IBADA YA MKESHA WA KUYAJUA YASIYOJULIKANA NABII DKT. JAMES NYAKIA LEO TAREHE 06/12/2024.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024
  • Prophet James Nyakia - SOJA MEGA ONE CHURCH
    Nabii Dkt. James Nyakia ni Nabii ambaye Mungu amemuwekea nguvu ya kuona jambo lolote ambalo binadamu amefanyiwa katika maisha yake, nani aliyefanya, lini alifanya, na kwa nini alifanya.
    Pia, Mungu ameweka nguvu katika viganja vya mikono yake ambapo kupitia nguvu za Roho Mtakatifu, viganja vya mikono yake hugeuka na kuwa kioo au kompyuta na kumuwezesha kuona ugonjwa wowote katika mwili wa binadamu, uwe katika figo, ini, tumbo, au kichwa na Roho Mtakatifu hutoa suluhisho la kudumu.

ความคิดเห็น • 1

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 15 วันที่ผ่านมา

    NIKO MOSHI NAFATILIA IBADA HII INANIINUA IMAN