MWENGE WA KAUNTI | Marufuku ya Muguka ( Part 4 )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @nelsonnyaga1979
    @nelsonnyaga1979 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni siasa tu

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 5 หลายเดือนก่อน +1

    Citizen mwachekesha Sana ss umeleta watu wa wa kutoka sehemu moja hivi na akili zako wadhania watasema Ina madhara

  • @rahmajumaan6819
    @rahmajumaan6819 5 หลายเดือนก่อน

    You all understand mugukaa ni mbaya is only that you dont want to accept the truth,pia sheria nizamungu,mungu atufundisha nini kuhusu ulevi ktk bibilia na quraan

  • @kinara5365
    @kinara5365 5 หลายเดือนก่อน +1

    wabinafsi hao. wanajiangalia wenyewe but wengine tusijiangalie

  • @zainabuabdulahi5012
    @zainabuabdulahi5012 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ona vile wameshiba! hawa na hii biashara yao ,matumbo juu, wamesomesha watoto wao national schools, University mpaka inje ya nchi, watoto wetu wamamaliza seco, hawawezi kuendelea juu ya wazazi ni maskini hawana kazi, kazi ni kutafuna miraa na mwogoka.... watoto wetu wengine hawataki kusoma masomo ya juu, mwishowe kazi zikipatikana pwani..ni watoto wao ndio wanashuka na kupata juu wamehitimu...... unafikiri ni nini hii kimawaleta hapo mbio citizen kuitetea? Unafiki mkubwa, hila na ubinafsi huu kabisa. Hawa ndio wanaharibu umoja wa hii nchi.

  • @nelsonnyaga1979
    @nelsonnyaga1979 5 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwa nguvu za kiume....tuko sawa

  • @IsmailBaya
    @IsmailBaya 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mombasa hatuezi ruhusu uchafu huo ata kidogo

  • @zainabuabdulahi5012
    @zainabuabdulahi5012 5 หลายเดือนก่อน +1

    KENYA NZIMA IPIGWE MARUFUKU. HIO N DRUG INAHARIBU WATU IMEKUWA

  • @alabizoshazb5678
    @alabizoshazb5678 5 หลายเดือนก่อน +1

    itembezeni sehemu zengine si lazima Mombasa.

  • @coolbz133
    @coolbz133 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna mugokaa kutumiwa

  • @IsmailBaya
    @IsmailBaya 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mkiendelea kulazimisha pwani haitakuwa kenya

    • @nelsonnyaga1979
      @nelsonnyaga1979 5 หลายเดือนก่อน

      dawa ndio wakunywa sana...mombasa

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 5 หลายเดือนก่อน

    Pelekeni mashule pia watoto wafundishwe mungoka .. ikiwa nyingi ni wa kweli

  • @AliabdullahAbdullah-pu2ww
    @AliabdullahAbdullah-pu2ww 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mgoka umepunguza ubakaji

  • @halimamistri8638
    @halimamistri8638 5 หลายเดือนก่อน

    Muguka ni ulevi Miraa ni ulevi mbaya sana, kama ina chemical basi iko na effect , sasa kwanini wasipande chakula kile watu wote wanaiza kula . Wawcahe kupanda meraa na Muguka , wapande mchele .viyazi Mbonga.

  • @richardkarisa1949
    @richardkarisa1949 5 หลายเดือนก่อน

    iyo swali ni ngumu kwao ju wana taka pesa na hawawezi jibu ju iko wazi na wana taka pesa tu ,,,kuna ubaya gani coast wakikataa ajibu iyo swali

  • @Zack-w3r
    @Zack-w3r 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wakule mboga

  • @AbdallaBarisa
    @AbdallaBarisa 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona lzma ikue miraa na mughoka kwani hakuna mumea mwengine.

  • @rahmajumaan6819
    @rahmajumaan6819 5 หลายเดือนก่อน

    Hatutakiiiiiiiii

  • @coolbz133
    @coolbz133 5 หลายเดือนก่อน

    mugokaa humfanya mtu akimaliza kula atataka kuzimua aitha ulevi ama bangi hata ulevi mwengine ili kutuliza mgokaa nguvu zake

  • @coolbz133
    @coolbz133 5 หลายเดือนก่อน

    hamna kama nimaongezi yafanywe pamoja sio huku na kule maelewano yatakuaje

  • @abubakarkassimmwinyimwinyi6382
    @abubakarkassimmwinyimwinyi6382 5 หลายเดือนก่อน

    Ni mbaya

  • @godshanthomas3297
    @godshanthomas3297 5 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ata Tanzania 🇹🇿 ni marufuku

  • @alka-xo2ho
    @alka-xo2ho 5 หลายเดือนก่อน

    Ban all drugs mbann na Bhangi kwa makartel

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 5 หลายเดือนก่อน

    Hakuna shirika lilifanya utafiti hyo ni story za jaba Adan duale bunge la kumi na moja alisema wazi hiyo kuitwa cash crop ilkua makosa sababu ya Kura usilete mawakili wa kutoka huko watasapot hyo kitu

  • @BeyongoMuye
    @BeyongoMuye 5 หลายเดือนก่อน

    No kama ni kitu ya manaaa basi afadhali bangi kuliko hiiiiizi siasa za watu ambao hawajielewi hiiii vitu n sumu hebu wapeleke mashule kama wanataka tu advertising hiiii

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 5 หลายเดือนก่อน

    Lete watu wa maabara wahudumu wa afya hao ndio watatoa report si wakili yy anaangalia sheria na hiki ilipitishwa tu kisiyasa

  • @Adanadow-o8e
    @Adanadow-o8e 5 หลายเดือนก่อน

    Kenya Coastal strip/Palestine Gaza strip

  • @Asma-s4l3m
    @Asma-s4l3m 5 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi watu wa Citizens ni wanfki mumemleta wabara wezenu wasapoti mgokaa mbona Hakuna mpwani awakosoe hao wakikuyu nyinyi ni wabinafsi

    • @JacksonMutinda-jw5qw
      @JacksonMutinda-jw5qw 5 หลายเดือนก่อน

      Wapwani watakua na wezao Nairobi Monday,kua mpole dogo

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@JacksonMutinda-jw5qwlkni katika mjadala lazma angechanganya au angeleta mtu wa kushulika na afya lkni hivyo hao watasapot tu cz nibiashara kwao

  • @alexjaddu377
    @alexjaddu377 5 หลายเดือนก่อน

    Miraa and Mgokha is a drugs bastaaa

  • @rahmajumaan6819
    @rahmajumaan6819 5 หลายเดือนก่อน

    You all understand mugukaa ni mbaya is only that you dont want to accept the truth,pia sheria nizamungu,mungu atufundisha nini kuhusu ulevi ktk bibilia na quraan

  • @rahmajumaan6819
    @rahmajumaan6819 5 หลายเดือนก่อน

    You all understand mugukaa ni mbaya is only that you dont want to accept the truth,pia sheria nizamungu,mungu atufundisha nini kuhusu ulevi ktk bibilia na quraan