@@missriungu haki I wish ningekuwa East Coast ningekujia. Nitaambia rafiki yangu akutafute umpeleke kwenye mnanunua haki. Naona bwanako anajua kutengeneza matawi za malenge kweli 🤣🤣
Hi Peninah, matawi ya malenge( Risosa) , matawi ya maharawe ( Rikuneni) matawi ya kunde( Egesare). Its good to plan ahead, Omogusii hapendi njaa, we love plenty always. Thanks
@@missriungu Aha! I thought so. I wanted to suggest that buy a LIGHTER instead of matches. I wish you were here I give you 2 of mine that I don't even use lol. You might already have one sitting in your house. Am sure your bwana knows about them. I actually noticed in Kenya people are substituting matches for the lighter too 😊❤️
@@missriungusweetheart ukitaka kujua how to make traditional veges ,learn through people from western part of Kenya,utapenda ,kwanza hizo zote zilifa kupikwa na Mungu(ask your hubby atajua ni Nini)😅but what I love about is ,uko na bidii sana and clean heart,zidi kubaeikiwa
labda peninah unafaa ku expel all the air inside the zip lock bags before uziweke kwa freezer...they will be fresher as you are eating them. Otherwise the way hubby is doing with the malenge leaves is the correct way
You are doing a good job , but you are in for disappointment with the taste of frozen tomatoes. Canning would have locked the original taste. I wish you would can your tomatoes instead
Guys kindly like the video ❤❤❤and share please 🙏 if you can stay blessed
Already
@chavarapper3144 thanks chava ❤️
@@missriungu huko ni State gani jameni nataka mboga za winter.
@abitu47 new jersey
@@missriungu haki I wish ningekuwa East Coast ningekujia. Nitaambia rafiki yangu akutafute umpeleke kwenye mnanunua haki. Naona bwanako anajua kutengeneza matawi za malenge kweli 🤣🤣
Your hubby is doing it the correct and perfect way.
Thanks sweetheart 😘
great video i have learnt how to preserve nyanyas in the freezer
@@zippynjema thanks sweetheart 😘
I like that kind of vlog farmers
Thanks ramsrafiki
Watching and love from DUBAI ❤
@KWIZERA96 thanks kwizera ❤️ ❤️
Watu wa kidore tuko brother 😂😂😂😂
@@KWIZERA96 😄 🤣
nice content,i love
@bradleymbewa6717 thanks ❤️ 😘
Wow wow very nice.this is impressive❤🙌
@@nkathab thanks sis 😘
@@missriungu welcome dear
Kendi umenichanua leo about kupika veges first before kukata. Much love to you guys
Thanks gal ❤️ ❤️
Just lovely...love this channel ❤❤. You guys are soo much fun
@joykambua9342 thanks joys ❤️ ❤️
I love this my Merians couple, looking lovely sana, hubby ameshikilia Mali yake vizuri, mkono iko sawa ikishika apo dear siz.
😂😂😂❤❤❤thanks gaichugi
Buya sana, sesenigwa
😂 😆 😆
Kujeni hapa tutoe stress kwa nicheko.thanks penny
😂😂😂😂karibu sweetheart ❤❤
Whaaaaaa ❤❤❤❤❤kendi US hakuna kupumzika,
@@DORCASNGETICH-i1v 😄 🤣 hakunanga nakwambia ❤️ ❤️ ❤️
Today you made me laugh....cheers 😊
@mvuliinsurance2977 thanks sweetheart 😘
Waaah jonah he is just a vibe akiwa amekata maji aki leo nimecheka kwa hii video 😂😂😂😂,aki Jonah akuwanga mzuri otherwise much love guys u make my day❤
😂😂😂😂 jona anaitisha kiberiti😂😂❤❤
@@missriungu 😂😂😂leo alikuwa amekunywa kitu😂😂
@@Njugushyobra eeh kiasi
Lovely couple ❤❤
@@mercyauma9592 thanks sweetheart 😘
I like the way you prepare risosa😅😅
@@elvinepowerskemunto1114 thanks ❤️
Watu wa vidole tuko😂😂😂😂😂love you pesh and your family 😘
@@lavendermagawa766 😂 😆 😂 live you too lavender 💜
Sisi wameru hatujui kutoa but I also learnt it from my inlaws and it makes a lot of difference
😂😂😂I'm learning from hubby
Jona anatengeneza Risosa 👌👌yummy with milk or milk cream
Yeah thanks dia ❤❤❤
Hi,kendi you can blend those nyanyas it’s easier.
@@zahradiawara9610 ooh sawa haki thanks
Thanks I was looking forward to tell her same
Thanks joy I appreciate 🙏
Its almost two years kama sijaonja greens aki😢😢 ile mate nadondoka acha tu😂😂alafu our hubby leo amebleki ya ukweli,,vibes tupu😂😂❤❤❤
😂😂😂😂anaitwa jona 😂😂
Iyo malenge inaitwa misheveve
Hey,nimeona umejipanga poa na kienyeji mboga...keep it up...and also your hubby Kwa kukusaidia Nampa 10/10%
Thanks so much ❤️ 🙏
Wow wow johna anajua kutengeneza mboga za marenge
@@onesmusonesmusmbugua3240 😂 😆 kabisa ♥️
Notification on.....waiting😊😊
Thanks so much ❤❤
It's like mko Kisii guys ... Risosa plus egesare.,the best vegetables.... That's the best way ya kutengeneza risosa.. I wish you well ❤
@@BettyMoraa-ee2nk thanks Betty 😊 🙏
Hey Kendi pass greetings to Johnaa..kumbe anajua kutengeneza malengee???such a delicious green 💞💞💞🤣🤣🤣
@@melkizedekoliech7859 I will dia thanks 😊
Hi Peninah, matawi ya malenge( Risosa) , matawi ya maharawe ( Rikuneni) matawi ya kunde( Egesare). Its good to plan ahead, Omogusii hapendi njaa, we love plenty always. Thanks
@priscahkerubo6917 thanks so much sweetheart 💗 😘
Penny umeojesha jonah kakwota leo ako na vibe kibao
Haha😂😂❤❤wacha tu
Miss Irungu tafuta market inaitwa English in new Jersey utupeleke huko kuona please please.... kairitu kameru 😊
@kellenwanjiru3485 ok sweetheart I promise 😘 💕
Hiyo kazi weee but sasa ukipika itakuwa easy.Kendi siku moja utupeleke soko English town.I enjoy your video❤salimia Ian n Jona
@@gladysgitau7458 I will dia thanks so much ❤️ 🙏 nitawasalimia
Resosa has to be removed those strings. rekuneni ria egesare very delicious
@lucybonareri8847 😄 🤣 haki hizo Majina ziunibamba thanks sweetheart 😘
Waiting
Haki Damaris thanks sis ❤❤
@@missriungu your most welcome ❤
Waiting ❤fam
@Ninalyhlau thanks lora ❤️
The only channel am addicted to❤ alafu leo niko na swali whats the name of our kababa pesh cz i only know Zendaya and Zuri😂
Thanks so much alizhia anaitwa LOVE
@@missriungu waah okay
Rikuneni is maganda ya maharagwe but the soft ones they are more delicious than kunde I used to buy them nikiishi Kisii daraja mbili market
😂😂daraja mbili tulikuwa tunaenda huko na mother inlow
maganda ya maharagwe inakuliwa aje?
@@MaryMW-i3j 😄 🤣 😄 kana vile tu unakula sukuma wiki
@@MaryMW-i3j NI tamu sana unachemsha then unakaranga Kwanza na matumbo or beef ni tamu kuliko kunde
@@missriungu Niliishi huko daraja mwembe na karibu town for 8years it's a beautiful place.
Lazima nitawatafuta nikija New Jersey
@@mercyauma9592 karibu sweetheart 💕
❤❤❤
❤❤❤❤
Hey miss Riungu!
Please tell me wapi uli pata izi mboga marenge apa US🇺🇸 please 👏👏👏 Mimi niko Virginia
@martialekatana3951 new jersey my Dia
Thks miss 😘😘 I love your channel you’re son real 👌👌
@@martialekatana3951 I'm humbled
This is the best diaspora channel.That is a
fact
We appreciate 🙏 that thanks so much ❤️
Omogusii original
Kabisa 😂😂❤❤
Next unaenda california
😂😂😂😂 ❤❤❤❤
Nice
Thanks chava❤❤❤
hapo mnaishi inaitwa aje
@bradleymbewa6717 new jersey
Hata sisi hatukoangi , tunakula hyo😅😅😅
Huko utawala Nairobi nyanya moja ni 10bob size hio naona
Whaaa ❤❤❤
What do you use the Matches for dear 🤩
Ya kuakisha moto ❤❤
@@missriungu Aha! I thought so. I wanted to suggest that buy a LIGHTER instead of matches. I wish you were here I give you 2 of mine that I don't even use lol. You might already have one sitting in your house. Am sure your bwana knows about them. I actually noticed in Kenya people are substituting matches for the lighter too 😊❤️
@venusdemilo3378 😂 😆 we hv several of them thanks ❤️ ❤️ ❤️
@@missriungu My pleasure!! 🤩❤❤❤
Kendi hivo venye hubby anatoa malenge ,thats how its done even for us Luhyas,thats how we make malenge😂
@@faithanyanzwa9637 haki sisi meru we eat it like that's kama cows 😂 😆 😂 nimelearn Leo thanks sweetheart 😘
@@missriungusweetheart ukitaka kujua how to make traditional veges ,learn through people from western part of Kenya,utapenda ,kwanza hizo zote zilifa kupikwa na Mungu(ask your hubby atajua ni Nini)😅but what I love about is ,uko na bidii sana and clean heart,zidi kubaeikiwa
Kendi vpi nawapenda kwa sana siz then umewai enda soko ya English town😂😂
@user-bm1kl9be1i noo will take you there sweetheart ❤️ ❤️nakupenda pia sis
Kendi na cooking vlogs akii😊❤
@@Ninalyhlorah sawa inakam
My village medical advice Wachana na chumvi alafu kanyanga chini🤣🤣🤣🤣🤣lol
@janetnjoroge548 😂 😆 kabisa .Jane umepotelea wapi hope you fine
@@missriungu Niko tu mama I ave been following silently
Rikuneni😂😂😂😂
@@elvinepowerskemunto1114 😂 😆 😂
Nilikua nangoja nione hizo nyanya zote zinaenda wapi coz the last time i checked haukua na sherehe
😂 😆 😂 Miriam utaniua haki
@@missriungu 😁😅
@@venusdemilo3378 😄 🤣 😂
labda peninah unafaa ku expel all the air inside the zip lock bags before uziweke kwa freezer...they will be fresher as you are eating them. Otherwise the way hubby is doing with the malenge leaves is the correct way
Ooh ok nimeelewa sweetheart thanks jona ni mkisii original 😂😂❤❤
@@missriungu kabisa 🤣🤣na leo analeta vybes. Umeona kwenye anaweka mkono?
@@loisewamaitha3269 haki jona muache tu 😄 🤣
@@missriungu 😊tunampenda tu
@loisewamaitha3269 thanks haki
You should have put the tomatoes in a smaller zip locks
It's ok zitatokana tu love ❤️
Nakujia
Kujia ❤❤
Jonah omogusii kamili
@phylosvideos4570 kabisa thanks 😊 🙏 😘
Hello
Hi
Nimanyete tikuneni ndibwati erietqq_q
Rikuneni ni bean leaves na egesare ni kunde😅
😂 😆 😂 thanks 💖
Hi peninah why couldn't you let the tomatoes ripen some more then cut and freeze. Ama that's the most red they can get there?
Yeah then ukiziweka huwa zinaoza hata before ziripen😂😂❤❤
How will you remove the tomatoes you want to cook? Si ungeeka in smaller one-time use packets ama?.. Uta defrost zote? 😢
@@pamnyagah8075 noo huwa zinatoka Tena vizuri Sana huwa hajishikani
I love kunde
@maureenmuthoni7224 me too ❤️
I like that life peninah.
Thanks sweetheart 😘
Sambaza hizo nyanya zinakaa tamuu aki
@@gracewambui4135 tuma kikapu na hii side 😂 😆
Kunde ,rikuneni
😂😂😂😂thanks sweetheart 😘 ❤❤❤
Rikuneni rieegesare, ni kunde
@@phylosvideos4570 sawa thanks so much ❤️
English mummy
👍 Thanks ❤️
Uko kwenye mko ni karibu na Brooklyn ju my boyfriend anaishi Brooklyn
@@JacklineKinoti Brooklyn countyiko new York it's like 1hr 16 minutes sweetheart ❤️
@@missriungu oh okay thank you
Wana ship kunde? Kindly share the farm contact
@@akaims1738 will ask them dia thanks ❤️
Risosa
You are doing a good job , but you are in for disappointment with the taste of frozen tomatoes. Canning would have locked the original taste. I wish you would can your tomatoes instead
Ooh I didn't knw that will try it next time thanks ❤️ 😘
The vegetables can stay in the freezer as long as they can but for tomatoes Iam 🤔
@@bettykwamboka2619 😂 😆 iknw but thy do stay
❤❤❤❤
@@PeterKaranja-n2f ❤️ ❤️ ❤️