SIASA, VIJANA NA MAENDELEO Ep 03

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Mtazamo wa zamani unaonyesha watu walio na umri wa kuanzia miaka 18-35 ambalo ndilo kundi la vijana hawana ushiriki katika siasa, wengi hawapendi kujihusisha wakidhani haiwaathiri maisha yao moja kwa moja.
    Kupitia episode hii utaweza kuelewa kwa namna gani vijana wanaathirika na maamuzi ya kisiasa, jinsi gani vijana wanaweza kushiriki katika siasa.
    Msikilize mdau wa maendeleo, siasa na vijana bwana Rolland Malaba na Mwenyekiti wa UVCCM UDMS bwana Isack Sumbali wakiichambua hii mada kwa undani.
    #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
    Credits
    1. Executive Producer & Director: Carol Ndosi
    2. Director of Production: Calvin Kulaya
    3. Produced by: 123 Productions in Partnership with LP Digital
    4. Host: Roman Shirima
    5. Guest 1: Roland Malaba - Mdau wa Maendeleo, Siasa na Vijana
    6. Guest 2: ⁠Isack Sumbali - Mwenyekiti wa UVCCM (UDMS)
    7. Cameraman: Silvester Kikoti, Zachary Mchunguzi & George Mhamiji
    8. Photographer: Given Mgogosi
    9. Editor: Sylivester Kikoti
    10. Sound: Zachary Mchunguzi & Chacha
    11. Graphics: Halifa Halifa & Philemon Lusama
    12. Coordinators: Samwel Henry & Warda Hemed Mansour
    13. Logistics: Abdallah Ayoub
    14. Set: Kika Art of Design
    15. Social Media Manager: Warda Hemed Mansor

ความคิดเห็น • 17

  • @joshuaurasa670
    @joshuaurasa670 หลายเดือนก่อน +1

    huyu madenge huyu nimemkubali sana

  • @GodsonSalema
    @GodsonSalema หลายเดือนก่อน

    .mudaaa ni wetuuu hawatakiii kutupishaaa

  • @eliasingano4787
    @eliasingano4787 2 หลายเดือนก่อน +2

    Madenge namjua yupo bright sana
    Sema huyu kijana ambae ni mwenyekiti wa uvccm nimemkubali sana anajua kujenga hoja he natural born leader

  • @Mcinikalaptops
    @Mcinikalaptops หลายเดือนก่อน

    Kipindi Kizuri sana

  • @johmagician7046
    @johmagician7046 หลายเดือนก่อน

    Kipindi poa sana

  • @badilikakijana4032
    @badilikakijana4032 หลายเดือนก่อน

    Mijadala iendelee tupo vijana wenye maono tunajua tunachotaka

  • @farijidee2386
    @farijidee2386 2 หลายเดือนก่อน

    Kipindi kizuri

  • @ebenezerjoseph8900
    @ebenezerjoseph8900 2 หลายเดือนก่อน +1

    This is what we need. Hongereni sana

  • @kingkighuha
    @kingkighuha 2 หลายเดือนก่อน

    taifa limegundua kozi nyingne inaitwa chawa ssa hapo kutoboa n ngum

  • @YundeKhamis
    @YundeKhamis 2 หลายเดือนก่อน

    Vijana wenzetu mnatuwakikisha vyema,well done

  • @samiyaJam
    @samiyaJam 2 หลายเดือนก่อน

    Vitu vijana tunataka kuona kwa sasa

  • @eliasingano4787
    @eliasingano4787 2 หลายเดือนก่อน

    Niliona kijana mwenzangu anatumia vibaya nafasi aliyopewa naumiaa mnooo

  • @eliasingano4787
    @eliasingano4787 2 หลายเดือนก่อน

    Chair uvccm Hana mihemko yupo calm

  • @Rey-hu4kf
    @Rey-hu4kf 2 หลายเดือนก่อน

    show pendwa kwa sasa

  • @kingkighuha
    @kingkighuha 2 หลายเดือนก่อน

    kka hapo ata special seets bungeni zinabagua asee

  • @eliucpaul3847
    @eliucpaul3847 2 หลายเดือนก่อน

    Najifunza mengi hapa

  • @JumaWakuja
    @JumaWakuja 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana vijana