ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Hizi ndizo protocol za jeshi/polisi wa kuzuia Maandamano, Mbobezi aeleza kwa kina, itakufungua akili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 49

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu jamaa ni askari huyuu😂😂 anajua sanaa

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 หลายเดือนก่อน +8

    Dj smaa Yan tumeshiba Sana ...uyu askari katufungua akili kabisa..na katuelekeza vizuri Sana...safi dj smaa na uyo askari..nimemuelewa sana safi

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 หลายเดือนก่อน +5

    Nayapenda ayo mambo Mimi jaman..Ili kujifungua akili... safiiiiiiiiiiiiiiiiii sana

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน +7

    Vipindi Bora Sana hivi.... FUSE na GPS

  • @hamadiselemani8665
    @hamadiselemani8665 หลายเดือนก่อน +2

    Iki Ni Kipindi Pendwa Sana

  • @user-gu3ez2if8k
    @user-gu3ez2if8k หลายเดือนก่อน +5

    Tanzania tuna police force hatuna police service ndo maana wakikukamata makofi mengi virungu vingi ila tungekuwa tuna police service km wakenya tungekuwa tunaandamana hata sisi

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe หลายเดือนก่อน +1

      Acha kufuata hizo vitu za mitandao, nimeishi Kenya miaka 10 polisi akikukamata hujajitetea makofi, kuna mwamba alipigwa hadi kafa bila kusikilizwa. Tatizo la polisi ni everywhere on earth.

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 หลายเดือนก่อน +2

    Super smaa,,,ila ingependeza ungempa nafasi zaid uyo broh aongee zaid ilikuwa nafasi chache chache sana ndo umulize

    • @djsma255
      @djsma255 หลายเดือนก่อน +2

      Sawa, shida ukicha point ipite ukasubiri mbele unaisahau, na pia nikuwa tafsiria wasio na uelewa mzuri, ila nimepokea maoni

  • @user-gu3ez2if8k
    @user-gu3ez2if8k หลายเดือนก่อน +4

    Uyo anaongea tyuu sio Kwa Tanzania hii ambayo askari police anapiga popotee pale

  • @princeyabili789
    @princeyabili789 หลายเดือนก่อน +1

    I love it ❤100%

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j หลายเดือนก่อน +2

    ❤djsma,sky,hell mwinuka,Ally masubi satute kwenu humu ndani kwenye channel wasikilizaji wako vizuri siku mwalikeni Yule mchambuzi anaitwa mlangi huwa anahojiwa na gangana

  • @Calis2451
    @Calis2451 หลายเดือนก่อน +1

    Big up

  • @jumaamsuya5
    @jumaamsuya5 8 วันที่ผ่านมา

    Upo sahihi ndg unatupa elimu sana

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja 🇴🇲

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba kaeleza vzr

  • @user-gu3ez2if8k
    @user-gu3ez2if8k หลายเดือนก่อน +2

    Kenya wakikukamata ni story nyingi huku unapandishwa kwny gari lao defender ila Kwa Tanzania ukikamatwa hakyanan utajuta maji utaita mma

  • @user-je6xm3zf3d
    @user-je6xm3zf3d หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥

  • @sakitiyesse5973
    @sakitiyesse5973 หลายเดือนก่อน

    Jamaa kaongea uhalisia wote

  • @eliyanibitanga4770
    @eliyanibitanga4770 หลายเดือนก่อน +1

    10 10

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน +1

    Hata wale wanajeshi wa congo walio kimbia vita takribani wanajeshi thelathini wanehukumiwa kifo! Ni kweli kabisa

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 หลายเดือนก่อน +2

    Dj smaa..uyo jamaa ni askari??mana naona nayeye anaelimisha vizur nayo

    • @zahorsuleyman7617
      @zahorsuleyman7617 หลายเดือนก่อน +1

      Najibu kwa faida ya wengine,Huwezi kuelezea hayo kama sio askari,Hakuna msomi wakiwango chochote kile anae elewa hayo kama simuhusika,Huyo ni askari pia ni msomi/Yaani ni afsa wa rank yoyote Ile.

  • @kingnass6410
    @kingnass6410 หลายเดือนก่อน

    Dj smaa asante kwa hii my question is ikitokea umepata nafasi ya kuingia kwenye maandamano utakubali kukitoa kile unachokiona kwenye maandamano?

  • @user-gu3ez2if8k
    @user-gu3ez2if8k หลายเดือนก่อน +1

    Kwa Tanzania hakuna kitu km Iko aaaiiiisseee yaan wakikukamata ht hujafika kwny gari lao Tyr ushaiva Kwa makofi mengi na virungu vingi

    • @djsma255
      @djsma255 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 22 วันที่ผ่านมา

      Wengi tz wamekua vilema kwa kupigwa na polisi

  • @user-rk6jf6zq6d
    @user-rk6jf6zq6d หลายเดือนก่อน

    Binafsi nimejifunza meengi sana lakini Kimsingi Hapa Bongo Askari Hawafuati kipengele hata Kimoja katika hivyo Wao hujiona wapo juu ya Sheria Baasi mPaka Yatokee mambo ya kiwazi wazi Sana kama lile la mwangosi ndo kunakuwa na Hukumu kama hiyo

  • @MosesMwakinunu
    @MosesMwakinunu หลายเดือนก่อน +1

    I🎉

  • @urafikitv8458
    @urafikitv8458 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtangazaji ni very complicated si umwache msimuliaje awe huru wewe kazi yako ni kumuongoza msimuliaji

  • @Zaikadena
    @Zaikadena หลายเดือนก่อน

    Acha porojo co kwa nchi hii ww uku police awafuati izo Sheria mzee

  • @alibinali_
    @alibinali_ หลายเดือนก่อน

    Dj Smaa mbona haja ongea about Mama Samia kuhusu IMF?
    Na pia budget ya 2024 iliyo pitishwa ndani yake kuna nini?
    Na ni kweli kuhusu Bandari kuchukuliwa?

  • @vonkale8565
    @vonkale8565 หลายเดือนก่อน

    DJ Sma hufai kum interview mtu axeh.
    Unaboa sana.
    Yan unamu interrupt mzungumzaji kwa ujuaji wako axeh.
    Em jifunze kwa Sky,
    Very calm japo anajua majibu ya mtu anayemhoji.

    • @thelonewolf4429
      @thelonewolf4429 หลายเดือนก่อน +1

      Sisi tunamwelewa hatujaona shida popote labda unachuki zako binafsi

    • @djsma255
      @djsma255 หลายเดือนก่อน +1

      Usisikilize nenda kwa unao waona wanajua

    • @yvesgrace_z7152
      @yvesgrace_z7152 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli aende anakojua kuna mfaa

    • @kevicristian2738
      @kevicristian2738 หลายเดือนก่อน +1

      Wivu tu😂😂😂

    • @mackjr5291
      @mackjr5291 หลายเดือนก่อน

      Chuki tu😂

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 หลายเดือนก่อน

    AK 47 (Kalashnikov ) ni salaha bora sana!

  • @ramadhaningulinga217
    @ramadhaningulinga217 หลายเดือนก่อน

    Dj sma usichokijua sheria ya kumiliki silah akuruhusu kuiacha popote pale hivyo unaweza kwenda nayo kokokote no excuse 😢😢

    • @djsma255
      @djsma255 หลายเดือนก่อน +1

      Hata nyumbani kwako kwenye safe huruhusuwi kuiacha?

  • @user-od8tg1yt3g
    @user-od8tg1yt3g หลายเดือนก่อน +1

    tatizo dj sma unaongea sana muache mtu aelezee kwa kina ww unadakia

    • @djsma255
      @djsma255 หลายเดือนก่อน +1

      Usisikilize

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 หลายเดือนก่อน +2

      Dj sma anauliza ili msikilizaji upate kuelewa kiundani zaidi.Ila watu wenye negative mind,hua hamkosi kutaka kusahihisha,hata sehem ambayo mtu hajakosea.

  • @FahmiNassor
    @FahmiNassor หลายเดือนก่อน +1

    Jmn tupeni link ya kujiunga group WhatsApp sbb wengi tunafatilia hii Chanel

    • @djsma255
      @djsma255 หลายเดือนก่อน +1

      Number si ipo mwisho wa video kwenye maelekezo utqpata jinsi yakujiunga