SUBHANALLAH INASIKITISHA | KWA NINI HAWA MABINTI HAWAOLEWI | SABABU KUU NI HIZI MBILI"SHEIKH ZAIDI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • #ShkZaidiMakubuli #Zvponlinetv #Tabora

ความคิดเห็น • 47

  • @nsazabahizirehema7897
    @nsazabahizirehema7897 2 ปีที่แล้ว +2

    ManshaAllah nime faidika mengi shukrani Allah akupe ubri murefu wenye afya jema tuzidi kufaidika inshaAllah from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @mkibandulo1231
    @mkibandulo1231 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 ปีที่แล้ว +1

    Sahihinkabisaa sheikh zaid shukrani sana. Mumgu.akupe.shifas

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 2 ปีที่แล้ว

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI INSHALLAH

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 ปีที่แล้ว +7

    Sheikh hapo kwenye uchawi, hasad na choyo ni kweli kabisa illa tutafuatilia hizo Aya na salaa inshaallah mungu atayafungua kwa kila yalofungika.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Amiin

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @MariamAli-zx9ye
    @MariamAli-zx9ye 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @IddAbdalla
      @IddAbdalla ปีที่แล้ว

      Mashaallah🙏

  • @MkiwaJeneto-tp2md
    @MkiwaJeneto-tp2md 9 หลายเดือนก่อน

    Shk pole sana je umejaribi maji yenye karafuu ni mjarabu sn Kwa kisukari

  • @halimahalima1984
    @halimahalima1984 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah mwendelezo insha allah 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Inshaallah utakuja

  • @user-qo7wm7ej2c
    @user-qo7wm7ej2c 3 หลายเดือนก่อน

    Ustadh mungu akueke hahahaha

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 ปีที่แล้ว +1

    Tufundisheni hiyo dua maalumu tuzisome wenyewe, mungu atatuletea wa khei na cc.

  • @mwanahawayunus3653
    @mwanahawayunus3653 2 ปีที่แล้ว +1

    Tupo pamoja shekh wetu

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @makapaabdallah7937
    @makapaabdallah7937 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe shifaa

  • @hussenalisa7211
    @hussenalisa7211 2 ปีที่แล้ว

    Shukuran allah akulipe kheri

  • @ramamchina4730
    @ramamchina4730 2 ปีที่แล้ว

    Lailah ila llah

  • @ladysalma7893
    @ladysalma7893 2 ปีที่แล้ว +2

    Acha niwape dawa musizuzuke bureee na madawa mengi mengi. Shida zikikusibu na kukusonga fanya haya ukiwa na TAWHEED SAFI MBELE YA ALLAH USIWE MSHIRIKINA AU UNA MAMBO MACHAFU ANAYO KATAZA ALLAH.
    1. Soma Quran sura zote zinazo anza na herufi (wau) kisha lalamika shida zako na haja zako kwa Allah.
    2. Tafuta majani ya mkunazi na usome sura za (kull)
    3. Funga saum na wakati wa kufuturu sema shida zako na omba dua zako.
    4. Toa sadaka hata kwa kipande cha mkate kwa ndege.
    5.
    6.
    7. Na bado kuna mambo ya kufanya zaidi, ila uwe na imani kamili kwa Allah na ujuwe anakusikia na atakujibu

  • @makapaabdallah7937
    @makapaabdallah7937 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe nimeelewa

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @ritzy1561
    @ritzy1561 2 ปีที่แล้ว

    Namba ya sheikhe

  • @dullahmihuri
    @dullahmihuri 2 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe hapa umekosea sannnaa

  • @idrissaally9498
    @idrissaally9498 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh mapenzi yko kwa Mtume (sala na salamu ziwe juu yke) yakowap? weka ndevu Shabaab udhihirishe naufute Sunna ndevu sikitu kidogo akhiyy

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +2

      Acha jazba

    • @ruu6592
      @ruu6592 2 ปีที่แล้ว

      Yataka iman

  • @ladysalma7893
    @ladysalma7893 2 ปีที่แล้ว +1

    👵🤔Loh!!! Mashekhe wengine bwana!, hujuwi uwaweke wapi?? Sasa wewe kama shekhe ulikua ufunze dua moja kwa moja mtu ajisomee mwenyewe. Na njia bora ya kujiondolea matatizo ni kutoa sadaka ya nyama au chakula chochote hata kwa wanyama. Huwi shekhe wangu hata siku moja!!!🤦🏻‍♀️

  • @yassinosewe172
    @yassinosewe172 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa mashehe wa kuuza "dawa" sijui niwaweke wapi. Bado sijampata mtume wala sahaba wa kuuza "dawa"

  • @jaffarjuma1326
    @jaffarjuma1326 2 ปีที่แล้ว +1

    Wengine wanachagua wanaume
    Wengine wanachukua pesa Za watu
    Halafu wanaleta story, kwanaume upande wao tamaa ya kuongeza mke
    Wakati uwezo hana kiifupi watu hawafuati mazingatio ya dini

  • @idrissaally9498
    @idrissaally9498 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh Kasome dini kwanza ndipo ulinganie. Sababu msingi wa dini hii ni Elimu sahihi

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 2 ปีที่แล้ว

    weka dalili ya hayo unayosema

  • @mwajitajunior7633
    @mwajitajunior7633 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂