😭😭😭 inauma sana. Hadi sasa sijaamini. Katufundisha uzalendo na upendo kwa Taifa. Sura yake iwekwe kwenye noti iwe kumbukumbu kwa kizazi cha leo nakesho. Maisha na kifo chake nifunzo tosha. Maoni!!
Najua ni jinsi gani kiongoz wet na Watanzania kwa ujuml tunapitia wakat mgumu.Inauma maan wew n mmoj wa wat wenye uchung na hii nchi.Sisi watanzania tunakuombea tunaiman utafany yale ambay mlipang pamoj na hayat amir jesh MAGUFULI tunakuomb usikat tamaa MUNGU yu pamoj na sis kwa kuongozw na wew.R.I.P
Pole sana Mama Janeth Mwenyezimungu akutie nguvu ulie kwa imani Mama inauma sana lakini hatuna jinsi tumwachie Mungu ndiye anayejua! R.I.P BABA YETU JOHN POMBE MAGUFULI!
😭😭😭Innalilla wainna Illayh rajiunah umeondoka Jemedar wetu tunakulilia😭😭🇹🇿
Pole sana ndugu zetu watanzania,
Africa tume poteza shujaa , mzalendo , Jogoo la Africa.
Tuna mlilia Rais wetu pamoja.
innallilah wainailaih rajiun Allah ampokee kwa wema. 😭😭😭
Kweli ndoimekua hivi mbona km ndoto 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿
Inalillahi wainailahi rajuun😭😭😭😭😭😭🤲kwa heri baba tynalia Baba yetu inauma ila hatunajinsi
😭😭😭 inauma sana. Hadi sasa sijaamini. Katufundisha uzalendo na upendo kwa Taifa. Sura yake iwekwe kwenye noti iwe kumbukumbu kwa kizazi cha leo nakesho. Maisha na kifo chake nifunzo tosha. Maoni!!
Mercy journey to eternity congress man... You will always be loved. May the Angels welcome you and sing for you joyful songs.... Much love from Uganda
Jamani ni huzuni😭😭😭😭
Inauma sanaa jaman Mungu tutie nguvu watanzania😭😩kuondokewa na shujaa wetu aliekuwa anatupigania😭 pumzika kwa Amani president Magufuli 😔
Polen watanzania😭💔
Daah😭😭😭😭😭😭😭
Mungu ilaze roho yamarehemu mahala pema pepon,ameen
Mungu ailaze roho yke mahal pema peponi
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🏼roho inauma sana jamani M/mungu ailaze roho ya rais wetu mahali pema peponi. Amiin🙏🏼😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Najua ni jinsi gani kiongoz wet na Watanzania kwa ujuml tunapitia wakat mgumu.Inauma maan wew n mmoj wa wat wenye uchung na hii nchi.Sisi watanzania tunakuombea tunaiman utafany yale ambay mlipang pamoj na hayat amir jesh MAGUFULI tunakuomb usikat tamaa MUNGU yu pamoj na sis kwa kuongozw na wew.R.I.P
Mungu tupatue wepes juuu ya hili jalibu tulilolipata wa Tanzania
Mama agiza wananchi wavae barakoa
Lala salama baba magufuli😢😢
Pole sana Mama Janeth Mwenyezimungu akutie nguvu ulie kwa imani Mama inauma sana lakini hatuna jinsi tumwachie Mungu ndiye anayejua! R.I.P BABA YETU JOHN POMBE MAGUFULI!
Mama Janeth pole sana mama yangu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Pole.sana.baba.majaliwa.mungu.akupe.subira
Jamani maguuuuuu uwiiiiiiiiiiii nenda salama baba yetu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mafunzo makubwa Sana kwetu ni kumuogopa Mungu na kuheshimu wenzetu na kutii sheria pia na kujua muda wowote unaondoka kwenda kwa Mungu
😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 polen san watanzania kul nafs zalikatul mauti hakuna kitacho baki sote tutarejea kw Allah
Mungu awngu amakweli kizuri hakidumu bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana liimidiwe
Lala salama mungu akuepushe na moto wa jehanam😭😭😭
Jikazee mama
Ameniliza majaliwa
Mungu ndie kilakitu ongozeni jaazi
RIP baba in peace
R.I.p
Sio kitu chepesi kuamini daa punzika baba na sisi njia ni moja😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Beer
Pole mama najua ina uma xna lakin kazi ya mungu haina makoxa mungu awe nae katika kipindi hiki kigumu
🙆🙆🙆huzuni yatanda tanzania
Uwiiiiiiii.nenda.salama.baba
Benezeth boniphece polen watanzani tumepatwa pigo kubwa
Pin copied text snippets to stop them expiring after 1 hour
JPM ajafa ila amestaafu dunia, roho yake bado hi hai, kilicho kufa ni mwili tu.
No masks??Why??
Jaman mama maria nyerere
Kwaeri shujaa Wa Afrika
kwaheri shujaa tutaonena kule binguni
Kwaher babaetu mpendwa
🌋🌋✈️✈️🌏🌏🔥🤦🤦😂😭tutalia Sana watanzania kwahaya tu,