Wasafirishaji waliotiwa unyonge na SGR kufutwa machozi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
- Baada ya kuanza kwa safari za treni ya kisasa ya SGR kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma, athari zimeanza kuonekana kwa wadau mbalimbali wa usafirishaji wa abiria, mathalani kupungua kwa wateja wa mabasi, hali inayozifanya baadhi ya kampuni zishindwe kutoa huduma kama ilivyokuwa awali.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Usafiri wa treni ni salama sana. Nashauri serikali iwekeze zaidi kwenye usafiri wa reli itapunguza ajali nyingi. Kuhusu usafiri wa bararabara nashauri serikali ijenge miundo mbinu ya barabara bora na salama. Mfano barabara kuu (High way) iwe na njia nne. Ni kuanza taratibu tuu kuunganisha mkoa kwa mkoa. Wasarishaji wanaotumia barabara nao wabadilike ili kuendana na mabadiliko ya ujio wa treni. Nendeni mikoa na wiliya ambazo mtandoa wa treni haujafika. Tufike mahali mabasi yatumike tu kwa kukodishwa kwa masafa ya mbali. Hongera serikali kwa SGR.
Na bado wanaringa sana hawa
Hii Nchi ni kubwa tafuteni route nyingine.
Kwani hamukujua kama kiama chenu kipo njiani au zarautu.
Naiomba serekali na shirika la reli kuweka ulinzi imara kwa njii hii maana huwezi jua roho za watu.
Badilisheni biashara msije mkahujum mradi wetu.
Huku kwetu basi Moja mara Moja Kwa wiki. Njooni huku!
Nnachokiona hapa tutahujumu Treni ambayo ndio chanzo kikubwa cha kutufikisha nchi ya ahadi kiuchumi
Mwezi ujao SGR wanaongeza route nyingine kwenda Dom, hata haa wa ndege nao watafute route nyingine wakifanya mchezo watafilisika kweli.
Mbona njia zipo nyingi au mmejalili njia morogoro dodoma njia nyingi tu ni kujipanga muende moro Dom kupeleka watu mkoani
Maendeleo huja na changamoto,
Mshaanza unafiki wenu sasa
Waamie burundi