Mwaka huu nahitaji kuingia marekani au canada ila sina ndugu wala wa kumipa mualiko ila nimeambiwa kuna 10times kunapatikana mialiko ya makongamano mikutano na kazalika kaka mm nitakutafuta yaan miezi iyo nahitaji niingie kati za izo nchi moja yake lzm niingie nataka viza niombe kote nikikosa us napata canada 😂nikikosa Canada napata us 😂 walai mwaka huu kaka nakucheki unisaidie walai lzm nijalibu kitu
Lkn sasa kaka sahivi viza ya US NA CANADA NI DOLLAR NGAP PIA 2025 HII VIZA ZINACHUKUA MIEZI MINGAP MAANA WW UNAUJUZI KAKA TUJUZE KWA HILI MAANA TUANZE MCHAKATO MAPEMA MIEZI MINGAP INACHUKUA NA NI DOLAR NGAP SAIVI
God bless u kaka denis magessa❤
Asant sana kaka kwa elim ya maana sana kwa wasafili
Upo mzee baba
Pekee nakukibali sana mkuu
Kaka Denis Magessa tusaidiy kuhusu Best Diplomat