The interviewer and interviewed are real smart people with soba minds. I definitely like both sides as they just made sense for some logical statements
Jigi Jigi very true,watu wengi wanakimbilia kenya sababu wanaongea kingeleza wakati watanzania tuna vitu vingi vivutio kuliko kenya kingeleza Ndio shida mtu anawaza atanzaje
Jigi Jigi Inatubidi tujifunze lugha yetu kwanza kabla hatujaanza kwingine maana kiswahili kinaharibiwa na watanzania wenyewe. Katika R mtu anatumia L na zamani ilikuwa ni kutamka tu lakini sasa hivi mpaka kimaandishi sasa unategemea hiyo lugha ya mwengine ataweza?
Yaani mtangazaji nimekupenda bure, ada yashule ulio lipiwa haija enda bure yaani umeongea kingereza kitamu sana weni mtanzania wakwanza nimesikia umeongea English tamu sana salut
In tanzania,if you speak good english,you are considered very intelligent,well educated and actually smart.Wow such low calibre grading but pambaneni na hali yenyu watanzania
Hahaaa 😂 😂 😂 😂 Nimeona watu wanasifia lugha ya kigeni kwahivo mtangazaji kapewa point banaa. Sasa hii lugha yetu hii watu wa humu humu wanaiharibu na watu hawaoni kama wanapoteza lugha nzuri sana ina ladha ya pekee 😍 Yaani mtu anabadilisha neno mfano "NZURI (NZULI) KWELI (KWERI) HALUA (HARUA) SIFURI (SIFULI) na maneno meengi yaani inaboa sana sasa ukute anaongea lugha ya kingereza nadhani anaweza kushtakiwa na wenye lugha mfano _PROCESS (PLOSES) CREDIT (KLEDIT) yaani mwe!! Ila mtangazaji lafudhi ipo vizuri anaongea kiufasaha 😂 😂 👍
mzee kuna issue ya tongue roller n non tongue roller kwenye R na L kwaivo inakupasa kufaham hapo ukiachilia hilo Tz tuna mikoa mingi pia kuna jamaa bara na wa pwani kwaivo hilo la R na L nimtambuko kidogo labda watu waache kutumia misimu ingawaje imezungumziwa ktk somo la kiswahili
Juma Chabai Pamoja na yoote lugha inatakiwa itamkwe kiufasaha sasa tuseme atashindwa kutamka je katika maandishi pia mtu anakosea?? Aisee huu ni utani. Ntakubali kuwa lugha za kikabila zikawa zimesababisha mazoea ya matamshi lakini katika kuandika huwezi kukosa hii inaonyesha kuwa elimu ya lugha yetu huenda inakosewa ama sio walimu husika kwakweli mimi sio wa pwani lakini sifagilii kabisa kuchafuliwa kwa lugha nzuri kama hii
kibongo bongo kuna lugha maalum na lugha ya mtaani... Lahaja, lafudhi na vitu kama misemo na vingine. Kuongea lugha Kwa ufasaha ni vyema lakini kueleweka pia yatosha. Labda uwe unataka kufanya kazi katika tasnia ya lugha. Matamshi ya R na L ni Sawa na Matamshi ya S na Th ...kutokutamka sahihi herufi hizo hakumfanyi mtu kuukosa uzalengo wa lugha. Hakuna lugha kubwa ya nyingine. Lugha zote ni muhimu na moja ya Kazi ya lugha ni Kuunganisha watu. Nakipenda kiswahili na lugha zingine pia.
kuna mijituhumu ina commenti ujinga kwani kuna mtu alizaliwa anajua kuongea kingereza nyie vipi kwanza hiyo lugha ya watu tukianza kutanguliza lugha za watu basi yetu itadharauliwa tuanze na yetu kisha tufuate za watu hasa nyie mnao jifanta eti wajua sana kingereza imekula kwenu 😂😂
Wow.... I like the way the presenter handled the interview... good questions at the right time....big up
Mtangazaji hongera sana, nimekupenda bure
The interviewer and interviewed are real smart people with soba minds. I definitely like both sides as they just made sense for some logical statements
Duh unatema ung'eng'e km sio wa kwa anko #Magu........ Salute to interviewer
Yes Watanzania mujifunze komomboo mambo yenu yakushindilia kwa kiswahili mnabaki nyuma....English is international language.
Jigi Jigi very true,watu wengi wanakimbilia kenya sababu wanaongea kingeleza wakati watanzania tuna vitu vingi vivutio kuliko kenya kingeleza Ndio shida mtu anawaza atanzaje
Kwel kabc😀😀😀
Jigi Jigi Inatubidi tujifunze lugha yetu kwanza kabla hatujaanza kwingine maana kiswahili kinaharibiwa na watanzania wenyewe. Katika R mtu anatumia L na zamani ilikuwa ni kutamka tu lakini sasa hivi mpaka kimaandishi sasa unategemea hiyo lugha ya mwengine ataweza?
ki what?
Jigi Jigi 😂😂😂😂
Nice question at right time
mtangazaji keep it up,l like u.....xooo mwaa
Now I know Ramsey is very gud guy
Charles George really?
Hongera mtangazajiiii so mwaah...
Safi sana Dada yani nimekupenda buree
Dada wewe nimsomi you deserve congratulations you are very careful for your questions that you asking.
Dada u did it
My question is still unanswered.
Daamn..... she flowin
very wise idris. well done with some goods interviews with Noah
Raoul Byamungu hhhh
nice presenter
big up presenter the interview was good
Bonyeza picha hii kushoto kwako kisha subscribe upate videos za mastar
jamani mtangazaji umetutoa kimasomaso sio kule kaburi MTU anongea tu hata kuulizwa swali hongera dada
Mm ata sielewi hiyo lugha
Nassor Hamadi Nassor 😊mmi hata kusikia sisikii afadhali wewe unasikia but huelewi😂😂
Nassor Hamadi Nassor 😂😂😂 pole
Polen😆😆😆
😂😂😂pole kaka jifunze utajua tuu, English ni kama lugha zengeni practice make perfect.
Hehehe
I thought the man was Dead can some One tell me is it True or Not?
hivi huyu dada ni mtz kweli maana me sijaelewa hata moja zaidi ya majina basi idris na kanumba 😂😂😂
Rahima Juma 😃😃😃
Rahima Juma 😂😂😂
Rahima Juma
😊😂😂😂
Rahima Juma 😂😂😂😂
Yaani mtangazaji nimekupenda bure, ada yashule ulio lipiwa haija enda bure yaani umeongea kingereza kitamu sana weni mtanzania wakwanza nimesikia umeongea English tamu sana salut
Fatuma Djumbe she's not a Tanzanian
In tanzania,if you speak good english,you are considered very intelligent,well educated and actually smart.Wow such low calibre grading but pambaneni na hali yenyu watanzania
Mtangazaji peleka cv zako bbc.......
Wawooo
Hahaaa 😂 😂 😂 😂
Nimeona watu wanasifia lugha ya kigeni kwahivo mtangazaji kapewa point banaa. Sasa hii lugha yetu hii watu wa humu humu wanaiharibu na watu hawaoni kama wanapoteza lugha nzuri sana ina ladha ya pekee 😍 Yaani mtu anabadilisha neno mfano "NZURI (NZULI)
KWELI (KWERI) HALUA (HARUA) SIFURI (SIFULI) na maneno meengi yaani inaboa sana sasa ukute anaongea lugha ya kingereza nadhani anaweza kushtakiwa na wenye lugha mfano _PROCESS (PLOSES) CREDIT (KLEDIT) yaani mwe!! Ila mtangazaji lafudhi ipo vizuri anaongea kiufasaha 😂 😂 👍
mzee kuna issue ya tongue roller n non tongue roller kwenye R na L kwaivo inakupasa kufaham hapo ukiachilia hilo Tz tuna mikoa mingi pia kuna jamaa bara na wa pwani kwaivo hilo la R na L nimtambuko kidogo labda watu waache kutumia misimu ingawaje imezungumziwa ktk somo la kiswahili
Juma Chabai Pamoja na yoote lugha inatakiwa itamkwe kiufasaha sasa tuseme atashindwa kutamka je katika maandishi pia mtu anakosea?? Aisee huu ni utani. Ntakubali kuwa lugha za kikabila zikawa zimesababisha mazoea ya matamshi lakini katika kuandika huwezi kukosa hii inaonyesha kuwa elimu ya lugha yetu huenda inakosewa ama sio walimu husika kwakweli mimi sio wa pwani lakini sifagilii kabisa kuchafuliwa kwa lugha nzuri kama hii
kibongo bongo kuna lugha maalum na lugha ya mtaani... Lahaja, lafudhi na vitu kama misemo na vingine. Kuongea lugha Kwa ufasaha ni vyema lakini kueleweka pia yatosha. Labda uwe unataka kufanya kazi katika tasnia ya lugha. Matamshi ya R na L ni Sawa na Matamshi ya S na Th ...kutokutamka sahihi herufi hizo hakumfanyi mtu kuukosa uzalengo wa lugha. Hakuna lugha kubwa ya nyingine. Lugha zote ni muhimu na moja ya Kazi ya lugha ni Kuunganisha watu. Nakipenda kiswahili na lugha zingine pia.
sisis tulisikia ramsey kafaliki sasa apo atuelew uyo ni mdogo wake au?
Nakuunga mkono Ann Micheal hata Mie Najua Hivyo Kafariki Duu
ipo good
ha ha interview hii angepewa shishi aongee na Rams ha ha tungecheka tufe humu leo 😂😂😂
Rahima Juma hahaha
Rahima Juma 😂😂😂😂😂😂😂😂kama mimi
Rahima Juma pwahahahahaha
Rahima Juma 😂😂😂😂😂 wonders!!!
Daa
sio kwa yai hili
presenter ur good at all
embu nifafanulien jaman ma a na sielewi
huyu dada xio mtanzania xio kwa ngeli hii..
nimependa hiyo but pia nimependa Idriss alivyo chombeza hiyo wahoooo I lie that

H
embu nifafanulien jaman ma a na sielewi