Inaonyesha muandishi huna taarifa zilizo sahihi kwa mkutanonhuo haukufanyika mwanza ila wewe umetumika kulichafua kanisa kwa manufaa ya hao waliokutuma. Acheni ngano na magugi vikue pamoja hadi Yesu Kristo atakaporejea na kutenganisha ngano na magugu. Mwasomola kama mchungaji mstaafu anapaswa kuwa muadilifu kwa kuheshimu misingi na taratibu za kanisa na siyo.
Kanisa la Mungu linaenda vibaya sana, Mali za kanisa zinekuwa za watu,tv ya kanisa pia haifanyi kazi kwa utaratubu tulioichangia ifanye, Inachambuwa mpaka mipira?inafanya mambo yakidunia sana, Mapato na matumizi ya ya vyanzo mbalimbali vya kanisa siku hizi hayaletwi makanisani. Wako watu wanataka kupigiwa magoti kwa kila jambo,eti kauli ya mkubwa ni sheria. Nani mkubwa ndani ya kanisa. Kiujumla .kanisa lipo kwenye unabii viongozi baadhi hawako sawa .ni wezi.
Inaonyesha muandishi huna taarifa zilizo sahihi kwa mkutanonhuo haukufanyika mwanza ila wewe umetumika kulichafua kanisa kwa manufaa ya hao waliokutuma. Acheni ngano na magugi vikue pamoja hadi Yesu Kristo atakaporejea na kutenganisha ngano na magugu. Mwasomola kama mchungaji mstaafu anapaswa kuwa muadilifu kwa kuheshimu misingi na taratibu za kanisa na siyo.
Mmmmmmmhhhh jaman nalipenda sana kanisan langu hataiweje nitadumu humo
Kanisa la Mungu linaenda vibaya sana,
Mali za kanisa zinekuwa za watu,tv ya kanisa pia haifanyi kazi kwa utaratubu tulioichangia ifanye,
Inachambuwa mpaka mipira?inafanya mambo yakidunia sana,
Mapato na matumizi ya ya vyanzo mbalimbali vya kanisa siku hizi hayaletwi makanisani.
Wako watu wanataka kupigiwa magoti kwa kila jambo,eti kauli ya mkubwa ni sheria.
Nani mkubwa ndani ya kanisa.
Kiujumla .kanisa lipo kwenye unabii viongozi baadhi hawako sawa .ni wezi.