UNABII WA IDAHOSA NA NEEMA YA FEDHA INAYOKUJA - NABII DEO NJENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 31

  • @maryr4033
    @maryr4033 11 หลายเดือนก่อน

    Amen Nabii. Napokea mafuta hayo Kwa ajili ya kazi ya ufalme wa Mungu.

  • @AnordNzimenya
    @AnordNzimenya 11 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful Message,,,,umenena message ya Mungu hii ni Kwa dunia yote Mungu akuinue ili injili uliyopewa iwafikie wengi na Mungu kukutumia zaiidi , Najiunganisha na neema hiyo in Jesus name

  • @AiriniKabuje-mx6wz
    @AiriniKabuje-mx6wz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumish wa MUNGU AKUINUE ZAID,, YAAAN ONGEA YAKO TU IMEJAA NGUVU ZA MUNGU..

  • @SarahKapella-rm2of
    @SarahKapella-rm2of 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi. Napokea neema ya fedha Katika jina la yesu kwa ajili ya utukufu wako Bwana yesu. Amen.

  • @benardbonephace4896
    @benardbonephace4896 11 หลายเดือนก่อน +4

    I receive papa...nimekaa lgm muda mrefu sijawahi kuona neno lako la kinabii likianguka chini pasipo kutimia

    • @ruthlameck1450
      @ruthlameck1450 11 หลายเดือนก่อน +2

      Very very True... God is real using him.. Groly to God

  • @magdalenapeter6106
    @magdalenapeter6106 10 หลายเดือนก่อน +2

    AISEE WATUMISHI WA MUNGU WA KWELI WANAPITIA WAKATI MGUMU SANA
    MTUMISHI WA YESU SONGA MBELE AHADI ZA MUNGU NI KWELI ATALETA FEDHA HIZO

  • @HAAM670
    @HAAM670 11 หลายเดือนก่อน +2

    Dont compromise the Gospel, hubirini Injili pure, isiyoghoshiwa, asema Bwana wa Majeshi, kupitia kinywa cha nabii Deo Njeni. Sikia hii enyi watumishi wa Tanzania. Msiuze vipawa vya Mungu kwa shetani, kwasababu ya kupenda fedha.

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen...napokea neema kuu ya fedha kwaajili ya kuujenga ufalme wa mwenyezi Mungu

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ooo my God ni mimi nimepokea hizo fedha zilizoshuka kwaajili ya kuujenga ufalme wa Mungu kuudhihirisha utukufu mkuu wa mwisho sawa na Hagai 2:9 ...Ooo Glory to God

  • @HAAM670
    @HAAM670 11 หลายเดือนก่อน

    Yes, yes, it was fire fire 🔥🔥🔥 of money transfer. God bless prophet Deo Njeni

  • @HAAM670
    @HAAM670 11 หลายเดือนก่อน +3

    Yesu yuko bize kuliandaa Kanisa lake, ameachilia neema ya Fedha kwaajili ya kazi ya Ufalme. Align me oooh Jesus, in this dimension of money transfer, to finance your Kingdom. I hear you well my prophet. Nitamtumikia na kutii Dan 7:27.

  • @saviorministry4817
    @saviorministry4817 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @noelswai2660
    @noelswai2660 11 หลายเดือนก่อน

    Hakika hili ni Neno la MUNGU aliye hai 🔥🔥🙌

  • @PASTORDANIEL-k1o
    @PASTORDANIEL-k1o 3 หลายเดือนก่อน

    Amina baba

  • @HAAM670
    @HAAM670 11 หลายเดือนก่อน +3

    I hear you prophet, am one of them. Napokea grace ya money transfer, mamlaka ya Fedha, Dan 7:27.

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya 10 หลายเดือนก่อน

      Amen wa jina Happy be blessed. We stand with the kingdom of God

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 11 หลายเดือนก่อน

    Amen...inakua kwangu Kwa Jina la Yesu

  • @HAAM670
    @HAAM670 11 หลายเดือนก่อน +1

    Neema ya fedha inakuja kutoka mbinguni. Asema Bwana

  • @emmansabu9300
    @emmansabu9300 11 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥 naikawe hivyo 🙏

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 10 หลายเดือนก่อน +1

    Usemayo ni Kweli kabisa natamani watumishi wote wakweli wasimame Na hoja hiyo Ili wachanga wawajue wasipotee

  • @Irine-w8l
    @Irine-w8l 11 หลายเดือนก่อน

    amen I received prophetic word

  • @robinlaysonkuyava1407
    @robinlaysonkuyava1407 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ujumbe huo ni mkuu Baba niisi kia nguvu ndan yangu unavyo ongea najikuta napokea nguvu ya mafuta ya upako wa fedha nam IDAHOSA nais amenitokea maana nguvu inapita kwenye mifupa mpaka kwenye damu

  • @belovedflorence4109
    @belovedflorence4109 11 หลายเดือนก่อน

    Amina❤

    • @nuswemwakasala8687
      @nuswemwakasala8687 10 หลายเดือนก่อน

      Aminaaa, I receive in the name of Jesus

  • @christeternallifetv5959
    @christeternallifetv5959 11 หลายเดือนก่อน

    Kumbukumbu la torati 28:1-14

  • @Lydia-ls8eh
    @Lydia-ls8eh 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @allymwanjota3111
    @allymwanjota3111 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @FredBayingana
    @FredBayingana 10 หลายเดือนก่อน

    Amen