu yaan unajua kuimba mpaka vinakera
Dogo anajua sana huyu, nyimbo zimetulia unasikia Melody yote kama jina lake, hongera sana kijana
Yani hivi watu hawaskizi wimbo kama huu jamani? This boy can sing 😘😍mpeni support bwana wee! Hussein machozi alisema kweli kuna watu wanavipaji sio mmoja tuu!
#Good music Kama unakubalina na mimi Weka like apa twende sawa 🔥🔥🔥🔥
Jay asiache kuimba jmn 😭😭
Nakupenda mno nyimbo zako tamu mno
Oyah jey bonge la kazi dam yng iih imekua rington yng mamae
Umetisha dogo kazi nzuri sana
Kuchezewa hixiah xo painfull 🙌🙌🙌
Kama unakubali ngoma gonga like twende 👍🏼👍🏼👍🏼
Roan Jack tunaenda wapi?
That true 😊😇
@@mutant__4174 tunaenda mbelee
Jay unatisha u ajua Sanna aise big up melody guy
Nice nakukubali mpaka naumwa
Nyimbo nzur sana sichoki kuisikiliza
Haina comeback mpasa sahii 2023 ❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Ujawah fel kaka kaza mwendo utafika tu
Ngoma kali sana mwanangu jay
Kanyimbo kananikosha sana 👌
Inahitaji more than 1mil....representing 254 🇰🇪 Jay.
you deserve the best Man Artist so good mpaka nakupigia promo kwa ndugu zangu Ghana 🇬🇭🇹🇿🇨🇮
Hongera j nakukubali sanaaa
Nakubalii sana mdogo wetu melody..
Walio isikiliza hii nyimbo zaid yamalbili 2juane
J Melody anajua umenikosha moyo
Yaani naisikiliza hata mara kumi na siichoki
Love this song 🔥❤❣
Kila cku nisipopita hapa bado cjasikiriza nyimbo
Kila siku jamani daah Jay ni moto
Jay usitukalishe sanaa mzee baba... tunamiss mambo haya
Respect broww now kaza c tupo nyuma yako🏺🏺🏺
unaimba Kwa niaba yetu Mzee💪
Ma melody yote yako kwa mwenyewe Jay Melody. haukosei wewe. Hongera za dhati mwanagu. ngoma kali sana
U are always perfect l real do like everything u do
Daaah jmelod umetishaa bongee la ngomaa
Unajua Sana kaka hongera
Daaghh jamaa anajua kuimbaaa
Bonge la pin huiiiiii mi hoiiiiiii nyimb nzuri
Nymbo nzur
Jey anajua sana leki nyingi kwake
Unajua sana mzee
Nzur sana jaymelody wenge tupu!!!!👆👆
Sauti yako kaka daaah unajua kuitumia
Nyimbo nzur xna
Melody zako ziko powa sanaa
Wooow nyc song jay hadi naishiwa nguvu
Mapenzi ndo haya!!
Daaaaaaaaaaaaaaaaah u game me hiiiiiiigh sema mini jay nunda Benson,Mario,meddy wote kimoooooooooo cha swala we chumaaa by Jex Smith Mr omadoz
Plz usimuweke marioo huku na anajua kuimba style zote
Uyuuuu meddy me mbona cmjui jaman naomba ngoma yake ata moja
Yaani bro Jay haujanipunga Kama kwenye hii nyimbo
I like this song jaman hipit wiki narud kuiangalia
J unajua SNA mdogo wanguu soon nakuonaa juu zaidii ya apoo daaaah
kwa mara ya mwanzo tu, nishaisikiliza hii ngoma kiasi mara 6. naamini ukimkubali msanii kwa kazi zake, basi ni muhimu sana kusikiliza ngoma mpya mara nyingi kwa mwanzo, ndipo utakapojua ladha yake na utaikubali tu. maana mara mwanzo haikuletei ladha yaukweli.
Iko njema saaaafiiii baba
Hii ngoma Kali sanaaa naiskiliza kila saa
Mombasa 🇰🇪 gonga likes hapa +254
Kazi nzuri sana broo
Nyimbo ina mwaka ila nimebahatika kuisikiliza leo tamu sana haiishi utamu good job jay
After watching tiktok nikafika hapa
Nimependa vina vichache
Chini nachimba natafuta mzizi. Yeye ana enjoy upendo wewe unachezewa isia. Kazi nzuri
Dah wangap hawaichoki hii song