oka: ndugu yangu umenichosha carpoza: nani? Oka: Umenitembeza sana Carpoza: We pumbavu sana, kwani kiwanja nani anajua kilipo? Oka: ni mimi! Carpoza: Nani kamtembeza mwenzie? Oka: Basi sawa! Hahahahahahahahahahaha, yaani hawa watu ukisema ufuatilie kila neno utacheka sana!!!
tupunguze hatua😂😂😂😂😂😂 parking ya nini nampark nani😂😂😂 ii uza bei ya hasara sababu babako atakusumbua kwa ndoto😂 hahaha ukikataa hatua 20 kwa 20 naliacha babako akuuwe😂
😂😂😂😂 kwani hutaki baba ako anitokee na mimi
Nakubali sana wanyambi Kama upo na mm gonga like
na wew unakuwa wa kwangu!?
Bei a kishkaji,Mshikaji wakk nani???
😁😁😁😁😁
Carpoza we kiboko kaka 😆😆😆 sema leo kama umeingiza swaga za joti vile
Umeon eee
@@henryhkingstv7224 nimeona hyo bila chenga
Feisal Baruan Kabisa kk Kumbe umeliona hilo
😂😂😂 alishasema anamkubali joti ni staa wake,,,, muhimu tucheke tutoe stress mengine nyongeza. 😂😂😂
had the same thought baada ya kumuona yeye nimemuona joti
Ao unanionea sababu baba ananitokea saana etii🤣😂😂😂😂
Wapi hukoo ..Huko unapapenda Sana unajua sikuaminiamini tangu umenambia umemtia mtu loba.. hahahaha
Ngonga like kama umefrah story za watu wa nguvu
Vp
LLC, cy
Namuon Jotii hapo .kwa mnunuajii😎🚶🚶
Sasa 5 kwa 5 unajenga nini!!? mnara ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀 kibanda cha kuku
Haikuhusu 😂
jamaangu mko vizuri ira sasa Naomba na mim mnisaidie na mim nimwana mziki ingia TH-cam andika Baraka boy, chocholo utanipata
Carpoza:fanya hatua 20 kwa 40
Oka: sasa apo unajenga nini
Carpoza: haikuhusu😀😀😀😀😀😀
Rose Victor hHhHahahahaha
Naon
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daha mm wasaf tv napenda vitu viwili tu hawa jamaa na spot arena bas
The story book 📙
@@amani2555 iyo yule muongo sana nimemkimbia str book muongo yule juz katoa str treen imepotea daha apo apo nikazima data
@@mussaabobakar7537 stor ile n kwel mzeeee fuatilia vzur ukiwez Google kabsa
...noma saan
AKAMSAINISHA KWA NGUVU 😂😂
Swiswiii ss nakosea wapi😂🤣🤣😂🤣😂
Wanao taka tano Kwa tano gonga LIKE ya nguvu😅😁
🤣 🤣 🤣 Anataka kujenga mnara
@@watakaniitaje1215 msondo
Tujuanee tunaoo ludiaa hii komedy
Nakuona unakuja kwa njia yangu
@@georgekitaponda336
Mi huwa nawapenda saaanaaa
jaman mm nampenda uyu kijana😂😂😂ntamleta kenya
Mnisadie walimaanisha nini 70 kwa 70?
Ase waziwi noma
Hahahahaha suisui lazma héla I ingiye 😁😁😁 uko wazimu nakuona haki wajama wana juwa
Gonga like twende sawa
Kwanz kwa alivo vaa hakun mnunuz apo😂😂😂😂
Bank ya uswizi au apn uswisi
nimependa kijani,greenish
Ww hutaki babako anitokee na mm yaan anakusumbua afu anakuja kwangu @Carpoza mwehu sana 😂😂😂
Nyie munachekesha zaidi😂🤣😄🚶🏼🏃🏼
Aki carpoza you are not serious!!! Hahahaha!! You have bargaining power kinyama
🤣🤣🤣 kwa style hii hapa lazima mchakato wa kuhalalisha bangi nchini uzidi kua mgumu
🤣🤣🤣🤣
Oka umeamua kumuua baba. Hatari sana.
Anataka kujenga mnara😂😂😂😂😂
Huyu jamaa mjinga na alimuua BABA yake kwa ujinga na sasa kiwanja anataka kukiuza kwa ujinga hahahahaha
Nakubal mwanangu mjabi
We Ocar mpe lote Baba akoo asikutokee ndoton Carpoza bahil sana na swiswi ela iingie🤣🤣🤣
Baba ako anitokee na mi yani anasumbua akitoka kwako anitokee na Mii jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavuuu
Mungu awajalie malengo yenu yatimie na yazidi kuwa makubwa ,amini tu
Duuuu mmetixha sana mabroo keep it up
Sasa ulimua baba yako wann 😂😂😂😂😂
Hatua 70 kwa 70,,, ahahahahahaha
bank ya swizi aah sawa
Ime kuwa filam sasa ni ndefu mpk cheko Akuna bro short video ndo zina chekesha bro Badilisheni huu mfumu wa videO ndefu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Nakubali kamanda
Hahahahaha hawa majaaa ni pasuwa kinoma
Ntakusaidia bab yako akikutokeaaa 😂😂😂😂😂
Hahahaha huo uvaaji tu hakuna mnunuzi
Hiyo bukta kama anaruka maji 😆😆😆😆😆😆😆
@@rauhiyanyange1335 😂😂😂😂
@@hildababyabdullah5627 😆😆😆😆
@@rauhiyanyange1335 hawa watu hatari kwakweli
@@hildababyabdullah5627 yani nimecheka sana kama machizi bas hawa sjui wapo kundi gani 😆😆😆😆😆😆😆
hao watu 158 waliounlike wametumwa na mawingu
Utajua mwenyew bahna 😂😂
Wanyama ao
Hahahaha swiswi hela ingie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
oka: ndugu yangu umenichosha
carpoza: nani?
Oka: Umenitembeza sana
Carpoza: We pumbavu sana, kwani kiwanja nani anajua kilipo?
Oka: ni mimi!
Carpoza: Nani kamtembeza mwenzie?
Oka: Basi sawa!
Hahahahahahahahahahaha, yaani hawa watu ukisema ufuatilie kila neno utacheka sana!!!
Hahahahhahahahahaahh
Et unapapenda nn hko wakat ulishampigaga m2 roba
Hatari sana eti hutaki swiswi hela iingie
Huyomteja jinalake anaitwaganani? Au mchaga😂😂😂😂😂😂😂😂
Julian Lukindo instargram anatumia @officialCarpoza
Its good
Kama una kubali wasafi Tv gonga like yako hapa chini 👍
Kajenge kwa baba yako
Nawapenda hawa mbavu zangu mm 😀😀😀😀
Hatareeeeeee
Mme funika sana wanangu camera zenu ziko vzr sana
Oka:bei ya kishkaji hiyo
Carpoza:mshikaji wako naani??
Hahahah
Neema
@@allybakary7108 abheeeh
Wanyabi saifa
Nakubar swiswi😁😁😁😁😁👌👌
Mpo vzr
Uko vzr
Hahahahahah carpoza na hyo style ya mavazi noma
Fany 3 kwa 2 ivi nikulipe 😂 😂 😂
Ndo Bei ya kishakajib iooo Mshakji wako Nani ? 😂😂
Swiswi ela lazima iingie
Bank ya uswiswiii 😁😁😁
Mwanangu umenichosha..nikamtia kabari🤣🤣
*Oka* 👉Bei ya kishkaji hiyoooo
*Carpoza* 👉 Mshikaji wako naniiiii
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hili jamaa akili halina
Nakuona nakuona unakuja tu njia yangu dau🤣🤣🤣🤣
Gonga like na hapa tucheke wote
NAJENGA MNARA 😂😂😂
Nanjenga mnar
Carpoza ft Joti 👍👍👍
Oka: tano kwa tano unajenga nn
Carpoza: Mnara
Atajenga kiwanda cha milindaaa
Uizi ndo wp no noma wazeee
Wanakubali wanyabi
Carpoza ukimuangalia tu😆😆😆😆🤣🤣🤣
Nampaki nani😂😂😂 eti juu huuzi😂😂😂
Carpoza rudi kwenye mwonekano wako wa zamn ndo itapendeza zaid 👍
Hiii tamu kinoma,Kajengee kW baba ako
😂😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂 hatari sana
""Apo unajenga nn apo hayakuhusu"" hahahahaaahh....
eti unajenga nini hapo 😁😁😁
Hayakuusu 🤣🤣🤣🤣 nimecheka balaa
Kapoza mlanguz kwel
Dah! Noma xana
tupunguze hatua😂😂😂😂😂😂
parking ya nini nampark nani😂😂😂
ii uza bei ya hasara sababu babako atakusumbua kwa ndoto😂
hahaha ukikataa hatua 20 kwa 20 naliacha babako akuuwe😂
Benki ya Swiswi😂🤣🤣🤣🔥🙌
Hello mrembo
nakubali
kwer
Nmecheka sana yan
ety bro unapunguza kama mtu alokunywa dawa ya cholestrol
Kikikikiki
🤣🤣🤣hasa nipe yote buree
Hawa wasenge wanajua balaaa nmecheka kifara sana
Nakubali
Hatua sabini kwa Sabini zote za nini?🤣🤣🤣🤣
Mnajua Sanaaaaa aiseeee
Carpoza bana eti ko na huu mwembe wangu gonga like hapo😄😄
Wanyabiiii wanauxiana viwanja😂😂😂😂
oya wadau wakali
yaani best comedians
Nawakubali kuno.a
Like 5 kama unawakubal
Huyu boya usifanye nae biashara kabisa yaan hafai
Basi nipe lote bure 😂😂😂
apartment mpak mnara😂
Kisafreti😂