@@leonardemmanuel9249 Tayari nini? Mbona wanaume wa siku hizi mumezidi na kuongoza kwa uongo chuki na umbea? Mungu anakuona ujue na huo mdomo wako kama mchawi. Kwani kupungua ni ajabu peleka unafiki mbele.
@@kdloon2030 Basi endelea kupima ila acha kuangalia maisha ya wengine kwani wewe akikonda inakuhusu nini mpaka unamtabiria mabaya kijana wa watu usidhani kupima ndio dawa unaweza ukafa bila kukonda mjinga wewe.
@@ashaali7154 Ahsante dada,ila nahisi sijakutukana na wala wewe sio huyu ninae muongelea.Mimi nimeuliza swali ambalo lina mshangao ndani yake coz kipindi hiki wengi hua twakipenda na ndiyo maana nikashangaa jinsi afya ya mcongo inavyo zidi kunyong'onyea.Hata nami najua kutukana vyema tuu
Daudi Hilary Mtuta (ZEMBWELA) alisema hata akiondoka yeye mizengwe haitakufa Big best comedian group alltime
@@lusese1 good job bros
@@Sunnah1212 One love my Brother,, stick around fore more fan.
Jmn mm napenda sana mizengwe toka zamn naomba muendeleee kutuwekea hivi kila inapotoka
Wala usijali, Muziki ndio umewashwa sasa. kazi kazi.
Nawapenda sana ITV kwa mizengwe yao
we love you too.
RIP mzee Matata,aliact anakufa kumbe anakufa kweli
Kama umegunduwa malingo amekonda gonga like??
Mjomba Sumaku,mkongo,safi Sana.
Kumbe walijua mapema sana Mungu ni waaajabu😱😰
Maneno yameumbwa,nahilo limetokea😭😭😭😭
kabisaaa
Daa 🥹
Ndo mana dini imekataza masihara😔😔😔😔
Much love from damam city
🤣😂😂😂🤔
One love.
Dah...rip mzee matata
Mola akulaze pema mzee matata kama walikuwa wanakuotea baba.
Oooh uyu hatoboi mbona katoboaaaa...??😂😂😂😂😂😂😂
Safina hayupo kumepoza
Yaani kumbe mliigiza kweli jamani 😭
R.I.P father wangu I will mic u 4 sure
Maringo umechoka SN nn shida broo
Maisha ni magumu jamani mawazo mengi umri umesogea familia inaongezeka ujenzi umepanda kodi za nyumba juuu niatari
Hapana kukonda kule sio bure labda tayari
@@leonardemmanuel9249 Tayari nini? Mbona wanaume wa siku hizi mumezidi na kuongoza kwa uongo chuki na umbea? Mungu anakuona ujue na huo mdomo wako kama mchawi. Kwani kupungua ni ajabu peleka unafiki mbele.
@asha Ali mtu akisema tayari unaelewa Nini Dada yangu ,kiswahili ni kibantu wengi wetu hatukijui ,
@@ashaali7154 hapana Dada yangu kiswahili ni kibantu wengi wetu hatukijui,mtu akisema tayari wewe unaelewa Nini??
Bongo shidaa sn
UKIKONDA Shida ukinona maneno
Umeona eeenh Death Row?, asante kwa kutuunga mkono
Haa maiti menyewe ameamka kamani
45 minutes
Nice👍😂
Dah😭😭😭
Daaah jmn😭😭😭
Mzee sumaku hatari eti chuma chamjerumani icho
Maturubai tutapata
🤣🤣🤣 sumaku unakeraas
Huyu sumaku anamaneno makali tena hayo yake si yakuigiza ni yakweli
R.i.p matata
Mpe mji mpe maji
Namkubali sumaku jmn😄😄😄😄
😭
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅
Kipindi kina mafunzo Sana
Kipindi kinarushwa hewan jumaa ngapi nasaangap
Ujumbe mzito
😂😂
Mkongo mbona unakwisha siku hizi unaumwa nini?
Daaa malingo umepungua
😂
Malingo mbona umepungua sana
Mushi mushi
Mko vzr ila mkonqo wakonda au waumwa
Wamekwepa galama za kutoa kituu mbwa haluk ugal mlima
Huyu mcongo vipi,mbona anakwisha namna hiyo au kaisha uvagaa?
wewe umepima?
@@emmamatemu8225 nilisha pima 6times
Mtu afanya diet bwana vyuma vigumu aisei