Kuota ndoto ya kuomba dua || Inajulisha kufanikiwa maishani mwako || Shekh khamisi suleiman ||

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nimeota nasoma dua rabbana atinna fidunia Asana wafil Akhera Asana wakinadhabanar

  • @mamaafrika1481
    @mamaafrika1481 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru shakhe unachambua vizuri sana kila mtu anapata maana yake

  • @RAMLATU-i3y
    @RAMLATU-i3y ปีที่แล้ว +1

    Wallaykum sallam warhamatullah wabarakatuh

  • @groliarafaeli7232
    @groliarafaeli7232 ปีที่แล้ว +1

    Shekh nimeota eti naenda kupewa azabu shuleni na angali nisha maliza shule kabla sijaenda niliita jina la mwenyezi mungu mala 3 kwa imani nikashituka

  • @zakiahole6871
    @zakiahole6871 ปีที่แล้ว +1

    Ostadhi mimi nilitoa ndoto sheikh amenisomea dua akanishka mabega yangu akaniambia umepona na mim npo nasumbulia na maradhi ya kishetan

  • @mariamusultan2659
    @mariamusultan2659 ปีที่แล้ว +1

    Assalam alleykum shekh mm nimeota tumekusanyika watu wengi tuu tunasoma dua lkn badae mvua ikaanza kunyesha,Yule shekh mmoja wapo akawa ananisemesha kubadilisha mahali pa kukaa. Inamaana gani 🙏🙏

  • @hanashhanash535
    @hanashhanash535 ปีที่แล้ว +1

    Shukran 💯

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 2 วันที่ผ่านมา

    Mm nimeota nipo makaburin naomba duwa

  • @MohamedOther
    @MohamedOther 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeota watu wengi mskitini tukaswali halfu shekhe akatoa dua halafu tukatoka lakini tukaonana na marafiki ambao muda mwingi hatujaonana

  • @Aisha-cu4wh
    @Aisha-cu4wh ปีที่แล้ว +1

    Mm niliota nataja hii kulhua llah ahad nikiwa nimelala lkn ilikua namuombea mtoto wngu sijui ina maana gni

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu 2 หลายเดือนก่อน

    Mi nimeota mashekhe wa naomba dua

  • @ShylaJuma
    @ShylaJuma 7 หลายเดือนก่อน +1

    Assalam aleykhum warahmatullah taalah wabalakatuh, Shekhe Mimi Huwa naota mara kwa mara nasoma ayat kursi hii ina maana gani.

  • @hassanmustaphaabdallahabda3838
    @hassanmustaphaabdallahabda3838 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh.me.nimeota.wachawindani.nikasoma.hayati.kuusni.

  • @DiiCute-e2r
    @DiiCute-e2r 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mie nimeota naelekezwa sura za kusom kweny quraan ili niondoe mkosi na matatiz yang

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 ปีที่แล้ว +1

    Shekh mimi nimeota namuona rafiki aliyefariki ananiambia mimi sijafa ila huwwz kuniona naonyeshwa na rafiki yangu mwingine eti naye anakaribia kufariki nikaanza kuomba maombi kwa nguvu ninayoyajua hadi naanza kufurahi

  • @hanashhanash535
    @hanashhanash535 ปีที่แล้ว +1

    Shekh mimi nimeota Niko makka kwenye Alkabba naomba Dua yamanisha nni

  • @MpombaMuhammed
    @MpombaMuhammed 2 หลายเดือนก่อน

    Asalam haleykum cheikh mimi nime ota Niko nahagaliya vidéo nakatika vidéo Bana taja jina la muhammed namiye mara moja nika aza kuadisiya Astoria ya christianisme mahana yake Nini?

  • @bintifk6433
    @bintifk6433 ปีที่แล้ว +1

    Shekh me naota sana hizo dua ila nyingi nizile naona kama Kuna mchaw au kitu kibaya kinataka kunidhuru ndy huwa naomba sana dua jee huwa ni ndoto nzur au huwa namuombea mtu ambaye kadhurika na jambo la kishirikin na huwa namsaidia kwakumsomea dua na anapona

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 8 หลายเดือนก่อน

      Mtu akiota yupo madrasa aliyosoma zamani na mwalimu anawasomea dua nini maana yake

  • @zainabzasua6276
    @zainabzasua6276 ปีที่แล้ว +1

    Mm nimeota kuna mtu ananiombea dua

  • @majomamajoma8776
    @majomamajoma8776 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekh Sasa Mimi niliota naomba Dua ila Niko na bibi lakin alishafari nikamwa mbona hujaangalia kibra akanijibu nikubwa tufanikiwe natulikua tunaomba ananiombe nipate ndoa lkn Kwa mwanaum mkiristo, kingine Huwa naota nasoma Quran pia Leo wakat nasoma Dua baada ya sala ya alfajir nikawa kama nasinsia nikaota mvua inaninyeshea mikononi lkn nilikua nasoma Dua baadae nikashika

    • @nyumbayatibanadua737
      @nyumbayatibanadua737  2 ปีที่แล้ว

      Ndto zote hizo zinajulisha kufanikiwa katika maisha.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@nyumbayatibanadua737shekh je mtu akiota yupo madrasa aliyosoma zamani na mwalimu anawasomea dua nini maana yake. Asante

    • @snanijuma7710
      @snanijuma7710 24 วันที่ผ่านมา

      Ukiota ndoto umesimama kwa ajili ya swala na ukasikia sauti ya adhana sauti nzuri Hadi ikakuingia moyoni Hadi akili Yako ikapotea pale ukawa unafikiria Allah na ukashtuliwa kwa ajili ya swala hii ndoto inamaana gani sheikh