Rigathi Gachagua: Serikali ni ya watu wa Mt Kenya na hatuendi pahali popote

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Naibu Rais Rigathi Gachagua amewajibu wabunge ambao wanaodaiwa kutaka kumngatua mamalakani akisema yuko imara katika utawala wa Rais William Ruto na haendi popote.
    Akizungumza Jumamosi katika Kaunti ya Kirinyaga, Gachagua aliwaonya viongozi wanaoeneza uvumi huo na kuwataka kukoma kutoa maoni yanayolenga kugawanya nchi.
    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: www.ntvkenya.c... || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 82

  • @abdulkadirmikdad3807
    @abdulkadirmikdad3807 หลายเดือนก่อน +12

    True this is Tribalism

  • @christine848
    @christine848 หลายเดือนก่อน +14

    Governor Waiguru je NYS saga imefika wapi?

  • @TopgangCulture
    @TopgangCulture หลายเดือนก่อน +8

    😂😂 When you realise someone is not upright upstairs

  • @dorisflorenceokila6963
    @dorisflorenceokila6963 หลายเดือนก่อน +12

    Kwani alichaguliwa na wakikuyu pekee kwenda huko

  • @kassimmwamambeya4489
    @kassimmwamambeya4489 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi usema kila siku ...adui mkubwa w kenya ni mkikuyu

  • @franclineallan675
    @franclineallan675 หลายเดือนก่อน +10

    Deputy President si aende ata Lodwar, ama Kisumu, ama Mombasa, ama anywhere around Kenya...... Two years ako kwa radius ya Mt. Kenya anaeneza ukabila..... Time should outgrow such ladies, oohh leaders

    • @softymoha5484
      @softymoha5484 หลายเดือนก่อน +1

      niliwahi uliza siku moja,,
      kwani kenya ni mt kenya pekee....
      sijawahi muona akienda kwingine

    • @stephenmuturi9336
      @stephenmuturi9336 29 วันที่ผ่านมา

      Huyo hajui kenya ni apo tu mathira

  • @RickBiocyte
    @RickBiocyte หลายเดือนก่อน +6

    Dp wa Mt Kenya,,,soo sad ,he doesn't know people are paying taxes

  • @Elibuk
    @Elibuk หลายเดือนก่อน +5

    Kenya is for all

  • @ismailadan556
    @ismailadan556 หลายเดือนก่อน +15

    Mzee wachaaaa ukabila

  • @christine848
    @christine848 หลายเดือนก่อน +12

    Rigy Gee...serikali na ya sisi sote na punde si punde wananchi wataichikua..

  • @fatumaadam4271
    @fatumaadam4271 หลายเดือนก่อน +14

    Wamerudi kwa siasa ,wenye kuwasikia ndio wajinga

  • @paulinemusa8823
    @paulinemusa8823 หลายเดือนก่อน +7

    Gachagua never learns. ATI hii ni serikali ya mt kenya😢

  • @kevinochieng2491
    @kevinochieng2491 หลายเดือนก่อน +4

    Ruto made a mistake the day he allowed Gachagua to be his deputy

  • @MrBonafide300
    @MrBonafide300 หลายเดือนก่อน +9

    Riggy G atafika Dec kweli..?

  • @bonynjenga
    @bonynjenga หลายเดือนก่อน +30

    I have never seen a Fool like Gachagua..I don't know who bewitch him,

  • @kagege23
    @kagege23 หลายเดือนก่อน +6

    Sisi wakikuyu ndio shida

  • @MrIssa-mb8vx
    @MrIssa-mb8vx หลายเดือนก่อน +4

    One term president

  • @Albert-un8eg
    @Albert-un8eg หลายเดือนก่อน +8

    Tribalism

  • @lucafrica123
    @lucafrica123 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa maumbwa watafanyia wakenya kazi lini? Who are they campaigning against?

  • @watmasta
    @watmasta หลายเดือนก่อน +2

    He never learns....alitega mitego ikateguliwa..na bado

  • @estherkirigo8427
    @estherkirigo8427 หลายเดือนก่อน

    These are our leaders, Lord have mercy on us.

  • @DanielKenneth-ys3oz
    @DanielKenneth-ys3oz หลายเดือนก่อน +2

    Kenya is for everyone

  • @wangombefrank4537
    @wangombefrank4537 หลายเดือนก่อน +5

    Murima. We won. Kuna murima. Mnaona murima. Raisi umesikia hawa watu wamekubali kuna murima. Watu wa murima. Tuliamka mapema. Tuliamka mapema au hatukuamka mapema? Raisi umesikia tuliamka tukaona murima. Mimi naona murima. Mimi kama deputy president nataka kila mtu aamuke mapema wangalie murima. Ebu nione wale wamekubali sisi ni watu wa murima.

  • @user-xz4nv3fo9v
    @user-xz4nv3fo9v หลายเดือนก่อน +1

    Za ovyo 😮😮 Domo tupu full time

  • @willdonjay2549
    @willdonjay2549 หลายเดือนก่อน +1

    The deputy president should be a symbol of national unity. Going on rallies and preaching the gospel of tribalism isn't any good will for the future of this country. This type of politics ends up dividing Kenyans in the long run and needs to stop. In my own judgement,this is a fight of the elites, one that innocent kikuyu citizens get dragged into unconcioulsy. These poor people are being victimized. I have studied in central, one thing I noticed is that those guys don't wreck havoc(as someone would think everytime the dp fiats about this unity thing). Everyone is always minding their own business. When he speaks about uniting them, I'm left wondering what type of unity is being targeted because as far as I am concerned, these people are united. It is a battle of shepherds, not the sheep

  • @Kelekdental
    @Kelekdental หลายเดือนก่อน +2

    I just love truthful man for free. I hope one day he becomes president.

    • @mercychebet3074
      @mercychebet3074 หลายเดือนก่อน +3

      He will be saying am the mount Kenya's president ...

    • @alphaonyango2620
      @alphaonyango2620 29 วันที่ผ่านมา +1

      Whose president????peleka hio takataka huko

    • @Kelekdental
      @Kelekdental 29 วันที่ผ่านมา

      @mercychebet3074
      Hehe
      You know the funny thing is when Ruto and Raila unite their people they are called heroes. When "truthful man" does the same, he is considered tribal. Perhaps he the best option for presidency

    • @Kelekdental
      @Kelekdental 29 วันที่ผ่านมา

      @@alphaonyango2620
      Haha yawa Onyango, you might end up campaigning for "truthful man" in 2027. He is the only sane leader we have around.

  • @aheudit
    @aheudit 29 วันที่ผ่านมา

    😮

  • @ramadhankakai7303
    @ramadhankakai7303 หลายเดือนก่อน +2

    Tu impeach sasa..huyu hatufai kabisa

  • @ianjoseph5325
    @ianjoseph5325 หลายเดือนก่อน

    Emotional people get excited or irked easily!!!!

  • @mutisyatimothy8199
    @mutisyatimothy8199 หลายเดือนก่อน +1

    I am praying for these mps to move that motion very first to remove this gachagua thing very first to go and talk with hislima kenya we are tired of his tribalistic behaviour "bure kabisa"

  • @fatumaadam4271
    @fatumaadam4271 หลายเดือนก่อน +10

    Wakikuyu ndio shida tupu

    • @davischemei1543
      @davischemei1543 หลายเดือนก่อน +2

      not wote, a few leaders wenye hawana any new ideas, just tribal politics to stay relevant

    • @mutisyatimothy8199
      @mutisyatimothy8199 หลายเดือนก่อน +1

      Sana and now gachagua anaharibu zaidi

  • @aligeraden3559
    @aligeraden3559 หลายเดือนก่อน +2

    kwani huyu amesahau yeye ni deputy president ya kenya yote sio mount kenya pekee

  • @erician-qb5ul
    @erician-qb5ul 29 วันที่ผ่านมา

    This guy should go!!b4 he does more damage

  • @ngumalimau5427
    @ngumalimau5427 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya ni ya wakenya wote kabila 47 wala sio wakikuyu pekee....uongozi kama huu hatutaki kenya ....Eti ni watu wa mungu

  • @aheudit
    @aheudit 29 วันที่ผ่านมา

    Ya mountain na Joho Yuko hapo pwani Hoye

  • @quintinaC
    @quintinaC หลายเดือนก่อน +1

    Nilijua tu huyu mtu kichwa imeganda tope

  • @dorisflorenceokila6963
    @dorisflorenceokila6963 หลายเดือนก่อน +3

    Gachagua apeleke mbali ukabila nonsense

  • @calebsirma9476
    @calebsirma9476 29 วันที่ผ่านมา +1

    If this government belongs to Mount Kenya, then sisi wengine tuko wapi? ReeGee is very poor upstairs. Bado ako na mentality ya tribalism na kuwa DO not a vice president....

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 หลายเดือนก่อน

    Siyasa kma kawaida

  • @redemptorwayua9151
    @redemptorwayua9151 หลายเดือนก่อน +7

    Who are we if the govement is for mount Kenya so we are guests in our own country.Surely this man is tribalism

  • @RickBiocyte
    @RickBiocyte หลายเดือนก่อน

    Fanya siasa wen necessary,

  • @flomakayla4926
    @flomakayla4926 29 วันที่ผ่านมา

    Delulu gachagua 🤣🤣🤣

  • @mainakihurusia6380
    @mainakihurusia6380 หลายเดือนก่อน

    Nani anaona kitu apa Mlima kenya 😂😂😂...Au mimi ndio nao Sai Ndidi Nyoro anaongea ka naibu wa Raisi kwa miradi za Serikali 😊😊

  • @michaelkauku9714
    @michaelkauku9714 หลายเดือนก่อน +2

    Gachagua has some kind of mental dislocation

  • @coyoluo
    @coyoluo 27 วันที่ผ่านมา

    Raila alifanya kitu mbaya sana, umerudisha siasa mbaya ile Genz walikua wanaenda kuangusha.

  • @aheudit
    @aheudit 29 วันที่ผ่านมา

    Sa hii ujinga.

  • @imranbassadique408
    @imranbassadique408 หลายเดือนก่อน +1

    huyu jamaa ni mkabila

  • @batsmanist
    @batsmanist 29 วันที่ผ่านมา

    Mt Kenya Mt Kenya. Kwani Kenya ni Mt Kenya. Blad fu...in

  • @sylvestarbenjamin4718
    @sylvestarbenjamin4718 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @davischemei1543
    @davischemei1543 หลายเดือนก่อน +7

    This is one bitter and angry leader.

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 29 วันที่ผ่านมา

    Huyu mkikuyi ako na ukabila sna

  • @deniskim9940
    @deniskim9940 29 วันที่ผ่านมา

    Sasa hawa ni siasa tu nonsense serikal ni ya wakenya😢😢😢😢

  • @sallywangari3180
    @sallywangari3180 29 วันที่ผ่านมา

    He should be arrested for promoting tribalism

  • @starlife3550
    @starlife3550 หลายเดือนก่อน

    Gashagwa anatupa Kikuyu kwa choo

  • @aheudit
    @aheudit 29 วันที่ผ่านมา

    Mitego haikufanya kazi 🤔

  • @antonynjoka7318
    @antonynjoka7318 หลายเดือนก่อน

    DP is not helping himself and don't see him surviving this shareholding stories when it's clearly a coalition he needs to toe the line or ship out

  • @fourtwenty3526
    @fourtwenty3526 29 วันที่ผ่านมา

    Na hivyo ndo watu wa Murima watakuwa wakionea kiti cha urais kwa view sasa from now henceforth😂😂😂😂

  • @mejjarsagent227
    @mejjarsagent227 หลายเดือนก่อน

    That's why maandamano tumeachia watu wa mlima

  • @user-tu3kk4jb2v
    @user-tu3kk4jb2v หลายเดือนก่อน

    Wacha wakuje vile wamekuja naked people Gachagua ni wetu sana

  • @zakayomwamba7475
    @zakayomwamba7475 หลายเดือนก่อน

    Curse of Mama Ngina is real.

  • @user-qg5yc3zv8z
    @user-qg5yc3zv8z หลายเดือนก่อน

    Kila wakati unatengeneza serikali ww jamaa serikali Gani hiyo?

  • @johnw2151
    @johnw2151 หลายเดือนก่อน

    Ruyo is a good liar

  • @alexmuli
    @alexmuli 29 วันที่ผ่านมา

    This nonsense of serikali yetu shouldn't exist in this day and age. Kenya ni kila mtu. This tribal politics ndio inamaliza kenya.