Iiiiaaaaannnnn!!!....siku mingi!....great to see you and that wee ndiwe cameraman for today.....hiyo farmland si imekaa supuu.....sijawahi elewa why people love okra juu I don't....I think it's a psychological thing kama wale husema hawawezi kula omena juu zinawaangalianga.....😂...the fact that mnaweza enda kwa shamba and get fresh produce na ni majuu, ni poa sana....thanks for sharing the video ya 'boys day out'......very nice....endeleeni kubarikiwa na tunawapenda sana.
Mambo mama Love...Leo ulisema ni boys day out to the shamba😅😅Naona Emeka na Jona wamebeba ma-okra wanataka kuteleza tu🤣🤣🤣Ian akianza nyumba yake sasa amejua pahali ya kuchukua okra akuwe akiteleza pia yeye but for now wacha akule nyanya kwa wingi😂😂😂....It was a beautiful video, thank you so much...wacha tungoje ya kulaunch bike sasa
Penny hizo mashamba ni za watu individual ama ni za government.Can someone lease?Is it cheap to buy from the farm or it's the same na kubuy kwa store?Those tomatoes look sooo juicy.Tell Ian thanx kwa kutupeleka na rieng❤
@@missriungu it has a lot of benefits kwanza kwa weight loss coz of fibers na kudetox but the best is sexual health especially those experience dryness,kuteleza kunajileta kwenyewe😜
Hi mama l am one of your silent follower please is it possible to get a job in the farms l would like to apply but l don't know where , napendeza kazi yashamba
@@mvuliinsurance2977 because zimearibika and ukienda nazo lazima utalipia .Bona ubebe kitu mbaya ikaongeze kilos na your paying sio free sweetheart 😘. Thanks ❤️
Kindly guys please 🙏 like the video and share 🙏 ❤❤❤❤
Done
@@chavarapper3144 barikiwa Sana
Very beautiful tomatoes. Kudos miss Riungu.
Thanks ❤❤❤
Watching and love from DUBAI ❤
@KWIZERA96 thanks kwizera much love too
Peninah mambo? Nice video thanks to Ian. You are doing well
@Evalian198 thanks Evelina ❤️
Wow hio matawi ya malenge mixed with mito huwanga tamu especially when umeweka maziwa the ilale yummmy😋😋
@MargaretAwinja-ls7hx kabisa thanks sweetheart 😘
Your videos are always 🔥 👌 on top-notch .Wow, the tomatoes 🍅 look yummy 😋 IAN si wangebeba kachumvi ivi wakulie kwa shamba 😂😂😂
@@shiksyoungfestus emgne hawakubeba na kitunguu kachumbali kwa shamba thanks so much ❤️
Hey, good job siunite huko
❤❤❤
Wewe ni mzuri kendi❤
@@cathysiriyamachozimuchiri3236 nashukuru Sana Cathy ❤️
Nice vedio it reminds me of view ya shambani ushago very nice view.
@@andrewmwema4922 thanks sweetheart 😘
Iiiiaaaaannnnn!!!....siku mingi!....great to see you and that wee ndiwe cameraman for today.....hiyo farmland si imekaa supuu.....sijawahi elewa why people love okra juu I don't....I think it's a psychological thing kama wale husema hawawezi kula omena juu zinawaangalianga.....😂...the fact that mnaweza enda kwa shamba and get fresh produce na ni majuu, ni poa sana....thanks for sharing the video ya 'boys day out'......very nice....endeleeni kubarikiwa na tunawapenda sana.
@susanmuraguri8564 barikiwa pia Sana Susan love you gal
how big is your farm Mrs Riungu
@@phaniceanene1229 haki sio yangu sweetheart ♥️ ❤️
Wow good job, Kenyans we are handiwork
Kabisa haki thanks faith 🙏
I'm enjoying your vedios from Kenya . Kindly if you can get me that job ya shamba.i can do it with all my energy and my heart .love you madam and boss
Thanks so much Justus ❤️ 🙏 barikiwa
Nakupenda bure ❤
Nakupenda pia sweetheart ❤❤
kendy mimi uku nitaja 😂😂😂
Kabisa Josh ❤️
Wah,huku ni yues?nakuja huko kulima .
@@ndettothejuice3094 karibu Sana sweetheart
tuko hapa bright and early 😊😊
❤❤❤much more
Mambo mama Love...Leo ulisema ni boys day out to the shamba😅😅Naona Emeka na Jona wamebeba ma-okra wanataka kuteleza tu🤣🤣🤣Ian akianza nyumba yake sasa amejua pahali ya kuchukua okra akuwe akiteleza pia yeye but for now wacha akule nyanya kwa wingi😂😂😂....It was a beautiful video, thank you so much...wacha tungoje ya kulaunch bike sasa
@@michaelochieng3045 😄 🤣 ati kutereza whaa this gt me rolling 🤣 😂
Waaa chakuka sio shinda huko majuu
@beyondlimitschannel2022 kiko tele my Dia thanks for watching
🎉🎉🎉 waiting
❤❤❤❤❤
Waiting
❤❤❤❤❤❤❤
First time here. I have 10 acres of land in Texas. No equipment working to have something like that where people can pick their vegetables.
Woow that's great idea Mina may God fulfill your desires ❤❤
Waiting ✋️
Kujia kunde na marenge 😂 😆
Hey dear,,how did you relocate to states
Through k 1visa❤
@@missriungu thank you
Penny hizo mashamba ni za watu individual ama ni za government.Can someone lease?Is it cheap to buy from the farm or it's the same na kubuy kwa store?Those tomatoes look sooo juicy.Tell Ian thanx kwa kutupeleka na rieng❤
@@gladysgitau7458 ni za watu then kwa Shamba it's more cheaper than kwa store anybody can own a Shamba akitaka thanks Gladys 😊 👍
@@missriungu oh thanx for the info.nitacome siku Moja tulime☺️
@@gladysgitau7458 kabisa totalitarian my sister 😄
Huko ni wapi?@@missriungu
Peninah leo umetutupa but Ian ameka through, summer is summering i tell you mashamba ni supuu
@sarahmugo35 thanks sweetheart 😘 haki was tired
@@missriungu sorry for that, hoping to see you in the next video
@sarahmugo35 yes I promise sweetheart ❤❤
Nyanya sasa Penina unanunua next month Iano amefanya kazi poa sana ameaunguka nayo thanks for the video ❤
@Briannjuguna254 thanks Brian next summer sio next month 😄 🤣
@@missriungu hapo ni ukweli 😂😂
Ian naona anataka kujitetea haha
😂 😆 😂
Kendi na hizo okra usoak overnight ukunywe Jona atatupea matokeo😊😊
@gladysgitau7458 ati ni nini uhapen please tel me I need to try
@@missriungu it has a lot of benefits kwanza kwa weight loss coz of fibers na kudetox but the best is sexual health especially those experience dryness,kuteleza kunajileta kwenyewe😜
@@gladysgitau7458ati kutenini nasoak saii 😂😂😂😂😂thanks sweetheart 😘 sikua najua hio ❤❤
Fresh products ziko poa sana
Kabisa ♥️
Next time waendee kuvuna fruits.......Waendee na watoi wakule enye wanataka then u harvest......
Sawa dia tutaenda next time ❤️
Waiting waiting ❤
Thanks Damaris ❤❤
Nice video
@chavarapper3144 thanks so much ❤️
Hi girl , how can I get this vegetables, do they ship other states
Haki sweetheart I don't knw may be niulize ❤❤❤
Please do will appreciate ama the name of the farm. I can check it up. Will appreciate really need the vegetable
@@brendahchango5322 ok
Yah uku hatuna, what’s the name of the farm
Kuanga rada kila wakati😊
@@cathysiriyamachozimuchiri3236 kabisa 😄 🤣
I really wanted to come to the US but haiingiani kabisa, I've applied like 5tyms sijapata😢
Gods time is the best never give up sweetheart 😘
Yeah sure one day I'm gonna be there 🙏
@@officialdpromise3042 Ameen
❤❤
@@Zapharani thanks so much ❤️
Ebu you soak okra in watér overnight then drink and confirm if it worked 😂😂
@@annewambui9911 😄 🤣 😂 utaniua haki wewe
❤❤❤❤
@@immaculeecyusa1412 lov you too 😘
Ian say hey again to that lady😂
😂😂😂😂
@@cathysiriyamachozimuchiri3236 😄 🤣 😂
😹😹
Kijana anajitetea
Fisi anaskia kusema neno time ndo akuna😂
Ha😂hah😂a 😂😂 nikotwe kenya ❤❤❤
Aki pesh hzo okra niaje uneza nitumanishia kadhaa cz weeh they are the real deal IYKYK😂😂e
😂 😆 dio nilisikia
Ian anatakavhuyo dem mbaya amemmsalimia twice
😂 😆
Hii ya kachumbali itafanya nikwame kwa hiyo shamba.
@@ndettothejuice3094 😄 🤣 😂
Good job 👍🏿
Am coming to New Jersey this coming August God willing.
My interview was date 09 this month and by God's grace my visa was approved
@@jamesonyango3742 Ameen and karibu sana
Karibu
We have men out here. Kujeni muone wale husema marriage is a scam.... Jonah ako kwa shamba sababu ya family yake
@@Doris801 kabisa marriage sio scam it's beautiful to get married 😍
Hi I like ya video
@zipporahnyangau808 thanks zippy
Hi mama l am one of your silent follower please is it possible to get a job in the farms l would like to apply but l don't know where , napendeza kazi yashamba
Uko hapa ama wapi ❤❤❤
Hapa niko Florida lakini ninarafiki yangu anafanya kazi yashamba mwengini alivyo Zimbabwe. Nina Cv yake ameniomba
I so much love Kenya though l am not Kenyan
@@Kudzai-r2d thanks so much ❤️
Why did you trash all those tomatoes.....aki watu wa America!
@@mvuliinsurance2977 because zimearibika and ukienda nazo lazima utalipia .Bona ubebe kitu mbaya ikaongeze kilos na your paying sio free sweetheart 😘. Thanks ❤️
Ziko poa sana
@cathysiriyamachozimuchiri3236 thanks sweetheart 😘
Hallo Guy s Niko ndani sana pesh ako salimia jona na ian
@user-jb6wk5od6j thanks so much ❤️ 🙏 I will
❤❤❤
❤❤❤❤❤