CHAMA ATUA YANGA, HII HAPA HISTORIA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @AishaSaid-yg1ou
    @AishaSaid-yg1ou 3 หลายเดือนก่อน +7

    Acha aende..alikuwepo tumekosa Ubingwa mara 3

  • @kassimkingu5512
    @kassimkingu5512 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera chama ila nimeshukuru wewe kuondoka simba maana ulishajiona mumgu simba..

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kama Messi aliondoka Barcelona hakuna mpuuz wakunixhtua tena kweny football ⚽ tuna muheshim kwa mchango wake thankyou mwamb

  • @matridajounior6414
    @matridajounior6414 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ata sisi tulimuchaka aende tu

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 3 หลายเดือนก่อน +10

    Hapo Simba nimewaelewa hawa wachezaji wenye mafanikio ni wasumbufu sana. Na huyu Chama anamajivuno sana speed ya mpira hana. Imetisha akawasumbue na majirani zetu.

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ndicho kilichobaki hamna namna

    • @patricknyiti5303
      @patricknyiti5303 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mlimkataa Mkude eti msumbufu ..Amekuja kwetu kila mtu anashangaa kiwango alichoonyesha

    • @khalifasaidi7001
      @khalifasaidi7001 3 หลายเดือนก่อน +4

      Kama hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 3 หลายเดือนก่อน +1

      Baada yakuwa kweli ndo mmeanza maneno.Nyie simba nyieeeee!! Mungu anawaona.

    • @HonestMagunda
      @HonestMagunda 3 หลายเดือนก่อน

      Chama hawezi SumbuaYanga kamwe!hatakama anamapungufu hayo!Atakuwa na shauku ya kuonyesha km anaweza,istoshe yanga ina watu wazuri sana wanaocheza no. yake! Chukka hiyo:

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mwacheni aende akatafute changamoto sehem nyingine .tunataka vyuma vipya

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mzigo mzito mpe utopolo.Bado kirusi kimoja Mangungu inabidi aondoke Simba,Yeye ndiye aliyepewa million 500 kuwapa wachezaji mpaka tukafungwa goli 5-1 .Mangungu asipoondoka Hatutaambulia kitu.Simba siyo yakufungwa 5-1 nautopolo hata tukiwa hovyo kiasigani,

    • @Liamtribalchief
      @Liamtribalchief 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ata ww ungepewa izo 500 usingepepesa macho

    • @BongoVibesTV
      @BongoVibesTV 3 หลายเดือนก่อน

      mbona mkafungwa sasa, au mlikua ndotoni?

    • @saimonntani6831
      @saimonntani6831 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@BongoVibesTV kwani kunatimu isiyofungwa Duniani? Ukinitajia nitajuwa kweli wewe unaakili

    • @BongoVibesTV
      @BongoVibesTV 3 หลายเดือนก่อน

      @@saimonntani6831 shida sio kufungwa shida kufungwa 5, mlikua wabovu bna mkubali tu

  • @remmyalfred6736
    @remmyalfred6736 3 หลายเดือนก่อน +1

    MSIGWA KAHAMA CHAMA NA CHAMA KAHAMA SIMBA!

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ahsantee sana Mo.kututorea zakayo😂😂 mnyonya timu sasa tujipange kisawasawa😂😂😂

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sio mbaya mbona msigwa kahamia ccm na hamshangai this is simba

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hana jipya huyo

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 3 หลายเดือนก่อน

      Sawa ila mkae kwa kutulia

  • @AmonJames-o3y
    @AmonJames-o3y 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bora aende maana usikute yeye ndo alikuwa anasababisha simba isipate makombe

  • @nadilhassan6414
    @nadilhassan6414 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aende Hana jipya tena alikuwa msarti uyo

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 3 หลายเดือนก่อน

    ASANTE SANA CHAMA KWA MCHANGO WAKO , UMEGUNDUA SIMBA BABAISHAJI NYINGI TAFUTA MAISHA HACHANA NA HAWA WAZEE WA 10% , DUUU YANGA KWELI MOTO

  • @rajabukipara3008
    @rajabukipara3008 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mwaka wa Simba kufanya VIZIR Huu!

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sawa ila oooh Kila mwaka Chama anasinya Yanga ila kucheza ni Simba,,,,,Kiko wapi

  • @Jafaryamily
    @Jafaryamily 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wao safi sana viongozi wetu mungu awazidishie Kila lakheri. Alikuwa anajiona mungu mtu.

  • @timothnakiz-zb4rz
    @timothnakiz-zb4rz 3 หลายเดือนก่อน +3

    Bora Sana safi Sana viongozi WA Simba kilikuwa kikwazo

  • @vi3ayo1622
    @vi3ayo1622 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga naombeni mnipokee siwezi kushabikia tena simba sura yangu nitaiweka wapi sura yangu

    • @EddoEmmanuel
      @EddoEmmanuel 3 หลายเดือนก่อน

      We sio mwana michezo hakika...., taasisi ni kubwa kuliko mchezaji yoyote yule regardless anakiwango kiasi gani...😅

    • @SophyMurre
      @SophyMurre 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 kwanini sasa

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 3 หลายเดือนก่อน

      sura ipi??? Hebu tuma hyo sura yenyewe tuione kwanza icjekua unasumbua watu tu😂😂😂😂😂

  • @EliahKayombo
    @EliahKayombo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunamshukuru kwa huduma yake Wacha akaitumikie yanga

  • @jonasnyanga8167
    @jonasnyanga8167 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa hapk historia yake iko wapì

  • @IbrahimuShabani-z1q
    @IbrahimuShabani-z1q 2 หลายเดือนก่อน

    Yan cham kuw anataman yang xn karb❤🎉

  • @VenanceMdugu
    @VenanceMdugu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aende alituchosha

  • @HajiMbaruk-re4jc
    @HajiMbaruk-re4jc หลายเดือนก่อน

    guibi

  • @amanlenatus9067
    @amanlenatus9067 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nenda Simba ni ya wanasimba wenyewe ww ulikuwa mfanya kaz tu

    • @FatmaRashid-bq6yx
      @FatmaRashid-bq6yx 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona hasira kaka😂😂

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 3 หลายเดือนก่อน

      Lakini aliwaletea kwa mafanikio.

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 3 หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi wamefanya lamaana kabisa wakonge wanazingua hasa wwkiwa wengi

  • @SIMONHERMAN-qv2ln
    @SIMONHERMAN-qv2ln 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kaz n kupata replacement

  • @vi3ayo1622
    @vi3ayo1622 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chama hawezi kucheza shirikisho bhanaaa❤❤❤

  • @AishaSaid-yg1ou
    @AishaSaid-yg1ou 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kabisa..tutavuka bila chama

  • @thentuzumusic
    @thentuzumusic 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nenda salama tuagalie jia nyigine

  • @IbrahimuShabani-z1q
    @IbrahimuShabani-z1q 2 หลายเดือนก่อน

    Tunampend San cham❤❤❤❤

  • @BongoVibesTV
    @BongoVibesTV 3 หลายเดือนก่อน +1

    Karibu jangwani Chama, tulikua tunakusubiri kwa hamu sana

  • @mankamassawe-p3s
    @mankamassawe-p3s 3 หลายเดือนก่อน

    Hamna lolote mliingia kwenye mfumo mkachomekwa vitan acheni kumsingizia chaw wawatu

  • @MaishaMndoma-p1h
    @MaishaMndoma-p1h 3 หลายเดือนก่อน

    Taking you chama

  • @HassanKagila
    @HassanKagila 3 หลายเดือนก่อน

    Hana mchezi mkubwa kuliko Timu AHSANT E KWA UDUMA YAKO

  • @controlTheoryChamps
    @controlTheoryChamps 3 หลายเดือนก่อน

    "R" na "L"

  • @Eliaskasanya-hm5yk
    @Eliaskasanya-hm5yk 3 หลายเดือนก่อน

    Aondoke tu. Kwa mpira wake ule hatokuwa na mchango mkubwa. Aling'aa pale Simba kwakuwa uongozi wa timu ulikosa mbinu za kuwaleta wachezaji wazuri. Piga pesa kijana

  • @mankamassawe-p3s
    @mankamassawe-p3s 3 หลายเดือนก่อน

    Shabiki yeyote anayemponda chama hajui mpira mtabak kupenda Simba hampendi mpira Koro unaumia ukiwa wapi😂😂😂😂🤭🤭🤭🤭

  • @mankamassawe-p3s
    @mankamassawe-p3s 3 หลายเดือนก่อน

    Mwaka wenu labda mchore hapo chini makombe mchukue maumivu makali jamni humu panado hamna muwape makoro 😀😀😀😀😀😀

  • @mankamassawe-p3s
    @mankamassawe-p3s 3 หลายเดือนก่อน

    Nyie kila siku vyuma matokeo yake mnachapwa vitano maneke kwanza hapo ni cheke😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mankamassawe-p3s
    @mankamassawe-p3s 3 หลายเดือนก่อน

    Mpaka mseme akija kwa mabingwa wa kiistoria atakua na Kasi tu Kama inauma chomoeni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @maliganyakanuda
    @maliganyakanuda 3 หลายเดือนก่อน

    Ongeeni yote ila mkumbuke mnamsiba wa mwekezaji wenu

  • @mankamassawe-p3s
    @mankamassawe-p3s 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli chama hawez kucheza shirikisho heheheheeeeeeeee pole yenu wakina mwakashirikisho

  • @JosephatSunzu
    @JosephatSunzu 3 หลายเดือนก่อน

    Amefanya maamuzi sahihi. Simba janja janja nyingi.

  • @AbubakariBausi-zd6xf
    @AbubakariBausi-zd6xf 3 หลายเดือนก่อน

    Ni kawaida sana sizani kama ni makosa kwakuwa kibalua kikishindikana uku unaamia pengine kujalibu bahati hayo yote ni maneno ya wakosaji wanayanga na Wana Simba washenzi zenu mpila mpila khaaaa ebu katafute mlitaka aje asafishe vyombo vyenu

  • @MariamMagesa-n1z
    @MariamMagesa-n1z 3 หลายเดือนก่อน

    Mhu kubwa kuliko chama tena

  • @ImmaniLazalo-q1c
    @ImmaniLazalo-q1c 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana Kwa kutuletea Chaka

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 3 หลายเดือนก่อน

    Nkubali injinia salaam nyingi kutoka kahma

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba wa Lusaka

  • @JosephatSunzu
    @JosephatSunzu 3 หลายเดือนก่อน

    Karibu jangwani.

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ni sawa ila mechi za kimataifa itafan zaidi

  • @wazirikyamba
    @wazirikyamba 3 หลายเดือนก่อน

    Maamuzi sahihi sana hayo.

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 3 หลายเดือนก่อน

    Hatimae kiu ya yanga imetimia

  • @ZachariaMwita-bu7rw
    @ZachariaMwita-bu7rw 3 หลายเดือนก่อน

    Kila la kheri

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 3 หลายเดือนก่อน

    Good revolution to Simba

  • @KitwanaKinganda
    @KitwanaKinganda 3 หลายเดือนก่อน

    Tuliiiiia😂

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana broo cretus

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 3 หลายเดือนก่อน

      cretus ndio nani tena😂😂😂😂😂

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umefanya lamaana Sana chama kutupa lijezi la waganga lakienyeji njoo uvae kijani na njano rangi nzuri ya jezi inayoashilia bendera ya taifa

  • @Emanueli-vz6fd
    @Emanueli-vz6fd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jangwani pamenoga ss🎉🎉🎉