Kutana na Mwanamke mwendesha mitambo bandarini Mtwara Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Kazi yake imekuwa na manufaa makubwa kwake na familia yake licha ya kuwepo kwa changamoto ndogondogo na kama ilivyo kwa kazi nyingine, nayo kazi ya kuongoza mitambo inahitaji umakini. #KurunziWanawake

ความคิดเห็น • 1