SAKATA la WATU KUTEKWA -WANAOSEMA POLISI WANAHUSIKA -IGP WAMBURA - "HATUHUSIKI - MATENDO ya AJABU"..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 หลายเดือนก่อน

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @lifardKombolela
    @lifardKombolela 2 หลายเดือนก่อน +4

    ayo unayo taja nimatukuo mepesimepesi tunachozungumzia watu waupinzani wanajiteka nakujiuwa cyo

  • @carloschikawe3244
    @carloschikawe3244 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nchii ngumu sana hii jamani

  • @mantagoyohanajeangekufa1087
    @mantagoyohanajeangekufa1087 2 หลายเดือนก่อน

    Sativa amemtaja afande Mafwere ndiye alie mteka 😢😢

  • @rutashobyanovath1116
    @rutashobyanovath1116 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani we mbwa sikupendi hata kidogo

  • @judithmwamukinga4448
    @judithmwamukinga4448 2 หลายเดือนก่อน +1

    Toa maelezo ya sativa kupelekwa osterbay sio maelezo marefu sio majibu ya maswali ya wananchi

  • @abbaviermhangos2616
    @abbaviermhangos2616 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama sio Police ninani Sasa wale ni jambazi basi sisi Tz tuwa pige bali wasiwe na bunduki zina toka wapi Wewe wa cha huogo😂😂😂😂😂😂😂

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 2 หลายเดือนก่อน +1

    toa majibu sativa je

  • @alexmduma6278
    @alexmduma6278 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu atawahukumu watekaji na hata ukimuua mwenzio leo hukumu ya Mungu inakusubiri Damu ya mtu inanena kama hutahukumiwa hapa duniani utahukumiwa mbinguni

  • @AfwilileNisaidie
    @AfwilileNisaidie 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kuna askari wengine wana busara sana

  • @VascoKasambala
    @VascoKasambala 2 หลายเดือนก่อน

    MBONA CCM HAWATEKWI

  • @mantagoyohanajeangekufa1087
    @mantagoyohanajeangekufa1087 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona Sativa amemtaja afande Mafwere ndiye alie mteka

  • @tolutolu2970
    @tolutolu2970 2 หลายเดือนก่อน

    Mi mkuu sijakuelewa

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi nyie waandishi wa habari mnashindwaje kumuuliza mifano halisi, Kama ya sativa na wakina soka???

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 หลายเดือนก่อน

    Utaratibu UKo hivi kama askari amepewa kulinda 🏧 benk inapotokea benk pamevunjwa na wezi wasipoonekana mshitakiwa wa kwanza anapaswa kuwa aliyepewa dhamana ya kulinda ndiye mshitakiwa anapaswa kuchukuliwa hatua hivyo mkuu usukwepe kuwajibika watanzania tunakutana ujiuzuru cheo hakina maana kukung'ang'ania hakina maana yoyote shuka

  • @husseinomary-dg1wx
    @husseinomary-dg1wx 2 หลายเดือนก่อน

    HAHAHAHA ITAKUWA RABDA MAJAMBAZI WAMELUDI NA STAILI MPYA HAWA IBI ERA ASA IVI HAHAHA😮😮

  • @amaniamani6391
    @amaniamani6391 2 หลายเดือนก่อน

    SOKA naye alijiteka na kama mtoa taarifa amedanganya kwanini hajakamatwa

  • @Saidndogokishiwa
    @Saidndogokishiwa 2 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo nani tukamuulize kibao naye alijiteka

  • @SharafKafanao
    @SharafKafanao 2 หลายเดือนก่อน

    Basi tuonesheni hao watu wasiyojulikana

  • @assengamn
    @assengamn 2 หลายเดือนก่อน

    IGP mwenyewe Ana muonekano wa jambazi what do you expect?

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanini hamjakamata sasa kama hamuusiki

  • @lionyibrahim926
    @lionyibrahim926 2 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa nyinyi hamuhusik ni nani mamana hakuna jitihada hazionekan Pole tz

  • @chumachuma5789
    @chumachuma5789 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama sio nynyi hapa nchini mnakazi gani mtu anashushwa kwenye gari mbele ya abiria tena kwenye gari kuna askari karulia tu tukio inafanyika hamna lolote mnajuwa hayaa

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi kumbe hata mimi naweza kuiongoza nchi hii kma haya ndo majibu ya mkuu wa police Tanzania sio mimi ata yule alikua hana d 2 anaweza kuongoza nchi hii

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 2 หลายเดือนก่อน

    Kivuli nikivuli tuuu😢

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud 2 หลายเดือนก่อน

    Sio kweli nyny wenyew hamna adabu hamtoiashirikianao yakutosha kwa wananchi pia mnatumika vibaya kwa watawala ila cc tunaamin ktk nguvu ya umma sativa kajipoteza akajipiga risasi nakujitesa sio??

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 3 หลายเดือนก่อน

    Atuwaamini hata kidogo tena nikiwaona naona kinyaaaaa amuaminiki sana sana

  • @michaelnehemia4932
    @michaelnehemia4932 2 หลายเดือนก่อน

    Ongelea watu wakubwa sio watoto

  • @ubwazungu
    @ubwazungu 2 หลายเดือนก่อน

    Huna mpya huyo wa kwenye basi la tashrif je

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 2 หลายเดือนก่อน

    Ivi jamani kuna mtu anaweza kujitaja kua mimi ni mwizi

  • @godfreyfrugence4176
    @godfreyfrugence4176 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ningekuwa rais huyu IGP ningemfuta kazi

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu wa juzi Toka kwenye bus

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 2 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo sikuizi tumeanza kuwa machizi Tanzania mpaka tunajiteka

  • @Sasakumekuchaa
    @Sasakumekuchaa 4 หลายเดือนก่อน

    IGP unenena vyema sana. Uhambazi umekoma sana panya Road kwishinineeee

  • @thadeylyimo9772
    @thadeylyimo9772 2 หลายเดือนก่อน

    Nani mwenye jukumu la kuwakamata hao watekaji.

  • @CharlesMwakajinga-r5d
    @CharlesMwakajinga-r5d 2 หลายเดือนก่อน

    Mbwana kondo ambaye munssema hadhaminiki

  • @MabulaMboje-yp1xb
    @MabulaMboje-yp1xb 2 หลายเดือนก่อน

    Mbali na hivyo kunayule dada wa yombo kafayiwa ukatili hivyo ushahidi Wanini wakati ilirushwa live hiyo kiripu tunamashaka najeshi la polisi

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi ndivyo wanavyodanganyana na mccm wenzake matako yake

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo.kuanzia lep.mtu akija kusema sisi ni .polis wakataliwe? Au hicho.amjamuliza kamanda

  • @lifardKombolela
    @lifardKombolela 2 หลายเดือนก่อน

    hahaha watu awana dini ivi kati yawanao uwa ndo wenye dini

  • @Aviator_daily_signals
    @Aviator_daily_signals 2 หลายเดือนก่อน

    Ingekuwa busara zaidi kama ungekaa kimya

  • @VicentLaurent-i7b
    @VicentLaurent-i7b 2 หลายเดือนก่อน

    Mnatutisha jamani ndiyo majibu ya uchunguzi ?

  • @IsayaAmosi
    @IsayaAmosi 2 หลายเดือนก่อน

    Aina ya uhalifu unaofanyika inajulikana.....ila mapolis kiuhalisia ni wakatili mnoooo wanakuaga kama sio binadam kukutana na polis bora ukutane na simba

  • @StamMagessa-uo3hk
    @StamMagessa-uo3hk 2 หลายเดือนก่อน

    Boss ww tuletee hao wasio julika basi hata km ww huwajui itakuwa magaidi au

  • @ElishaMwakajila
    @ElishaMwakajila 2 หลายเดือนก่อน

    Mwongo.ustudananye

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 2 หลายเดือนก่อน

    Mifano ya kitoto kulinganisha na matukio ya utekaji mzee

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi naamini jeshi la police limejisahau majukumu yake na ya kulinda raia na kuwa wanasiasa na askari wasio waadilifu kufanya kinyume na taratibu askari wetu wamekosa mbinu namna ya kupata chanzo ni haki ya Kila mtanzania kuwapa lawama nyie mliopewa dhamana ya kulinda raia

  • @SudyTupa1
    @SudyTupa1 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi kaka zangu wawiliwametekwa tangia allhamisi hadileosijafanikiwa kuwaona naombenimsaada wenu

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 2 หลายเดือนก่อน

    Futa kaz uyu wambura ana lolote mama watu kama awa awafai

  • @BakariIssa-nx3yf
    @BakariIssa-nx3yf 2 หลายเดือนก่อน

    Polis najua munajua waarif ni maccm munawalinda ndio maana muna kigugumiz

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 หลายเดือนก่อน

    Shuka upesi mtini kama zakayo mti unaweza kuwa cheo chako

  • @FrecoShirima-qb1qo
    @FrecoShirima-qb1qo 2 หลายเดือนก่อน

    Vipi kuhusu Satifa?

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 2 หลายเดือนก่อน

    Kombo mbwana tupe jibu

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu atawalaani nyie na familia zenu kwanini upinzani tuu ndo watekwe? Mbona wengine hawatekwi? Ongea tuu ila Kwa mungu majibu ni hapa hapa duniani na mtu akipenda police mbona akifatiliwa mnacema hayupo na baadae anakutwa amekufa?

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 หลายเดือนก่อน

    Kama sio ninyi mtuambie ni nani mtu letee

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini jamii haina imani na police?

  • @HeriMohamedi
    @HeriMohamedi 3 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 2 หลายเดือนก่อน

    Kama hamuusiki nan anauska ?

    • @zunyagapeter4647
      @zunyagapeter4647 2 หลายเดือนก่อน

      Kama una D2 huwezi kumwelewa IGP

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 2 หลายเดือนก่อน

      @@zunyagapeter4647 Polis ndo wanajukum la kujua nani wanateka watu na kuwauwa wanapata mishahara kwa kaz hiyo kama awajui sasa nan anajua!

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 4 หลายเดือนก่อน

    Watekaji na wauaji ni police na hata ukamataji haufuto tarati na Sheria Yani wakitaka wanakukamata na wanakupereka kokote

    • @STAZIUSMAGOMA
      @STAZIUSMAGOMA 4 หลายเดือนก่อน

      si wanakupeleka hata kwa baba yako

    • @bakarikayugwa3295
      @bakarikayugwa3295 4 หลายเดือนก่อน

      @@STAZIUSMAGOMA kumbe inawakera jua nanyi ipo siku mtakufa tu msijione miungu

    • @STAZIUSMAGOMA
      @STAZIUSMAGOMA 4 หลายเดือนก่อน

      @@bakarikayugwa3295 🤣🤣

    • @StellaKaluwa
      @StellaKaluwa 3 หลายเดือนก่อน

      Polisi Tanzania ni miunguwatu walitaka uishi unaishi WAKIUA wengine wanachukuliwa hatia je Hawa POLISI WANAOua watu BILA KUWAFIKISHA kwenye VYOMBO vya sheria wanachukuliwa hatia Gani? Wamua watu polisi hawashitakiwi hapo unapotezea TU polisi ndio wauaji namba moja

  • @shaban6644
    @shaban6644 4 หลายเดือนก่อน

    Wanao Fanya hivyo Ili kunichagua CCM, hakika Huo ni Upumbavu. Serikali Wala Haiuhusuki Bali ni Wimbi la Ujinga Wa Kisiasa linalofanywa na Watu Wasio itakia mema Nchi Yetu.

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 หลายเดือนก่อน

    Utaratibu UKo hivi kama askari amepewa kulinda 🏧 benk inapotokea benk pamevunjwa na wezi wasipoonekana mshitakiwa wa kwanza anapaswa kuwa aliyepewa dhamana ya kulinda ndiye mshitakiwa anapaswa kuchukuliwa hatua hivyo mkuu usukwepe kuwajibika watanzania tunakutana ujiuzuru cheo hakina maana kukung'ang'ania hakina maana yoyote shuka

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 หลายเดือนก่อน

    Utaratibu UKo hivi kama askari amepewa kulinda 🏧 benk inapotokea benk pamevunjwa na wezi wasipoonekana mshitakiwa wa kwanza anapaswa kuwa aliyepewa dhamana ya kulinda ndiye mshitakiwa anapaswa kuchukuliwa hatua hivyo mkuu usukwepe kuwajibika watanzania tunakutana ujiuzuru cheo hakina maana kukung'ang'ania hakina maana yoyote shuka