Mradi wa maji wa shilingi bilioni 99 kujengwa Mbeya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Kampuni ya China Railway Construction Engineering Group imeshinda zabuni ya kujenga mradi wa maji Kiwira utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 99.6 baada ya kuwashinda wakandarasi wenzake 10 walioomba zabuni hiyo kupitia Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Mbeya.
    #AdhuhuriLive #Azamnews

ความคิดเห็น • 1