NINASHUKURU SANA KWA ELIMU NZURI, ILA PIA JARIBUNI KUTAFUTA MBINU YA KUWABANA WAENDESHA PIKIPIKI KWA KUWA WAO HUWA HAWAJALI MAHALI PENYE ZEBRA. MVUKA KWA MIGUU AKIFIKA KWENYE ZEBRA BADO ANAKUWA SIO SALAMA KWA KUWA GARI LIKIMRUHUSU KUVUKA MWENDESHA PIKIPIKI YEYE HUWA HAPISHI UTAKUTA ANAPITA TUU..
Hongera sana afande na pia mandishi pia nao umeuliza maswali mazulivi hongera pia na wewe
Uko vizuri kamanda waache mapuuza
Tuna Shukuru kwa elinu
NINASHUKURU SANA KWA ELIMU NZURI, ILA PIA JARIBUNI KUTAFUTA MBINU YA KUWABANA WAENDESHA PIKIPIKI KWA KUWA WAO HUWA HAWAJALI MAHALI PENYE ZEBRA. MVUKA KWA MIGUU AKIFIKA KWENYE ZEBRA BADO ANAKUWA SIO SALAMA KWA KUWA GARI LIKIMRUHUSU KUVUKA MWENDESHA PIKIPIKI YEYE HUWA HAPISHI UTAKUTA ANAPITA TUU..
Nawatembe kwa miguu wengi hawana uerewa wa matumizi ya balabala