Emotional Bongo Fleva Instrumental Type Beat “SAWA” - Marioo X Aslay X Nandy X Lody Music
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ม.ค. 2024
- #beats #instrumental #bongoflavainstrumentalbeats #afrobeat #afrozouk #amapiano #diamondplatnumz #marioo #kizomba #chino #sexybeat #Romanticbeat #sadfeelings #Darkfeelings
i like this beat
Check Me on WhatsApp numbers +255752269799
unyama sana
Karibu Bro
Daaa sio poa mzee
Karibu Boss
Nice❤
Thanks 🔥
Thanks
Daaa nime lipendaa saana beat lina ingia kote hi pap na bongo flavor
Karbu Bro!.. Whatsap number hyo kwenye Cover ya beat
Yeah
Hello pokea simu weka loud speaker//
Kila ninachoongea hapa kiweze sikika//
Naona sio fair unavyozid dhalilika//
Mwili hauna spair unachoka ukitumika//
Ni yule mchizi uliemtesa moyo wake //
ulikataa ndizi Leo unataka Ganda lake//
Yan dah ah nteee aisee
ona Leo uko wapi waliodanganya kukupenda kukupenda wako wapi//
Wana come na kukuacha
Wanakutumia//
unajiita single mother wakat hujawah kuolewa//
Ndo mm yule niliepanga kukuoa //
Ukadharau na kujiona hujakua//
Oky haya Leo mm naenjoy ndani ya ndoa//
We kutwa kubadili wanaume si watakuua//
sifurahii kukuona hvyo //
Najua unaumia unahitaji pia tulizo//
Ila unakumbuka simu nyingi nilipiga ila hukutaka pokea//
Sms nilituma zilijaa kwenye box hukujibu hata moja//
Booom!!.. 💣💣💥💥🙌🏼🙌🏼
VERSE 2
Moyo wangu umeuchana vipande pande/Siwezi amini nimepona afande..(Without you sipo sawa darling) Ooh nana.
You promised ningekuona sunday/Till morning,we'd have a fun-day...
Unapatikana wap?😢😢😮
Nichek Whatsap +255752269799