MZEE SAID AELEZA KWA UCHUNGU JINSI WALIVYOFUNGWA NA YANGA / UNAANZAJE KUSEMA YANGA SIO BINGWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 37

  • @jema4196
    @jema4196 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee saidi babu kubwa una baya nakukubari sana ingawa Mmi mwananchi big up mzee saidi

  • @HASSANKAMGUNDA
    @HASSANKAMGUNDA 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mzeee saidi oyeeeeeee😂😂😂

  • @ManfaceFildoline-d9x
    @ManfaceFildoline-d9x 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee said nampenda sana

  • @FatumaIssa-w1s
    @FatumaIssa-w1s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzeee noma

  • @ZawadiJustine-s6c
    @ZawadiJustine-s6c 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unajua mpira Mzee

  • @charlesmtamala4912
    @charlesmtamala4912 3 หลายเดือนก่อน +15

    huyu mzee anajua mpira vibaya mnoo 😅😅😅

  • @ngoshakulwa8348
    @ngoshakulwa8348 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee Saidi rudi kwa Chagamba. Huko mna chemistry

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 3 หลายเดือนก่อน +5

    Uyo ndo mzee side

  • @methodluoga8483
    @methodluoga8483 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ninacho mpendea mzee said anaongea ukweli, alikuag hivi na GB 64, Sahzi cjuwi ndo wameshampatia posho kumanina🤔🤔🤔🤔

  • @hamisamajoka3284
    @hamisamajoka3284 3 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥

  • @HamisiMnembo
    @HamisiMnembo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee said leo kitenge ulimkuta mjengoni😂😂

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi nitafute nafasi ya pili

  • @ManfaceFildoline-d9x
    @ManfaceFildoline-d9x 3 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @Elishamlyasinza
    @Elishamlyasinza 3 หลายเดือนก่อน

    Daah mzee upewe mauŵa ya roma

  • @Elihurumamathew
    @Elihurumamathew 3 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa anazeeka vibaya vipi mzee kasema ukweli kwani hata kabla ya dabi tayari yanga nibingwa hakuna wakutuzuia tunaoshindana nao wagonjwa tumewazidi mpaka zambi

  • @SadricAjjam
    @SadricAjjam 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mzee n yanga

  • @saidnjuka
    @saidnjuka 3 หลายเดือนก่อน +2

    mze saidiiiiiii c uktucheka sie azam leo jee endelea kutabam kama ile cku😅😅😅

  • @FumaoFumao-d8w
    @FumaoFumao-d8w 3 หลายเดือนก่อน

    Ndio yanga yuko vizuri kwa hapa TANZANIA local tournaments sasa ndio hana haki hata ya penalty dhidi ya yanga!😊

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nafasi ya pili yenyewe mtiti kuna awo singida big starz na singida fountain gate ni wa moto balaa😆😆😆
    Kwanza nyie vishkwambi makolokwinyo wale singida fountain gate mliwafungaje na hicho kikosi chenu kibovu au ilikuwa ni ile huruma ya TFF kwamba wachezaji hawana vibali🤣🤣🤣

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 3 หลายเดือนก่อน

    Ndio ukubwa huo Mzee Said,pole hupewa mgonjwa/mfiwa,mie ckupi pole bali nakwambia NDIO MPIRA,tukutane game ijayo NYUMBANI InshaAllah !,Wananchiiiiiiiiiii hao tumesepa na ALAMA 3,ubaya ubwege !😂😂😂😂

  • @AbdiAmir-w2l
    @AbdiAmir-w2l 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ukimsikira mzee saidi kwamakin ndo utajua anaongea ukwer

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ndiyo "ukikimbia nchale,,ukichimama nchale,,uchiteme Wala uchimumunye,,Wala uchimeje,,Wala uchiache ndomoni""",,ila Yanga Africa,,💥🤣🤣

  • @ZainabuTamila
    @ZainabuTamila 3 หลายเดือนก่อน

    😅

  • @emmaswai5653
    @emmaswai5653 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mshauri wa muhimu pale simba huyu awajajua tu

  • @vickhongole6611
    @vickhongole6611 3 หลายเดือนก่อน

    Wanaokupinga muda utawaambia

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee nae anazeeka vibaya mapema hii unakata tamaa na ubingwa

    • @Tee-King
      @Tee-King 3 หลายเดือนก่อน

      Mnaona mapema baadae ndio muda wa kumraumu GSM

  • @adamc2311
    @adamc2311 3 หลายเดือนก่อน

    muelekezeni huyu mzee interview za radio sio kama za online tv,

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu chizi mchome samu wote yanga hawa machawa tu tuwajua.

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 3 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mukhusinimhembere5811
    @mukhusinimhembere5811 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa mtu mwenye macho ya mbali au jicho lapili utajua nini kinaendelea hapo studio. Sisi tunaona kwa jicho lapili. Pia najua nini kina endelea acha tuupe muda nafasi. 😂😂😂😂😂😂 Hana mpangilio wa maneno mtu alie kuja studio kuhojiwa huwezi uliza naomba unisaidia halafu mwengine ana uliza wewe unataka tukasaidieje no no no no

    • @KIANGOMEDIA
      @KIANGOMEDIA 3 หลายเดือนก่อน +1

      Acha makasiriko Dogo, Huyu mzee Kila mara anapenda kuijenga SIMBA kupitia ukosoaji

    • @mukhusinimhembere5811
      @mukhusinimhembere5811 3 หลายเดือนก่อน

      @@KIANGOMEDIA wewe ni bwana mdogo SANAAA tena sanaaaa. Hatuna niambaya lakini nilazim mtu awe na mipaka kuisemea krabu yake hata kama mpinzani kapata ushindi kuna mipaka yaku zungumza elwa hilo bwana mdogo

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ligi msihalalishe ubingwa kwatimu fulani. Mzunguko wa2 Simba tutakuwa tumesha jipata tayari. Subirini.Hakuna timu yoyote narudiya timu yoyote isiyo poteza mexhi au kutowa dro. Typo hapa tuombeane uzima.

  • @francisngongi7147
    @francisngongi7147 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee nae bwabwa eeh!!

    • @abdiakida-l8z
      @abdiakida-l8z 3 หลายเดือนก่อน

      mzee anajua soka sio kama wale wa posho

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mjinga tu huyu ni yanga huyu mpumbavu huyu