NIWE BARAKA-TUCASA SUA CHOIR_Live perfomance

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 18

  • @odetatz3050
    @odetatz3050 ปีที่แล้ว +5

    Wimbo unaogusa moyo. Mbarikiwe sana na tuyaishi

  • @nurutossy7372
    @nurutossy7372 ปีที่แล้ว +6

    Woooow inanikumbushaaa miaka 7 ilio pitaaa nikiwq mwana TUCASA sua

    • @eliahtugara182
      @eliahtugara182 ปีที่แล้ว

      Barikiwa Sana mkuu karibu snaa SUA

  • @orwaorag8849
    @orwaorag8849 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana kwa kazi ya injili wanayoifanya.

  • @eliahtugara182
    @eliahtugara182 ปีที่แล้ว +3

    Nawapata murua kutokea tarime highlands....karibuni sana tarime a good land

  • @dotom.mishiga6805
    @dotom.mishiga6805 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo ni mtamu, umenibariki.
    Mpangilio wa muziki ni mzuri, ujumbe ni maridhawa, asante TUCASA SUA!

  • @frankmadida648
    @frankmadida648 ปีที่แล้ว +5

    Waooo, what a wonderful song, touched message and our soul uplifted to the Most Higher
    Be blessed Tucasa Sua & Sua sda Church. I miss you😇

    • @eliahtugara182
      @eliahtugara182 ปีที่แล้ว

      Umetumiss sawa lakini mmoja wetu umemmiss zaidi😂

  • @asnathkasunga9827
    @asnathkasunga9827 ปีที่แล้ว +6

    Nawapenda sana TUCASA SUA CHOIR nipo mbali ila moyo wangu upo Bado TUCASA SUA CHOIR

    • @eliahtugara182
      @eliahtugara182 ปีที่แล้ว

      Huko upo kimwili tu lakini kiroho upo huku😂

  • @AdamMwalongo.
    @AdamMwalongo. ปีที่แล้ว +3

    Nice arrangement 🎶

  • @JanethNyagala-cj1ck
    @JanethNyagala-cj1ck ปีที่แล้ว

    Jamani mmbarikiwe sanaaa❤❤❤

  • @emanuelsinkala1752
    @emanuelsinkala1752 ปีที่แล้ว +1

    Amina. Niwe baraka, Mbarikiwe...

  • @honoratahamaro4399
    @honoratahamaro4399 ปีที่แล้ว +4

    Mbarikiwe jmn, wimbo mzuri❤️❤️❤️

  • @holloshashula4874
    @holloshashula4874 ปีที่แล้ว +2

    Blessed❤

  • @milkamagesa1157
    @milkamagesa1157 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @andrewkachipande5362
    @andrewkachipande5362 ปีที่แล้ว +1

    Amen