Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwakunilinda Hadi hii Leo😊Nitabaki TANZANIA Hadi nifie TANZANIA Kwa shida & Raha🥰Nazipenda FIGO zangu🥰I LOVE ❤TANZANIA🇹🇿 I LOVE ❤FIGO 🎊 ✅
Niliondoka na mkataba na kibali nanikafika huko taesa ila hakuna msaada wowote ukipata changamoto kikubwa mtangulizi Mungu na wewe mwenyewe ujue kujisimamia basi hasa hiyo Qatar mmh😢
Nchi hizi za kiarabu haziheshimu haki za binadamu, haswa za watu weusi. Wanaheshimu sana haki za wazungu, kwasababu nchi zawo zinawajali. Mukipeleka watu lazima mufuatilie. Wakifika tu huwa wananyang’anwa passport zawo na kugeuzwa watumwa na kufanyiwa mambo ya ajabu sana. Watanzania wengi ni waoga sana na wakimya. Ukimya waso huwafanya kuonewa sana bila usaidizi.
@@OfficialA83640 kwani wezi ni waafrika tu? Mbona wazungu hawanyan’ganywi passport zawo? Usikubali utumwa hata kama wewe ni masikini. Unatetea hili je wewe nimwarabu?
@@hyy4114 sawa hilaa mm nko katar miaka kumi sahi na sijaona wala kusikia mwarab kafanya visanga mtu wake wa ndani au wajee....sio kma saudia kila sku visanga huku makei boy huwaskii wkichapiana...upo
Haya ndiyo matokeo ya kuuza bandari acha watoto wetu wakajifunze dunia . Dunia hadaa haya ndiyo matokeo ya bunge letu kwa kushindwa kusimamai rasilimali zetu . Watoto wote wa masikini matajili watakwenda . Kufanya kazi za ndani.
@@OmmyJames-xn7ji itarudishwa nanani? Viongozi wetu wameisha piga Pesa hapo. Tuliwaona kwenye mitandao wakiwa Dubai. Hata haya hawana kwa kuuza nchi kwa bei ya kutupa
Je mikataba munazokubaliana mutatetea na kusimamia haki za watanzania. Je mutawasikiliza ikiwa watateswa kwasababu kuna historian ya waarabu kuwatesa waafrica.
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
😅😢
Hiyo ofisi naijua kila la kher kwenu inshallah
Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwakunilinda Hadi hii Leo😊Nitabaki TANZANIA Hadi nifie TANZANIA Kwa shida & Raha🥰Nazipenda FIGO zangu🥰I LOVE ❤TANZANIA🇹🇿 I LOVE ❤FIGO 🎊 ✅
Mnawalalamika warabu huku mnazidi kwenda. Mkafanye kazi kwa uaminifu msiende kututia aibu
MAA SHAA ALLAH MWENDE KUIWAKILISHA VEMA TANZANIA,ITASAIDIA KUFUNGUA ZAID AJIRA KWA WALIOBAKI WENYE NIA
All the best guys. Allah awajalie kheri mpate Mafanikio mnayoyatarajia❤
Dida unabya mashallah
Tunamikataba madamu usiseme tunapopata mitihan huku Eti hatuna mikataba sisi tuloingia ndo tunajionea huku wakaribie tu maana kila mtu na bahat yake
Mashallah. Wezetu. Sasy ❤
Nisafi sana. Utaratibu inafuatwa wapi
Niliondoka na mkataba na kibali nanikafika huko taesa ila hakuna msaada wowote ukipata changamoto kikubwa mtangulizi Mungu na wewe mwenyewe ujue kujisimamia basi hasa hiyo Qatar mmh😢
Karibuni tukipige huku
Sister Zari nitumie jina la campuni nina ndugu yangu ataka kuja huku Qatar nilipo
NAWATAKIWA SAFARI NJEMA NA KAZI NJEMA HUKO MNAKO KWENDA DAMU YA YESU IWALINDE NA KUWAPIGANIA. MUNGU AWAEPUSHE NA KILA LILILO BAYA
Nchi hizi za kiarabu haziheshimu haki za binadamu, haswa za watu weusi. Wanaheshimu sana haki za wazungu, kwasababu nchi zawo zinawajali. Mukipeleka watu lazima mufuatilie. Wakifika tu huwa wananyang’anwa passport zawo na kugeuzwa watumwa na kufanyiwa mambo ya ajabu sana. Watanzania wengi ni waoga sana na wakimya. Ukimya waso huwafanya kuonewa sana bila usaidizi.
Si kweli coz kuna wanoishi kule wengi asili yao no Africa
Upewe Passport uibe kisha utoroke au
@@OfficialA83640 kwani wezi ni waafrika tu? Mbona wazungu hawanyan’ganywi passport zawo? Usikubali utumwa hata kama wewe ni masikini. Unatetea hili je wewe nimwarabu?
UMEATHIRIKA UBONGO WEWE TANGU LINI MZUNGU AKAMJALI NYANI KAMA WEWE
UMEATHIRIKA UBONGO WEWE TANGU LINI MZUNGU AKAMJALI NYANI KAMA WEWE 😢😢😢😢😢
Good
Mnapatikana wapi jamani
Karibun Qatar sema warabu hawa wanajisikia kuliko nchi nyingine ila uzuri hawan Ubaguzi wafrica wamejaa hii nchi km wote
Nyieeee aya tutasikia tuu
Kwenda ni furaha kurudi kasheshe😂
Aca wakatafute maisha inci zetu hakuna makazi
Katar kuko poa hakuna kashi kashi zozote hku...free inch
Nani kakuongopea acha kabsa Uliza tulokuwa Qatar akheri oman
@@hyy4114 sawa hilaa mm nko katar miaka kumi sahi na sijaona wala kusikia mwarab kafanya visanga mtu wake wa ndani au wajee....sio kma saudia kila sku visanga huku makei boy huwaskii wkichapiana...upo
@@binthkhamis8042 Mshukuru mungu ila mm nilifanya oman mara mia oman huku pagumu balaa
Ni mahabharata au wasomi
NI WAKATI SASA HATA SERIKALI ZETU ZITENGENEZE NAFASI ZA AJIRA KAMA HIZO NCHI AMBAZO WENZETU WANAKWEDA
Haya ndiyo matokeo ya kuuza bandari acha watoto wetu wakajifunze dunia . Dunia hadaa haya ndiyo matokeo ya bunge letu kwa kushindwa kusimamai rasilimali zetu . Watoto wote wa masikini matajili watakwenda . Kufanya kazi za ndani.
ANDIKA WARAKA BANDARI ITARUDISHWA 😊
Kwani nani aoikuwa hafanyi kazi za ndani hata kwako unafanya kazi za ndank
Huyu ndo hewa kabisa.Sasa bandari inauhusiano gani😂😂😂😂
@@OmmyJames-xn7ji itarudishwa nanani? Viongozi wetu wameisha piga Pesa hapo. Tuliwaona kwenye mitandao wakiwa Dubai. Hata haya hawana kwa kuuza nchi kwa bei ya kutupa
@@Mima-cl2im NA WEWE UNABWEKA TU 🤧
Tafadhali naomba jina la kampuni inayosafirisha hao wafanyakazi
Je mikataba munazokubaliana mutatetea na kusimamia haki za watanzania. Je mutawasikiliza ikiwa watateswa kwasababu kuna historian ya waarabu kuwatesa waafrica.
Mkata Jina tuu nchi za kialabu ww ukienda umeenda watu tunamikataba Lakin wp😢
Mbona hawawapeleki ulaya?uarabuni hakuna ishu.wanaofaidi ni mawakala tuu.
Ulaya hakuna Kazi za kisenge
@@AbdallaMwagora-sm1rj Tanzania lugha mtihani ndio maana huoni wengi wakienda huko uarabuni ni nguvu yako tu ya kufanya kazi
Eeeh"KWELI Ulaya Hela Yake Ndefu" NANAFASI KUZIPATA NINGUMU MASHARTI NIMINGI SANA.NDOMAANA
@@khadi-z4o sana
ULAYA KAZI NI KUCHAMBISHA WA MAMA TU NA UNAKATWA KODI KUBWA
😂😂😂😂niko Omni saudi Arabic nono jamn saud Arabic hapana jamn
Wajiandae kutolewa FIGO.
Ww umeshatolewa tayr
SIYO KWELI, ACHENI KUWATISHA WENZENU. WAACHE WAKAJITAFUTIE.
KWELI PALOKO 😢😢😢😢
Acheni uongo sisi tupo Qatar myika mitatu mbona hatujatolewa hizo figo
@@fatmafatu1128 USISHANGAE KAKA HAWA WATU WAMEPOTOSHWA SANA NA WACHUNGAJI WAO 🤧🤧🤧🤧🤧
Nipo Qatar karibuni tuchape kazi nipo Supar maket inaitwa lulu
Lulu zipo nying upo wapi my
@@aminatanzanya7475 nipo lulu ya Al wakra
Tupe link bas jinsi ya kuappy kazi supermakert