Hongereni sana twikinde kwa uinjirishaji wimbo huu unanibariki sana naupenda sana na hongera zaidi john maja kwa kutukusanyia nyimbo hizi zazamani zinatafakarisha sana tunaifatilia sana hii chanel maana mnatuwekea nyimbo tuzozipenda maana ni mara chache sana kuimbwa kanisani tuwaomba waimbaji mtuimbie nyimbi hizi makanisani jamani zinaujumbe mzuri mnoo zinagusa sana

Asante YESU
Kama vile mwenye kiu anavyoyatamani Maji, Roho yangu yatamani kuishi na Yesu milele.
wimbo mtamu wenye upole asante sana nyundo kwa huu wimbo hasa wakati huu wa kwaresima
Blessed sana kwa huu wimbo
Kwakipind hik cha kwalezima huu wimbo umekuwa ukinifariji sana
Amina
Sauti nzuri za kupokezana zinanifanya nisichoke kuusikiliza wimbo huu, barikiwa sana Raphael Kwa wimbo huu
Amina❤
Amina Amina feeling blessed
Aminaa
Amen
Ahsante kwa wimbo nzur na wenye ujumbe mzur❤
Amina
Aleluya
Amina
Wonderful ❤
Thanks
❤️❤️❤️
😭