#MIZENGWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our TH-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

ความคิดเห็น • 40

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว +1

    Doctor usinifokee. Mnajuwa sanaa mjomba kapatikana

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaaaaa bigup saaana wakali wa commedy,,,mnaburudisha na darasa plus

  • @JohnMwalwembe-rl9tc
    @JohnMwalwembe-rl9tc ปีที่แล้ว

    Ni kweli sisi binadamu ni WA na fiki safi sanaaaa Doctor mkwere iyo ni fundisho kwa watu wengine

  • @ffsss3367
    @ffsss3367 ปีที่แล้ว

    Nimependa hyooo

  • @KawezaSeleman-zs6ng
    @KawezaSeleman-zs6ng ปีที่แล้ว +3

    Hi familia Kama yetu siutani hi inatokea

  • @mrimhosen6546
    @mrimhosen6546 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sna washiriki muko juu

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huyu sumaku ana talent kweli, ila wote mpo vizuri .

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 ปีที่แล้ว +2

    Familia itashindwa kukupa chakula ukiwa mgonjwa hadi njaa ikuuwe lakini wako tayari kupika masufuria ya pilau na vinywaji kwa ajili ya mazishi. Mtihani mkubwa huu.

  • @arafamkuchika7172
    @arafamkuchika7172 ปีที่แล้ว +6

    Wa kwanza leo sijawai kwakweli like zenu wadau 😁

  • @IluMshana-ni8xf
    @IluMshana-ni8xf ปีที่แล้ว +10

    Tupo tayari kukaa na wewe hata miaka saba lakin sio tukusamehe deni😂

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni funzo kumbwa sana

  • @ffsss3367
    @ffsss3367 ปีที่แล้ว

    Safi san safina ipo

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY ปีที่แล้ว +2

    Mabingwa wa kimataifa
    Munajua sanaaa

  • @jamesgeofrey8692
    @jamesgeofrey8692 ปีที่แล้ว

    Mkwere Knowszzzzz

  • @antonysiku9082
    @antonysiku9082 ปีที่แล้ว

    Jaman mjomba mjomba daah

  • @newgeneration9524
    @newgeneration9524 ปีที่แล้ว +1

    eti "what a tricky situation"😄 ila mkwele kwenye kundi zima ndo namkubali zaidi

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 ปีที่แล้ว +1

    Sumaku anasema yeye kiongoz wa familia sio kiongoz wa bili🤣🤣🤣

  • @veronysiwale7832
    @veronysiwale7832 ปีที่แล้ว +2

    6,000 ninayo ila hiyo nyingine sina

  • @nicotawi
    @nicotawi ปีที่แล้ว +3

    Filum Ni Nzuri,Story wise,lakini katika maadili ya Kazi, Daktari hapaswi kufanya kama alivyofanya Mr Mkwele

  • @yahayaallytv2852
    @yahayaallytv2852 ปีที่แล้ว

    Funzo kubwa saana

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 ปีที่แล้ว

    Swafiiiii saaana mgonjwa ,,akili Mingi,,,ungekimbilia hata njia ile ya chuo😭😭

  • @athumanmgissasimbadamu3316
    @athumanmgissasimbadamu3316 ปีที่แล้ว

    Misaluti 😀😀😀😀😀😀😀

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 ปีที่แล้ว

    Maishab
    yetu haya 😂😂😂😂😂

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 ปีที่แล้ว

    Mkwere hapo mmetisha hata laki5 anatoa akafanyie biashara maiti

  • @newgeneration9524
    @newgeneration9524 ปีที่แล้ว

    Mgojwa amefariki rasmi😂

  • @ombenimasawe5441
    @ombenimasawe5441 ปีที่แล้ว +3

    SUMAKUUUU🤣🤣🤣🤣

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 ปีที่แล้ว

    Kufa kufaana😂😂😂😂😂

  • @athumanmgissasimbadamu3316
    @athumanmgissasimbadamu3316 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @abdallahkassim318
    @abdallahkassim318 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂

  • @jacklinejacklinejonh6530
    @jacklinejacklinejonh6530 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ramadhanurassa2410
    @ramadhanurassa2410 ปีที่แล้ว

    Sumaku hatari

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅😅

  • @dodimohammad
    @dodimohammad ปีที่แล้ว +2

    Haya ni mambo ya ukweli, ni mambo yamefanyika na bado yanafanyika, kama kisa cha South Africa cha "Rose Ndlovu" aliua familia yake ili kupata hela tu...waafrika hatupendani na ndio maana sisi bado ni watumwa na uhuru wa ndotoni.

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂