Hapo ndo anaibiwa sasa. Mmemfuatilia sana mpk siri itafichuka. Hapo angetembelea hiyo nyota mpk akapata mlango. Mazingira yanachangia kufanya hivyo, kuna msehemu zingine hata mlango si kinga ya kuibiwa ukipuuza taratibu zingine za kujihami
Sasa hakuna mlango mtu akiingia akaweka sumu kwenye sukarinau chumvi. Pia vumbi kwenye mali. Huyo ni chizi kweli, mlango unalinda vingi sio wezi tu na ubora wa mali zako
Hapo ndo anaibiwa sasa. Mmemfuatilia sana mpk siri itafichuka. Hapo angetembelea hiyo nyota mpk akapata mlango.
Mazingira yanachangia kufanya hivyo, kuna msehemu zingine hata mlango si kinga ya kuibiwa ukipuuza taratibu zingine za kujihami
Mhhh eti mwenyezi Mungu nyinyi viumbe kwa kumshirikisha Mwenyezi Mungu na vingine mtakuja kuona
Ukupanda juu inchale ukishuka chini inchale mweeee
Mungu ni mwanzo na mwisho huyo huyo...Piga Kazi Konde Boy.
Huko lindi shida nn mbona meno hamna??
Mmmmmh kwaiyo sisi Hakuna mungu?
Kwani Ntwara kuna nn? Jamani maana wote hamna Meno
Hiyo Kali Ya mwaka
MOLA PEKEE NDIO WA KUTEGEMEWA.
Lipo mtwara sehemu gan hapo
Hakuna Cha kuiba umo
aje aliweke mtaani kwetu. ss wenyewe tunamuomba Mungu ndo tunakula biscuti.
🤣🤣🤣
Au aje uku chuga
We mkali
Hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa salama sio wizi
Huko ndio ntwara bana, ana hak asiwek mlango kaibe uone 🤣hyo ya kusem anamuomba Mwenyez Mungu ni kujivunga tu, eeh hapo iba uone inaitw
umejiwahi nguo chafu chafu
Imeandikwa Mji asipo ulinda Bwana Alindae Akesha Bure , ,Mtegemee Bwana wa majeshi aweza yote ktk yote ,
Haaa aweke mlango asifanye hivyo
Serikali lipen pesa ya korosho 6600000(mil6 na 600000))
Huyu jamaa nimfahamu mimi
Mbona wote meno hamna🙄🙄
Wameuza🤣🤣🤣🤣
Wee acha kumtaja mungu apo mpk mashehe na wachungaji wanaibiwa unatumia ndumba wewe
Sasa hakuna mlango mtu akiingia akaweka sumu kwenye sukarinau chumvi. Pia vumbi kwenye mali. Huyo ni chizi kweli, mlango unalinda vingi sio wezi tu na ubora wa mali zako
Yan wote hamna meno jamani😁
watu wa pwani
Mmmmmmmh
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Hiyo Kali Ya mwaka