KISUGU: AJILIPUA BAADA YA KUIONA YANGA | HAKUNA TIMU YA KUIFUNGA SIMBA"WAKIFUNGA NAWAPA DOLA 5"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

ความคิดเห็น • 29

  • @RamadhaniSalumu-i5h
    @RamadhaniSalumu-i5h 14 วันที่ผ่านมา

    Kumb huy hajui mpira ni maneno tu

  • @RehemaRama-h8b
    @RehemaRama-h8b 14 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo yanga wachawi, wataloga ili wawafu ge simba,

    • @ramadhanimrungu5806
      @ramadhanimrungu5806 14 วันที่ผ่านมา

      Nasikia si ndio mganga wao

    • @ramadhanimrungu5806
      @ramadhanimrungu5806 14 วันที่ผ่านมา

      Ww kichwa tenge kalili TU timu gani ulizozifunga Dola uzitoe katoe eka 4 watu

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 14 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 hili dish la Kisugu halinasi mawimbi kabisa. Hivi hiyo simba iliyofungwa 5 na kupigwa n 1 bila wewe ulikuwa wapi?😂😂😂

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 15 วันที่ผ่านมา +2

    Professional 7 wa tabora hawakucheza dhidi ya simba.

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 15 วันที่ผ่านมา +2

      Endeleaa kukaririi

    • @BisekoDaudi
      @BisekoDaudi 15 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe kagera walicheza professional wangapi???na mechi ya namunga vs tabora walicheza professional wangapi?kwan wachezaji wa tz hawanakiwango kias unavo dhani?kama unahc wachezaji wa tz hawana uwezo kwann beki line yenu ni watz?

    • @SolomoniDenis
      @SolomoniDenis 15 วันที่ผ่านมา +1

      Hizo ni shida zao hazituhusu, na bado kila timu itakayokutana na Simba itaitwa dhaifu

    • @athmanimkangara9290
      @athmanimkangara9290 15 วันที่ผ่านมา +1

      Simba Bingwa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 14 วันที่ผ่านมา

      WEWE UTOPOLO TIMU LENU BOVU TULIZA KIJAMBIO HICHO

  • @DennisOnkoba-hg2jb
    @DennisOnkoba-hg2jb 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kisugu ujinga tu ako nayo mingi

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 14 วันที่ผ่านมา +1

      UTOPOLO TIMU LENU BOVU

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 15 วันที่ผ่านมา

    Kumhoji kisugu ni km kuhoji kichaa..
    Chawa tu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 14 วันที่ผ่านมา +1

      UTOPOLO TIMU LENU BOVU

  • @dahelahmad6331
    @dahelahmad6331 14 วันที่ผ่านมา

    Wewe punguza ndaro zako YANG'A bingwa.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 14 วันที่ผ่านมา +1

      UTOPOLO TIMU LENU BOVU HAMNA KITU

  • @mohameduliza7607
    @mohameduliza7607 14 วันที่ผ่านมา

    hahahaha chizi ww

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 14 วันที่ผ่านมา +1

      UTOPOLO TIMU LENU BOVU

  • @NiceMussa
    @NiceMussa 15 วันที่ผ่านมา

    We kweli bichwa tope mwandishi tanzania na morocco sio?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 14 วันที่ผ่านมา

      UTOPOLO TIMU LENU BOVU

    • @NiceMussa
      @NiceMussa 14 วันที่ผ่านมา

      @@salimmalaka256 si wamekugonga juzi tu hujakoma?😀

  • @BrownLomayan
    @BrownLomayan 15 วันที่ผ่านมา

    Wacha uwongo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 14 วันที่ผ่านมา +1

      UTOPOLO TIMU LENU BOVU

  • @mohameduliza7607
    @mohameduliza7607 14 วันที่ผ่านมา

    huna hela fala ww uxhatoa ahad kibao hujatimiza hata moja

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 14 วันที่ผ่านมา +1

      UTOPOLO TIMU LENU BOVU HAMNA KITU