CHAMA MKATABA UMEISHA SIMBA, AHMED ALLY, KIFUPI YUPO HURU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @HabasiMaganda-jx2zi
    @HabasiMaganda-jx2zi 7 วันที่ผ่านมา +3

    Thenk you chama,😢😢😢 inatosha Simba ss asant kwa ushirikiano.

  • @adamumterume6885
    @adamumterume6885 7 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo safi aondoke tu😊😊

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 7 วันที่ผ่านมา

    Chama bado ni Moto , ni mchezaji wa kuleta maajabu, wakicheza chama na Onana , ni nomaaaaa

  • @josephdickson9090
    @josephdickson9090 7 วันที่ผ่านมา

    Kama mnajuwa chama anakuja yanga wekeni makopa kopa na kulike❤❤❤❤❤

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ninachojua huko Duniani kuna wachezaji bora zaidi ya Chama ndio maana alienda RS Berkane akapigwa benchi. Yuko slow sana muacheni aende

  • @elardmassawe5513
    @elardmassawe5513 7 วันที่ผ่านมา

    Bado ujasemaaa

  • @user-mi3dw2sj8y
    @user-mi3dw2sj8y 7 วันที่ผ่านมา

    Imekaa pw sn iyooo 😂😂😂

  • @user-mn8wv2so3p
    @user-mn8wv2so3p 7 วันที่ผ่านมา

    Inavyoonekana chama tayari ni mchezaji wa yangu kwa maono yangu japo mimi ni msimbazi

  • @abbasisudi6899
    @abbasisudi6899 7 วันที่ผ่านมา +2

    Hivi kweli simba Kila mwaka inasumbuliwa na chama na mbona sio kama taasisi kwani hakuna taratibu za kuwajibisha wachezaji watovu na hapo jifunzen yanga mbana hawadenguliwi na mchezaji Yani mmh hi simba kweli hii dalili hakuna viongozi mana no stable control,no leadership

    • @user-to6cg8uf3f
      @user-to6cg8uf3f 7 วันที่ผ่านมา

      Anasumbua nini wakati yeye anahitaji maslahi Yake kama mnamtaka muongezeni mkataba Kama hamjamuongeza alitakiwa na wengine ndio utovu wa nidhamu???

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 7 วันที่ผ่านมา

    Nenda tu yanga chama ukajaribu na kule riziki popote.mimi ni simba dam dam kwa sababu umeshawataka kijani nenda tu kaka

  • @elimbotoraphael3940
    @elimbotoraphael3940 7 วันที่ผ่านมา

    Safi kama anasumbua mwacheni asepe .kupanga ni kuchagua

  • @IlyasaJuma-cc3ee
    @IlyasaJuma-cc3ee 7 วันที่ผ่านมา

    Mbaya iyo😢😢😢

  • @azizaj776
    @azizaj776 7 วันที่ผ่านมา

    CHAMA AENDE AENDAKO

  • @hamisikalila6847
    @hamisikalila6847 7 วันที่ผ่านมา

    Nikilusi huyo bora aondoke

  • @LorynNila
    @LorynNila 7 วันที่ผ่านมา

    Hakuna muda mwafaka wa kumuacha chama kama huu inatosha tutafute quality waje

  • @zanzibar.
    @zanzibar. 7 วันที่ผ่านมา

    aondoke tu

  • @drallan6879
    @drallan6879 7 วันที่ผ่านมา

    mo hatoi pesa anaichungulia no wonder hata lawi tumemkosa;thamani ya chama na gap lake mtaliona baadae

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 7 วันที่ผ่านมา

    Ainde tu tafuteni Wachazaji wengine wenye kiu ya Mafanikio

  • @drallan6879
    @drallan6879 7 วันที่ผ่านมา

    chama hufuatilia jasho la upambanaji na talent yake no wonder watu wengine humchukia;mo pambana umbakize jao madeni fc wanakushinda vipi?

  • @IlyasaJuma-cc3ee
    @IlyasaJuma-cc3ee 7 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢😢