Hongera wahandisi mliojenga hii pantooni kati ya Bushishi siyo Busisi na Shigongo(Hruma) ni maendeleo makubwa. Kampuni inabidi mfanye marketing ya ujuzi wenu, muwajengee Waganda na wakenya. Pia iingie bongoland.
Ni Lini Kisiwa Cha MAFIA kitapata AHUENI kama hii ????? maana Bahari sio Ziwa. Napenda kuiomba serikali yetu ya awamu ya tano ichukue hatua zidi ya CHANGAMOTO YA USAFIRI KTK KISIWA CHA MAFIA mana ni janga la miaka na miaka. Hongera kwa Serikali Yetu Tz
Silvester Andrea Sisi Mafia ni banian Huwa ni wabaya ila viatu vyetu Dawa Kodi zetu wanazitaka Ila ss hawatutak Waache tu Wanyonge tutatesa Ahela Dinian mabek kibao,
Kagile Man Daaah! Noma sana but usijal kila kitu kitakaa sawa na soon tutapata meli kutoka DMI ya kujishikiza ila meli yetu rasmi itaanza kujengwa mwezi June mwakani na kuanza kutumika 2020 na gati la nyamisati litakamilika mwaka(2019) xo kila kitu kitaenda sawa tu wandugu. God bless our Island
Dwahee Eddoe mbunge yupo Sema hana support yyt Ile sijui pesa zinaliwa au vip angalia video yake TH-cam anaitwa mbaraka Dau alafu sikiliza anacho ongea huko bungeni
Maraisi wote walifanya kazi kwa kiwango chao kwani hizo zilizo pita nani aliweka tuacheni unafki kila raisi kapiga kazi kwa kiwango chake sio mnaleta siasa za maji taka
nikweli selikali aitazame Sehemu zingine Sasaivi kila kitu kanda ya ziwa. wakati mafia adi leo nduguzetu wanasafili Kwa magogo bahali yenye kina kilefu sana. zuluba zikitokea watu wanapoteza maisha
Hongereni sana kwa kazi nzuri siku nikija nitapanda MV Mwanza nimependa Tanzania tunaweza.
kajitahidi lais Magufuli hongeraaa umekaza huku uku ukaregeza Mungu akubariki
This is a job well done. Mwanza gets a new ferry... made in Tanzania ferry.. thumbs up!
maa shaa Allah
ila wasijaze km mwanzo itatuletea mazala km yalivotokea mwenyezi mungu awanusuru Ameen
Safi sana baba magu tunakuombea Mungu uzidi kuwepo baba
Milad hongera kwa kazi nzur unayoifanya ya kutujuza
Waoooooo naiona Rock city mpyaaa ooooh viva my motherland nazid kumiss my lovely country Tanzania soon I'll be back
kwa kweli ubora wa uongozi wa mh Rais John Magufuli unaonekana wazi kabisa. hongera Tanzania .
Hongera sana. Usafiri wa majini unahitaji umakini mkubwa sana
Hongereni kwa kazi nzur sana inamwonekano mzur Mungu amwongoze nahodha wake
MV Misungwi, Mv Sengerema, #Mv_Mwanza Mv Rais LakeZone
Home Sweet Home🐟🐟🐟
Hongera wahandisi mliojenga hii pantooni kati ya Bushishi siyo Busisi na Shigongo(Hruma) ni maendeleo makubwa. Kampuni inabidi mfanye marketing ya ujuzi wenu, muwajengee Waganda na wakenya. Pia iingie bongoland.
Mungu Bariki
Ongeleni sana mumefanya vzr ayo ndio mambo tunayoyataka
Hongereni Serikali
It's awesome thanks
TZ oyooooo..
Safi sana
Now ukiskia MV mwanza imezama ujue kabisa ilibeba abiria 20000 so mciulizw et chanzo kilikua mini huu mpango unaitwa silent killers
Chezea Raisi Magufuli,,,,,, Mwanza oyeeeeeeee, kwa raha zetu, nikitoka usagara naenda sengerema naondoka mda wowote, goooood newz!!!!!!!
Safi sana
Jpm safi sana wewe jembe msukuma
Andrew Sara ,Rip
Kwan amenunua magu
Lakini mbona makufuli anafanya mazuri sehemu za mwanza tuu
Kasahu mikoa Kama ruvuma mbeya kigoma mtwara tabora???
Nawapa hongera wote
Safi kabsaa,ilov my Tz
Mjomba magu , oyeeeeeee piga.kazi mjomba.
Waw! Safi sana Nimeipenda
Naipenda sana voice ya hamisi ABDALAAH
Congratulations, Songoro Marine!!!!!
Nzuri iyooooo Mambo ya uncle Ayo
#uzi9957 #uzi9957
#uzi9957 #uzi9957
#uzi9957 #uzi9957
#uzi9957 #uzi9957
#uzi9957 #uzi9957
#uzi9957 #uzi9957
MAASHAALLAH TA NZANIA YETU TUNAWEZA
Mpo sawa maana kigongo feli pamekuwa kero sana na magàri ni mengi sana ,hongera serikali kwa jitihada hizo!
Tieflo Mkumbo mtavassy
iko nice sana
Hongera sana
Ni Lini Kisiwa Cha MAFIA kitapata AHUENI kama hii ????? maana Bahari sio Ziwa.
Napenda kuiomba serikali yetu ya awamu ya tano ichukue hatua zidi ya CHANGAMOTO YA USAFIRI KTK KISIWA CHA MAFIA mana ni janga la miaka na miaka.
Hongera kwa Serikali Yetu Tz
Silvester Andrea Sisi Mafia ni banian Huwa ni wabaya ila viatu vyetu Dawa Kodi zetu wanazitaka Ila ss hawatutak Waache tu Wanyonge tutatesa Ahela Dinian mabek kibao,
Kagile Man Daaah! Noma sana but usijal kila kitu kitakaa sawa na soon tutapata meli kutoka DMI ya kujishikiza ila meli yetu rasmi itaanza kujengwa mwezi June mwakani na kuanza kutumika 2020 na gati la nyamisati litakamilika mwaka(2019) xo kila kitu kitaenda sawa tu wandugu. God bless our Island
Kweli
Hongera sana kwa hatua hiyo
Vizur sana
Lakin Bukoba to Mwanza vip?
Kanda ya Ziwa kijua ndo hiki 🌞🌞🌞
Wameifikishaje hapa ziwan?
Hapa kazi tu
Tunashukuru sana
kazi nzuri Tz
Wangefanya hivi kitambo to be safe
Musije mukapakia watu wengi km mwanzo tatizo lamwazo sio chombo ila watu walikua wengi zaidi
Tanzanian oyeeeee
#uzi9957
#uzi9957
#uzi9957
safi sana
Inakumbukwa tu mikoa ya Bara wakati Pwani mpk Leo kwenda mafia wanatumia magogo this is not fair decision
dah, umenichekesha sana, eti magogo
kweli kabisa tunapata tabu
Wanafurah kuona watu wanakufa ili wapate kuuza Taarifa za Habari kwenye media na magazine yao 😣
Rashidi Muhibu jimbon kwenu akuna mbunge.?
Dwahee Eddoe mbunge yupo Sema hana support yyt Ile sijui pesa zinaliwa au vip angalia video yake TH-cam anaitwa mbaraka Dau alafu sikiliza anacho ongea huko bungeni
lakini nyie songoro, kwa nini mlimzulu Erick Shigongo meli yake, mwaka 2012 aliwapa advance ya tsh 150,000,000/ MNA kesi ya kujibu mbinguni
Yeah imekaa poa sana gonga like kama umeielewa
WCB FANS TV ???
Ewe mwenyez mung ziweke roho zote pepon nasi tuko nyuma yao
This is three months ago why today watu wame zama na meli mnao mpy, ivi tuko tuna lia
Size ya hiyo ferry hauwezekani kuchukua abiriya 1000 na mizigo Yao pamoja na gari 36.
Ila ikiwa mnakusudiya kuizamisha
Yousuf Harthy fund kasema abiria 300
Yousuf Harthy haya mambo waachie wataaramu hicho cha kuizamisha umesema wewe
@@Digitalhhhhhgfgg
Sikiliza uzuri alisema 1000 siyo 300
@@yohanamgema3003
Kwani wale waloacha watu zaidi ya 300 kupanda MV Nyerere hawakuwa wataalamu.?
Na Mwishoe nini kilichotokeya
@@yousufharthy6876 sasa wewe tabularasa hata shule hukumaliza unamfundisha kazi engineers? Maajabu
Nice news is good
Vzr
Poa sana ila wekeni life jackets za kila abiria
hongereni sana
Ayo ndo mambo sasa
Hii ni hatua ya kujivunia Tz
Ningependa iitwe MV MAGUFULI JP
waoooooo mwanzaaaaa safi sana
Iko vizur
Hapo sawa ank magu
Tanzania_kama.uraya.inawezekana.
Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba kuwenderea kuwaongoz viyongoz wetu weto na raisi wetu
tanzania oyee
mambo ni moto
Well done
Nishidaaah
Muko,vizurk
Hii meli ndio umesababisha vifo vya wenzetu 😎😎😎
Mashaallah
Maraisi wote walifanya kazi kwa kiwango chao kwani hizo zilizo pita nani aliweka tuacheni unafki kila raisi kapiga kazi kwa kiwango chake sio mnaleta siasa za maji taka
Hahahaa omari wewe maji taka duuh. Umeropoka kweli
Hakika umesema kweli kila rais kafanya mema yake mazuri tu, wengi watu wana unafiki tu kumsifia Magu eti anachapakazi sana, nyoo
ndo hio ilio ua watu😢😢😢
Cio hiyo
kilimanjaro tumetengwa
good,
Hahahaha sasa hivi haipo na nimbovu shida ziko palepale
Good
Good tz
mala ndo linaenda moja kwa moja linazamaaaaa😂
😂😂😂😂😂😂Allah haachi mja wake
Mwazan Gomaa mawazo finyu
hapo busisi magufuri aliahidi atajenga daraja sasa hicho kivuko cha nini?mwanza tunataka meli bukoba to mwanza ccm acheni danganya toto
nikweli selikali aitazame Sehemu zingine Sasaivi kila kitu kanda ya ziwa. wakati mafia adi leo nduguzetu wanasafili Kwa magogo bahali yenye kina kilefu sana. zuluba zikitokea watu wanapoteza maisha
mkungu pala Kila ki2 kanda ya ziwa?una uhakika!??,,flyover,mwendokasi,SGR na zenyewe zpo knd ya ziwa?
itasaidia sana
Hiki kimekuja kingine kimezama jamani huu ni uchawi au !!??
Vizuri
Leo hujawa wakwanza 😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakupenda
v
Bhabehiiiii! !!.....
Km MV magogoni
iki ndokilicho uwa wa2bana sio new😭😭
mpenzi
Moshi....kilimanjaro vipi...mmewatenga
Haahaahaaahaaaaa Hatutaki Meli huku tuko poaaa
Uyo mkuu wa mkoa analeta siasa tena
Deus Ernest ni boya hilo jamaa
ila Mwanza nitarudi tu
toa chuma weka chuma
Asly
mjemjenge kama niloiona ya vumba 7
Inaitwa AIDA
Ndo icho kimeua watu 😡
Hapana hyo mpya
🙏🙏
Mkuu wa mkoa acha siasa magu magu hadi lini
watu 250 walotengeneza
Ferry boat!!!
🙌 🙌 🙌
nibora mngeweka dalaja
Denice Gaspar Denice Gaspar Kivuko ni daraja linalotembea kwa SHERIA, ukifa wanakuzika2, IKIZAMA Na MALi Hakuna Chochote YAMETUKUTA Mt KILOMBERO
Mko sawa
Wadhuuunguuu wamemaindiii mngejua msingetangaza tayr hapo tushakosa msaada
Asante babu mungu akuzidishie kila laheli
@@oman11oman59 Karbu mwanza .....mwnz safiiiiiii tz inapendeza hapa kazi na kweli kazi tu
Goodluck Mrosso hhhhh
MASHA ALLAH Mwanzaoyeeeee.safi sana TZ
Una akili timamu kweli wewe?
mia
Sasa ii meli itakuwa inaenda wap
Saimoni Wajeki sio meli bhan,,hiyo ni feli/kivuko
Saimoni Wajeki asiejua maana usimwambie maana.
Hongereni Kwa ujuz huu
nce
Poa
2 views