ISMAIL JUSSA APOKEWA KIFALME TUMBATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 103

  • @Zivago12
    @Zivago12 5 วันที่ผ่านมา +12

    Watumbatu wana msimamo kama Wapemba. Allah awazidishie

  • @harithmohd6318
    @harithmohd6318 5 วันที่ผ่านมา +8

    Tumban mashaallah nikama PBE pamoj sana hadi zanzibar ipate maamlaka kamili 2025 inshaallah tutaipigania hata kutoa roho zenu zanzibar kwnz uslamu kwanz inshaallah

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud 5 วันที่ผ่านมา +9

    Chama hakina jeshi,hakina polisi wala mgambo ila bado watu wanakipenda hii kwasababu ya sera zake na matumaini makubwa ya watu kilichobeba kwa mustakabali wao na vizazi vyao walio baki ni vurungu,matumizi ya nguvu,ufisadi,wamepoteza ubinaadam,mwelekeo na malengo yao wapo wapo tu wanafikiria laana yakuwapa wanaadam weziwao.ila wajue tu kuwa jitihada haiondoi Qudra ya mungu❤❤❤

  • @TahirAli-i9o
    @TahirAli-i9o 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ugoma wa kofi wa mama wa tumbatu unashinda beni la ccm na tarumbeta tumbatu oyeee kazi nzuri

  • @Zivago12
    @Zivago12 5 วันที่ผ่านมา +4

    Maa shaa Allah kama enzi ya Maalim Allah amrehemu. Wa

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 5 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe ulo comments wacha ubaguzi sio uzuri sasa hivi watu washachanganya damu muhindi kamuowa mswahili. Mswahili kamuowa mwarabu. Usilete ubaguzi sio vizuri watu wote ni sawa.

  • @MuhammadGharib-x5h
    @MuhammadGharib-x5h วันที่ผ่านมา

    Tusifichane CCM Zanzibar haitakiwi kwa Wazanzibari na wenyewe wanalijua Hilo wangeweka tume huru

  • @SuolFat
    @SuolFat 5 วันที่ผ่านมา +4

    Act tumaini letu wazanzibar

  • @dreahmed2336
    @dreahmed2336 5 วันที่ผ่านมา +1

    Huwezi kumpandisha kiongozi kwenye mtumbwi kama ule bila ya life jacket kueni makini basi.

  • @iddi29
    @iddi29 5 วันที่ผ่านมา +3

    Mashaallah

  • @AliMpenda
    @AliMpenda 5 วันที่ผ่านมา

    Hawa ni watu wa ahadi sana sio watu wa mchezo hawa jora moja na wapemba watu wenye nidhamu nakulinda silka na mila zao sio apuuzi hawa mimi nawakubali sana ndugu zetu hawa.

  • @dogoabdou
    @dogoabdou 4 วันที่ผ่านมา

    Zanziba asiliyake naluga zetu ziwe mbili kiswahili na kiarabu. Lkn mungano nd sababu yayoye hayo

  • @mkubwakhamis495
    @mkubwakhamis495 5 วันที่ผ่านมา

    Mzee kapokewa kifalme na watoto Daa. Hongera

  • @sharaful-anaam138
    @sharaful-anaam138 5 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jussa anatembea km Rais wa marekani

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 5 วันที่ผ่านมา +4

    Mpaka kieleweke

    • @Zivago12
      @Zivago12 5 วันที่ผ่านมา

      Naam.

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 5 วันที่ผ่านมา

      CHAMA CHA MAPINDUZI
      KIMEFUATA NYERERE✝️
      KWELI CCM IMEKUFA KUTOKA UNGUJA HADI TUMBATU MPAKA PEMBA.

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 4 วันที่ผ่านมา

    Kwakwwli machozi yananienga umati kama huu kuridhia jambo lao wenye nguvu ya Dola wakawakandamiza haki Yao ya uchagizi Kwa kweli wawe nayo yakwenda kumjibu Mmungu Tena hukithirisha dhuluma zao Kila uchao

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 5 วันที่ผ่านมา

    Act wazalendo oyeee ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @MozaMoza-uf9vs
    @MozaMoza-uf9vs 5 วันที่ผ่านมา

    Maashallah kumbe Bado act ipoooo

  • @dogoabdou
    @dogoabdou 4 วันที่ผ่านมา

    Jaamaa tuamken twenden kujiandikisha vijana kwenye dafutar lakupiga kura lili tupate kuikomboa Zanzibar Hali tabani

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 4 วันที่ผ่านมา

    Kweli hawaoni basi hata kusikia ?

  • @RashidMussajuma
    @RashidMussajuma 5 วันที่ผ่านมา

    Mkisha maliza kucheza vigoma vyenu shusheni mitumbwi mkavue madema uongo ni maslahi Yao sio yenu

  • @Zivago12
    @Zivago12 5 วันที่ผ่านมา +3

    Wanawake wengi Maa shaa Allah

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 5 วันที่ผ่านมา

      Na vitoto chini ya umri wa miaka mitano vingi sana act itapata kura sana mwaka 3000

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 5 วันที่ผ่านมา +1

      Hata saiv kura zake ni nyingi Alhamdullillah kila nwaka ccm inafanya mapinduzi 2015 ndio waliutia kwapani mpira kabisa

    • @HamidJuma-h8w
      @HamidJuma-h8w 4 วันที่ผ่านมา

      Kwan vip nyie mnaolazimisha wanafunzi wa skuli na askari wa vikosi waje kwenye shughuli zenu na mikutano yenu au hamkumbuki ​@@RashidHaroun-c2j

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 5 วันที่ผ่านมา

    Wacha ujinga kusema waarabu wahindi kwani si watu huyo hata huko India nani anamjua kunyanyaswa mbona na hawa wanaotawala wanatua na kuwaeka watu walemavu hamusemi chochote muache kama ni muaarabu au muhindi ndio ameshapendwa wacha ujinga na ubaguzi kuleta fitina hao huwezi kuwageuza hata siku moja wakabadika maisha magumu mlo moja mtu unamshinda

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 5 วันที่ผ่านมา +2

    Inaonesha Watumbatu wamewashinda Wama

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 5 วันที่ผ่านมา

      KUTOKA MAKUNDUCHI
      MPATA TUMBATU
      MAPOKEZI YA ISMAIL
      Inaonesha kuwa Tumbatu imeshinda Makunduchi alikozaliwa Ismail Jussa.

  • @AbdulRahmanHajrah
    @AbdulRahmanHajrah 5 วันที่ผ่านมา

    Watu washachok na ujinga wetu ccm kila siku ujinga ndo unazid

  • @ABhamidTz
    @ABhamidTz 5 วันที่ผ่านมา

    Mung atujaghalie kher inshaallah

  • @RamadhaniMussa-xs5uk
    @RamadhaniMussa-xs5uk 5 วันที่ผ่านมา +1

    Tunaamuomba na Uzi aje

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 4 วันที่ผ่านมา

    Watoto wanataka wawe masomoni ila wanatuwa kisiasa

  • @abdullkhamis5406
    @abdullkhamis5406 5 วันที่ผ่านมา

    Inaonekana ACT imekubalika Tumbatu. Chime na tabassam zilizojaa kwa wananchi kwa msafara huu unaonyesha wazi wazi ushindi usio pingika.

    • @Mahirwazanzibar
      @Mahirwazanzibar 5 วันที่ผ่านมา

      Ni kwel ndio siku zote Chama pinzani ndio kinashinda kwa kura nying ila ubaya kwamba hakitangazwi kama mshindi, mshindi anatangazw CCM cku zote.

  • @dogoabdou
    @dogoabdou 4 วันที่ผ่านมา

    Ao wapemba wangine wanatoka tumbatu wakoko kibo
    Watu wanungwi pia niwapemba pia

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 5 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 5 วันที่ผ่านมา +9

    CCM watu wameichoka ,tumbatu yote kaiteka jussa😂 Tena mtu mmoja tu

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 5 วันที่ผ่านมา

      Hahaha mashudu labda haji Omar kheir awe c mtumbatu

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 5 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@RashidHaroun-c2jHaji Omari Kheri ndio atabadilisha kilicho akilini mwa Watumbatu?
      Ukoloni hakuna tena mjomba

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 5 วันที่ผ่านมา

      Baki kuusikia ivo ivo kwenye vyombo vya habari ukoloni ukoloni lakini ungeujuwa ukoloni ni nini musingekuwa mnasema mupewe mamlaka kamili kaulize somalia

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 5 วันที่ผ่านมา

      Waja leo tatizo lenu mnadai kitu msicho kijua

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 5 วันที่ผ่านมา

      @@RashidHaroun-c2j CCM miaka 60 iliyotawala hakuna cha maan ilichofanya tunadanganywa na hii miaka 4 ya Mwinyi ni ujinga Tunataka mamlaka kamili ya nchi yetu ya Zanzibar sio huu ukoloni wa Tanganyika kupitia CCM ambayo kila kitu kinasukwa Dodoma
      Wewe huitaki Zanzibar yako basi hamia Tanganyika ukaishi huko ukutakako

  • @SabahHassan-z7d
    @SabahHassan-z7d 5 วันที่ผ่านมา

    Watoto ooooo

  • @idrisamohd7518
    @idrisamohd7518 5 วันที่ผ่านมา

    Ccm wataondoka kama alivyo ondoka firauni

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 5 วันที่ผ่านมา

    asanteni tnakupendi sana❤❤❤❤

  • @Zivago12
    @Zivago12 5 วันที่ผ่านมา +1

    Maskin mguu anauvuta kidogo

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 5 วันที่ผ่านมา

    Hahaa hao watoto wachanga ndio kifalme?

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe hujitambui huoni kama ndonyoka wa baadae hao

    • @2002-h6c
      @2002-h6c 5 วันที่ผ่านมา

      Kumshabikia mjukuu wa Wakoloni siyo kuipenda nchi yako, bali ni kuisaliti, labda uwe akili huna tena, zimeliwa

    • @HomeLess-h3b
      @HomeLess-h3b 5 วันที่ผ่านมา

      Wanaobeza na wabeze ila wanna znz bado tunaimani na chetu chama act wazalendo wazalendo kwelikweli

    • @omarhusna1766
      @omarhusna1766 5 วันที่ผ่านมา +1

      Mjomba mwisho utaingia uchizi kwa choyo na roho mbaya ya chama chetu u sisi na tanganyika mtaishia mwisho wenu huu

    • @2002-h6c
      @2002-h6c 5 วันที่ผ่านมา

      @@omarhusna1766 Jamani hebu tuwe wakweli na nafsi zetu , hivi hao Watumbatu hawafanani hata chembe na Jussa, Jussa kwao ni India na ni Muhi Kumbaro Jussa ? Mtumbatu hana tofau tu, jambo hata Waafrika walio Ulaya na Marekani japo kuwa ni Ndugu zetu tamaduni tunatofautiana

  • @2002-h6c
    @2002-h6c 5 วันที่ผ่านมา

    Yaani kuna watu hawana hata haya, hivi Wazanzibari walivyonyanyaswa na kudharauliwa na hawa Waarabu na Wahindi leo hii wanamkumbatia huyu Muhindi ambaye anataka kuwarudishia yale madhila ya siku hizo, ama kweli duniani kuna watu wa ajabu sana 😊

    • @NassorOmarDadi
      @NassorOmarDadi 5 วันที่ผ่านมา +2

      Kama ilivyo kwa wazee kujuta kuzaa kicwa kibovu kama chako mwehu mmoja mwwnye damu ya kitwana na roho mbaya

    • @YahyaAbdulla-wq8rj
      @YahyaAbdulla-wq8rj 5 วันที่ผ่านมา

      Kama mpaka leo unaakili hizo poke sana

    • @MozaMoza-uf9vs
      @MozaMoza-uf9vs 5 วันที่ผ่านมา

      Jussa sio muhindi kwao makundichi mzanzibar halisi

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 5 วันที่ผ่านมา

      Hama hivi visiwa tumeshachanganya damu na Waarabu na Wahindi na tunaishi kwa pamoja kwa upendo mkubwa na kusaidiana nenda Tanganyika walipo wanyamwezi mtu wa rangi hiyo utamtafuta kwa tochi wala hutasumbuliwa

    • @2002-h6c
      @2002-h6c 5 วันที่ผ่านมา

      @@OmerSuley-gl7go Daah, poleni sana Wazanzibari, sikio la kufa halisikii dawa

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 4 วันที่ผ่านมา

    Ccm chali

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 4 วันที่ผ่านมา

    Kweli hawaoni basi hata kusikia ?