MALAIKA { Ep 6 }

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 326

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 3 วันที่ผ่านมา +136

    Bado siku kadhaa na Masaa machache yamebakia 🎉🎉 Tunaomba Mungu aweze kutuvusha Salama tukiwa na Afsa njema..❤❤

  • @JosephBaraka-db9sj
    @JosephBaraka-db9sj 3 วันที่ผ่านมา +72

    Mungu ni mwema zaidi naimani tutafika 2025 tukiwa salama hongera sana kicheche umewapata waigizaji mahili sana na wenye uwezo mkubwa sana nawakubali sana naimani 2025 mtazidi kutupatia burudani zaidi

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg 3 วันที่ผ่านมา +2

      Unaimani gani mchawi we

    • @user-nathanboy
      @user-nathanboy 3 วันที่ผ่านมา

      @@AllyBabu-kr6lg 𝚍𝚊𝚊𝚊𝚊 𝚑𝚊𝚝𝚊𝚛𝚒😂

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 3 วันที่ผ่านมา +52

    Ajali zimekua nyingi ukiwa mzima wa afya usisahau kusema asante Mungu 👏👏👏🙏

  • @GeorgeChihambacom
    @GeorgeChihambacom 2 วันที่ผ่านมา +30

    Leo ni siku yang ya kuzaliwa namuomba mung azid kutupa nguv na afya🎉🎉🎉

  • @Johnleetzofficial
    @Johnleetzofficial 3 วันที่ผ่านมา +10

    ULIPO FIKISHA HUMURI GANI ULIPO KUJA KUGUNDUA COMMENT YA TH-cam UKI GUSA MALA MBILI INA LIKE 😂😂

  • @DannysWambi
    @DannysWambi 3 วันที่ผ่านมา +22

    Eeeeeeeeh wa Congo 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 tuko wapi mimi ndo nafunguwa mulango karibu tukutane hapa🎉🎉

    • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
      @DekelvaSoujaboy-mb8ps 2 วันที่ผ่านมา +1

      Tuko Apa mwanetu mkongo from Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 วันที่ผ่านมา +15

    Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @JacklinebosiboriMomanyi
    @JacklinebosiboriMomanyi 2 วันที่ผ่านมา +11

    Alafu kicheche uache kuchelewa bana...kitu kidogo kama hichi unachukuwa mwaka kupost😢😂😂😂nipitieni guys❤❤

  • @Elisingham
    @Elisingham 3 วันที่ผ่านมา +14

    Film ni kali sana, big up sana mzee kicheche tunakupenda 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @BUSHASHASWITCH
      @BUSHASHASWITCH 3 วันที่ผ่านมา

      ❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @zhaomanajer1644
    @zhaomanajer1644 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazi njema kbs 🥰🙏🏿

  • @Barackjumah
    @Barackjumah 3 วันที่ผ่านมา +13

    Mapema ndio best , kw mwnye atasoma hii comment namuombea happy new year❤

  • @EmileKaluta
    @EmileKaluta 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nzuri sana 🇨🇩

  • @Nestor.V8.SR1
    @Nestor.V8.SR1 3 วันที่ผ่านมา +10

    Makoti kula kuku😂 lewo likes 100 sio mingi kutoka Kenya 🇰🇪

  • @FilaWAgr
    @FilaWAgr 3 วันที่ผ่านมา +19

    Mimi ndyo WA Kuanza naombeni likes Moçambique 🇲🇿

    • @Deny859
      @Deny859 วันที่ผ่านมา +1

      From Mozambique 🇲🇿 na mm pia

  • @Manyanya-film
    @Manyanya-film 2 วันที่ผ่านมา +10

    Habari zenu wapendwa muwe na jumanne njema

  • @Assanid0dju
    @Assanid0dju 3 วันที่ผ่านมา +17

    Wakwanza leo toka Congo, les congolais et congolaise manifesté vous

    • @JAPHETHERI-d6m
      @JAPHETHERI-d6m 3 วันที่ผ่านมา +1

      Here we are

    • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
      @DekelvaSoujaboy-mb8ps 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@JAPHETHERI-d6mtuko Apa ndugu yangu from Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩

  • @HILARIODAMIAOVIDYOKO
    @HILARIODAMIAOVIDYOKO 3 วันที่ผ่านมา +10

    Kazi tu Mzee🇲🇿🇲🇿🇲🇿 naomba unite jila langu kwenye movie zako Mimi ninaitwa Willy joj

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mze kicheche unajitaidi sana mi nazidi kukusapot asante sana👏👏👏👏🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏👏👏

  • @shafiichusi1897
    @shafiichusi1897 3 วันที่ผ่านมา +10

    mzee unachelewa sanaaaa

  • @AntoKiri-n4v
    @AntoKiri-n4v 3 วันที่ผ่านมา +6

    Nakukubali Sana Mzee kicheche naipenda kazi zako mokuti Suri Sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RamadhanHussein-u9z
    @RamadhanHussein-u9z 3 วันที่ผ่านมา +6

    Jitahid kk ongeza angalau dakika ziwe nyingi kidogo kazi nzuli

  • @TuzoMtuku
    @TuzoMtuku 3 วันที่ผ่านมา +5

    Makoti unachelewesha kazi sana aisee ila uko poa movies nzuri hii

  • @KastrojayMuleghusa
    @KastrojayMuleghusa 3 วันที่ผ่านมา +4

    Congo butembo na itazama malaika hongera mzee makoti

  • @RamadhaniMshana-gk6vm
    @RamadhaniMshana-gk6vm 3 วันที่ผ่านมา +6

    Kicheche we nomaaa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kinarachimbi5095
    @kinarachimbi5095 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mali Safi ila unachelewesha mkuu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kazi safi kabisa

  • @deamber775
    @deamber775 3 วันที่ผ่านมา +5

    Unachelewesha sana mwendelezo aiseee mpaka tunasahau tulipoishia

  • @AnnMbatha-f2z
    @AnnMbatha-f2z 3 วันที่ผ่านมา +5

    We mzee makoti kazi unachelewesha kwa sana mbwa kicheche

  • @BernadAyubu22
    @BernadAyubu22 3 วันที่ผ่านมา +4

    Nakukubali sana kicheche sema unachelewesha sana

  • @Almas-tf3eb
    @Almas-tf3eb 3 วันที่ผ่านมา +4

    Mzee kichecheeee nakupenda Sanaa

  • @blacknovaafrican
    @blacknovaafrican 3 วันที่ผ่านมา +6

    Kabisa kicheche from south Africa 🇿🇦

  • @StephaneEdinga-i6z
    @StephaneEdinga-i6z 3 วันที่ผ่านมา +4

    Depuis kinshaasa naona malaika🇨🇩🇨🇩

  • @kichecheBurund
    @kichecheBurund 3 วันที่ผ่านมา +5

    #nawatakiya mwaka mpya nyote pia malaika isonge mbele dondosha like Kama una amini ivo🎉🎉

  • @BilaliFadhili-u6p
    @BilaliFadhili-u6p 2 วันที่ผ่านมา +3

    good san kicheche mungu akuondolee changamoto kwenye kuandaa mzigo wetu mzuri😮🎉❤

  • @salumuwembo-fo5rr365
    @salumuwembo-fo5rr365 วันที่ผ่านมา +2

    Naipenda Saaana From Congo 🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉🎉

  • @gweremuhidini4204
    @gweremuhidini4204 3 วันที่ผ่านมา +7

    Leo nimekua wakwanza jaman kutoka 🇴🇲

  • @TsumandaroTsuma
    @TsumandaroTsuma 3 วันที่ผ่านมา +5

    Movie nzuri tatizo unachelewesha kutoa baba hebu jaribuni kuwa faster bac

    • @joshuasakwa1548
      @joshuasakwa1548 2 วันที่ผ่านมา

      Hata baada ya kicheche kujieleza kuwa material yalipotea anashoot upya, bado hamtaki kuelewa

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera sana kaka kicheche kwakazi nzuli ila ombi na maoni tafadhali nenda namuda kazi inachelewa sana

  • @CasemiroCasemiro-uc3gn
    @CasemiroCasemiro-uc3gn 3 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani tumiombe mungu kwakweli mana wapo wenzetu ambao hawaja fika si ni nani mpaka tusimshukulu mungu Kwa kutuweka hai mpaka Sasa jamani embu tumshukulu mungu ndugu zangu sio kama tumekamilika Bali ni Kwa neema zake yeye ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉❤🙏🙏🙏🙏🙏💗💗tuombe tuvuke mwaka salama jamani ndugu zangu

    • @CasemiroCasemiro-uc3gn
      @CasemiroCasemiro-uc3gn 3 วันที่ผ่านมา +1

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Gequearmando
    @Gequearmando 3 วันที่ผ่านมา +3

    Unyama sana mwamba i'm from Moz 🇲🇿 mandar vir LIKE

  • @Costantino-xp5bu
    @Costantino-xp5bu 3 วันที่ผ่านมา +3

    Pole kaka kwa matatizo yaliyo jitokeza tulikumiss sana

  • @MakoBoy-u6l
    @MakoBoy-u6l 3 วันที่ผ่านมา +3

    Apo fresh kiongozi tume isubiri sana jamani ongera sana. Ila tatizo muna chelewesha kazi

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 3 วันที่ผ่านมา +5

    Kula kuku 😅

  • @KwelibasiMinaniChristophe-c9l
    @KwelibasiMinaniChristophe-c9l 2 วันที่ผ่านมา

    Mimi ndo wakwanja Ku followers naomba likes zenu Ku toka Congo DRC 🇨🇩🇨🇩

  • @MiltonLusaka
    @MiltonLusaka 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wa kwanza Leo kucoment kutoka Kenya👏👏

  • @Boniphacehachili
    @Boniphacehachili 3 วันที่ผ่านมา +3

    Tunaukaribisha mwaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @TonyCristy-j6e
    @TonyCristy-j6e 3 วันที่ผ่านมา +2

    Good job from in Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Founderdrc-u8g
    @Founderdrc-u8g 3 วันที่ผ่านมา +2

    Daaah ina sikitisha sana hi movie nzuru ila ubaya kicheche niuna chelewesha sana kk tafadhali nisamehe ❤km ntakuwa nime kosea ila nkm kushuri thu ❤

  • @DianaSongano
    @DianaSongano 3 วันที่ผ่านมา +2

    Leo nimewahi ila mnachelewa mno Hadi tunasahau Kuna malaika wanao ungana na mm tujuane kwa❤❤❤

  • @luckybahati1944
    @luckybahati1944 2 วันที่ผ่านมา

    Bado dakika chache tuvuke mwaka jamani 🎉kwaio tuombe mungu tuvuke sote salama 🙏 🙏

  • @RobertSaid-si5mb
    @RobertSaid-si5mb 3 วันที่ผ่านมา +2

    Sema unachelewa sana kak

  • @Babilonmovies
    @Babilonmovies 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wakwanza leo ishi😂😂😂😂😂 ata sielew imekuaje

  • @youngDvoice
    @youngDvoice 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kicheche big up my brother nipe like zng

  • @FayjNahodha
    @FayjNahodha 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nice series❤

  • @JAPHETHERI-d6m
    @JAPHETHERI-d6m 3 วันที่ผ่านมา +2

    From drc rutshuru kiwanja Niko nakufata 5/5 Japhet HB bon boulot notre meilleur kicheche

  • @JoseSamuelMuambe-ln8bx
    @JoseSamuelMuambe-ln8bx 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nilika nikisubilia, ila kicheche unacheleweza sana. 🇲🇿 maputo.

  • @DanielJoackim
    @DanielJoackim 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nikajua mwaka huu tunafunga na 100k daah ila sio mbaya wee love u❤

  • @Producer_Aoron
    @Producer_Aoron 3 วันที่ผ่านมา +2

    Ndo kuingia. Kutoka Kenya 🇰🇪

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 3 วันที่ผ่านมา +2

    Makoti kula kuku maisha changa moto 🔥

  • @JosephatPatrick-f7u
    @JosephatPatrick-f7u 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wakwanza mm naombeni like zangu hard rock kutoka tz

  • @majalaworldwide
    @majalaworldwide 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nilijua WA kwanza eh kumbe watu mapemaaaa

  • @H.compte
    @H.compte 3 วันที่ผ่านมา +3

    Wakwanza ni mimi

    • @H.compte
      @H.compte 3 วันที่ผ่านมา +1

      1:50

  • @StevenDavid-d6n
    @StevenDavid-d6n 3 วันที่ผ่านมา +6

    Unachelewesha kazi Sana mzee makoti

    • @SarahMasolwa-q5b
      @SarahMasolwa-q5b 3 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa kazi nzuri ila wanachelewesha sana

    • @SmithAfande
      @SmithAfande 3 วันที่ผ่านมา +1

      Jmn amesha tuelez makoti kuw flash imepotea yan sasa hiv wana shoot upya wanaanzia mwanzo ku shoot ndo wanaposti

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nice movie ❤❤❤🎉

  • @Pierejr
    @Pierejr 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mapema sana

  • @SmithAfande
    @SmithAfande 3 วันที่ผ่านมา +2

    Tumesubir kwa hamu mzee wetu kicheche🎉

  • @Director_Putin
    @Director_Putin 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wakwanza leo 🔥🔥

  • @LeonardodeogratiasfrançiscoDal
    @LeonardodeogratiasfrançiscoDal 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nakubar kicheche ❤️🇲🇿

  • @VictoireJérémy
    @VictoireJérémy 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi njema kicheche

  • @mr_akily_og
    @mr_akily_og 2 วันที่ผ่านมา

    Tapeliiii wee na wenzio. Hata kma mungu apkeii duaa Baayaa ..ilaaa awaalaan nyie mzee wanguu kaangaik kukopa elaa nyie mmeleta habal za kisenge

  • @Onedofficiel1891
    @Onedofficiel1891 3 วันที่ผ่านมา +2

    Basi tujuwane apa watanzania❤❤

  • @evaristiAntony
    @evaristiAntony 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wote mnaomkubali stealing Makoti au kicheche gonga like ❤❤

  • @DJVYREZ
    @DJVYREZ 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee kicheche one love fro🇰🇪🔥🤔🇹🇿

  • @Evans210
    @Evans210 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo sawa mzee Mungu akujalie

  • @shiruboysofficial9341
    @shiruboysofficial9341 3 วันที่ผ่านมา +2

    Confirmed By Vihiga Finest Official 👑

  • @CavogoCristiano
    @CavogoCristiano 3 วันที่ผ่านมา +2

    Sawa, ila munachelewesha sana ..

  • @MP_KING_PATRICK
    @MP_KING_PATRICK 3 วันที่ผ่านมา +1

    Movie iko sawa na naipenda Shida munakawiya ku post ❤❤

  • @bernardmathengendumia8458
    @bernardmathengendumia8458 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wakwanza mnipee likes much love from Kenya

  • @CedrickMutonkole
    @CedrickMutonkole วันที่ผ่านมา

    Asate sana imechafika mwaka mupya❤❤❤❤

  • @KabambaPatrick-y2f
    @KabambaPatrick-y2f 3 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani naombeni lik

  • @Almas-tf3eb
    @Almas-tf3eb 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kazii nzurii Sana

  • @elodymunezero590
    @elodymunezero590 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wakwanza leo😂

  • @mamaraoumabah7576
    @mamaraoumabah7576 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi wakwanza kutoko Africa kusin nipe like zangu

  • @abalmohd7952
    @abalmohd7952 3 วันที่ผ่านมา +2

    KAMA HAMTAKI KULETA HII MOVIE MSILETE.
    MNACHELEWA SANA BANA😂😂😂

  • @tumsifusanga5829
    @tumsifusanga5829 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuli ila unachelewesha kias kwamba Hadi tunasahau kua kubamuvi inaitwa malaika

  • @Fatuma-e8z
    @Fatuma-e8z 2 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri Sana 🔥🔥

  • @Daudisamson-t1k
    @Daudisamson-t1k 3 วันที่ผ่านมา +1

    Best season of year❤❤❤❤❤

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kicheche pamoja sana

  • @AnastasNg-jq9yc
    @AnastasNg-jq9yc 2 วันที่ผ่านมา

    Kazi zuti🎉 sana❤

  • @mamen_ttouba
    @mamen_ttouba 3 วันที่ผ่านมา +1

    Sema kicheche acha zarau nakuomba haiwezekani moviee tunaisubiri karbia wiki moja na nusu kweli alafu unatoa dakika 16 really

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 3 วันที่ผ่านมา +3

    Thanks kicheche 🎉❤

  • @MRRIGOX-dc8se
    @MRRIGOX-dc8se 2 วันที่ผ่านมา +1

    mzee kicheche hii kazi

  • @SadickFilibert-t8q
    @SadickFilibert-t8q 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nakubar saan kicheche😢😢😢😢

  • @EusébioisaiaspauloPaulo
    @EusébioisaiaspauloPaulo 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee kicheche good job in Mozambique

  • @FLepoxAlipo
    @FLepoxAlipo 2 วันที่ผ่านมา

    Endeleya n'a KAZI Yako Mze Kicheche ❤

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nice job

  • @KevinOnchwari
    @KevinOnchwari 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee Kicheche tuongeze dakika

  • @ShararaTz
    @ShararaTz วันที่ผ่านมา

    Malebo anajua sanaaa🎉

  • @NabiiAmosi
    @NabiiAmosi 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka kazi nzuri il umeanza kutoa fupi

  • @amosathuman7366
    @amosathuman7366 3 วันที่ผ่านมา +1

    Sijachelewa sana ❤