Maafisa TRA walalamikiwa ‘kuwafilisi’ wafanyabiashara Geita

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2021
  • Wafanyabiashara katika mamalaka ya Mji Mdogo wa Katoro mkoani Geita wawalalamikia baadhi ya maafisa wa mamalaka ya mapato Tanzania TRA kwa kuwatoza faini kubwa ambayo haiendani na mitaji yao, hali ambayo wamedai kuyumba kwa biashara zao na hata wengine kufilisika.
    #AzamTVUpdates #TRAGeita
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 1

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 3 ปีที่แล้ว

    *Tafadhali naomba angalia video ya wimbo wangu mpya kwa kugusa picha yangu hapo pembeni lakini pia naomba subscribe kwenye channel yangu*