EFATHA MASS CHOIR - MIFUPA MIKAVU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @berthanombo1703
    @berthanombo1703 ปีที่แล้ว +1

    Naupenda sanaa,nikiusikia siwezi kaa kwakweli

  • @dafrozaraphael5547
    @dafrozaraphael5547 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana na huu wimbo hakika ni kwa ukuu wake tu Yesu, ❤❤❤❤❤❤❤

  • @frankngamlagosi6216
    @frankngamlagosi6216 3 ปีที่แล้ว +11

    Huu wimbo umekuwa baraka sana kwangu 🙏🏽. Atukuzwe Mungu wa Efatha.

  • @matridakingunza4716
    @matridakingunza4716 3 ปีที่แล้ว +9

    Efatha oyeeeeeee tuko very good

  • @SetevenyAmony
    @SetevenyAmony 9 หลายเดือนก่อน

    Wapendwa.karbuni sana.EFATHA IPO NDANI VS NJEE..mi nawapenda sana..

  • @hendricswitbert6980
    @hendricswitbert6980 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awabariki sanaa kwa utumish wenu, tunaomba mtuwwkee na mimina sifa kwa BWANA

  • @SetevenyAmony
    @SetevenyAmony 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani kwarahaa ninayo ipata EFATHA.sitoki kamwee..❤

  • @SetevenyAmony
    @SetevenyAmony 9 หลายเดือนก่อน

    Nabalikiwa sana nanyimbo hiiiiii.waooooo.

  • @janemacha9027
    @janemacha9027 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe.mtumishi

  • @nsarilema6688
    @nsarilema6688 3 ปีที่แล้ว +1

    Utukufu ni kwa Mungu.namshukuru Mungu kwakunileta efatha.najua siyo kwa bahati mbaya bali ni kwa kusudi la Mungu.mbarikiwe waimbaji wote wa efatha..

  • @thehopeshow2488
    @thehopeshow2488 ปีที่แล้ว +1

    My all time favorite glory be to God ❤️💕

  • @babafranco3366
    @babafranco3366 3 ปีที่แล้ว +7

    Mambo yote yatapita lakini neno litasimama

  • @marynyokabi1166
    @marynyokabi1166 3 ปีที่แล้ว +3

    Nime barikiwa sana

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sanaa Anna wewe niambie nitume namba Gani maana hii ni sadaka Sio soda nilitaka nikutumie soda Ila nahukumiwa.Hiinyimbo ilinitoa mahali ambampo sikutegemea natokaje kwenye Kona nilipo wekwa nilikuwa kusanyiko nikamwambia Mungu nimekuja kupokea kutoka kwako kupitia waimbaji,& wahubiri Sichoki kuisikiliza hii nyimbo nilipo isikia Kwa mara ya kwanza iliimba ndani yangu miezi mitatu, Giza lililotanda nafsini mwangu sikuliona Tena nililifukuza Kwa wimbo huu nikavuka. Lilikuwa neno la wkt kwangu Barikiwa Sanaa

  • @mussaloyde7841
    @mussaloyde7841 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii nyimbo inanibariki sana!.. Asante sana kwa ku upload!.. barikiwa!..

  • @matridakingunza4716
    @matridakingunza4716 2 ปีที่แล้ว +3

    Wonderful song

  • @silverytesha6788
    @silverytesha6788 3 ปีที่แล้ว +7

    Fantastic message😍

  • @eliamagali2189
    @eliamagali2189 3 ปีที่แล้ว +5

    Powerful song

  • @evamaryjeremiahdavid7559
    @evamaryjeremiahdavid7559 3 ปีที่แล้ว +1

    Nani kama ww Mungu wa Baba Mtume na Nabii Josephat Mwingira Efatha oyeeeee

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว +1

      Isaya 8:12 Yohana 14:15 Ufunuo 14:12 pia 1 Yohana 2:3-4
      Soma aya hizo sasaivi

    • @Kariakoo_fasion
      @Kariakoo_fasion ปีที่แล้ว +1

      nawapenda sana Mass kwaya Efatha😘

  • @godlovepenuel5645
    @godlovepenuel5645 3 ปีที่แล้ว +7

    Amazing...the best of all ⏲️

  • @godiankeezo3877
    @godiankeezo3877 3 ปีที่แล้ว +7

    First like

  • @janemacha9027
    @janemacha9027 2 ปีที่แล้ว

    Mungu.were.nimueza.was.yote.akuna.usiloliweza

  • @sophiamartin-si1zf
    @sophiamartin-si1zf ปีที่แล้ว

    🙏

  • @yustoe.s.chileu7462
    @yustoe.s.chileu7462 2 ปีที่แล้ว

    ICT naomba wimbo wa namimina sifa kwa Bwana

  • @veewilly4523
    @veewilly4523 3 ปีที่แล้ว +5

    Blessed😇

  • @chonelamakono5083
    @chonelamakono5083 2 ปีที่แล้ว +1

    Halleluya

  • @novesnuhunathan6105
    @novesnuhunathan6105 ปีที่แล้ว

    ❤❤ nan Kama Ww

  • @fabiolajustine4013
    @fabiolajustine4013 2 ปีที่แล้ว

    Kipenda roho changu

  • @ms_annahclever383
    @ms_annahclever383 ปีที่แล้ว

    😭🙏❤️

  • @berthanombo1703
    @berthanombo1703 ปีที่แล้ว

    Naupenda sanaa,nikiusikia siwezi kaa kwakweli