Squard ikiwa lisu+heche as a vise chairperson na lema katibu mkuu hii nchi tunainyakuwa ivi punde hii squard hatari na nusuuuuuuuuuuuuuuu hawana machekooooo
Tareh 5 imekaribia ambayo ndio mwisho wa kuchukua na kurejesha form wawahi kabla ya muda ili wadau tumalize mchezo. Heche na lema mnasubiri nn mpk sahv hamjatia Nia lkn? Au mnataka mpk tupandwe na pressure?
Mimi natamaani Heche au Lema kugombea ila siamini katika formation ya team fulani.ashinde Mbowe au Lisu ni sawa, ila katika kuleta integrity kwenye chama nafikiri Lema au Heche wanafaa ili kuondoa tuhuma dhidi ya Wenje
Teddy go to school so as to learn something.WATU AMBAO HAWAJAWAHI KUONA VTAI NCHINI KWAO NDIO WANAMUUNGA MKONO LISSU NA LEMA.WAKATI MWINGINE TUJITAHIDI KUTAZAMA MBALI. NI KA M A KUMUAMINI CHUI AKUTUNZIE MBUZI😢😢😢😮
Ukitazama wewe na familiayko inatosha. ACHA KUSEMEA wenzako SIASA ni duara linalozunguka ndani ya maisha WAFUASI wameamua kuwa na UYO WAMPENDAE wewe mwenye wasiwasi wa vita hama.nchi
@gracekagoma3231, Mawazo yako ya wapinzani Lisu, LEMA,Heche kuleta vita ni upotoshaji mkubwa kwakuwa vita huletwa na walioko madarakani kwa kudhani wao tu ndiyo wanaofaa kuongoza na kuwakandamiza wengine. NCHI HII NI YA WOTE NA WOTE WANA HAKI SAWA KUISHI ,KUONGOZA NA KUONGOZWA, KUTAWALA NA KUTAWALIWA
Aisee umenikoaha moyo mungu akuheshimishe
Lissu, Mwenyekiti Heche, Makamu Mwabukusi awe Katibu.Mkuu,....Hii ni Formular CHADEMA✌
Kabisa yaani!
Heche 100% +
Najiskia amani Sana Kama lema na heche wataridhia utashi wetu wa kuingia kwny kinyanga'nyiro
Sema lema ana mashairi😂 Hip hop ⭐
Haya bhana 😂😂
Heche anasubiri nini kuchukua fom mbona ataka kutupandisha presha wananchi, akachukue fom bana miyo yetu iwe na amani
# mbowe must go
Vizuri
Heche vip,chukua fomu kaka
Lisu mwenyekiti makamu heche na lema katibu mkuu
Heche ndo chaguo letu
Heche
Huyu wenje hamna kitu akipata hiyo nafas chama kitakufa
Akishinda mbowe wewe lisu lema na heche tupo nyuma yenu tengenezen chama kingine hatuwezi kuisapoti chedema tena
Sawa heche chukua nafasi hiyo na utashinda dhidi ya wenje
Hiyo ndo ukweli
Squard ikiwa lisu+heche as a vise chairperson na lema katibu mkuu hii nchi tunainyakuwa ivi punde hii squard hatari na nusuuuuuuuuuuuuuuu hawana machekooooo
Mbowe must go
Utatu mtakatifu ,Lissu heche,Lema.
Maneno ya Nabii huyo
Wenje Vhawa tu wakutaka michuzi hapati kitu
leme eche gombea mkawatoe madaktari atuwataki kabisa
Heche anawezaaaa
❤
Act hamna kitu mkitaka kupreview hili angalieni matukio viongoz wa hiki chama kwa ajili ya pesa tu
Lissu+ Heche powerful combination
Heche makamu
Hii combination itakuwa ya kibabe. Lissu mwenyekiti, Lema makamu mwenyeki, Heche Katibu Mkuu. Hii combination lazima ukuta wa Yeriko uanguke.
Tareh 5 imekaribia ambayo ndio mwisho wa kuchukua na kurejesha form wawahi kabla ya muda ili wadau tumalize mchezo. Heche na lema mnasubiri nn mpk sahv hamjatia Nia lkn? Au mnataka mpk tupandwe na pressure?
Hakika hawajamaa wako smart
Heche gombea tupo nyuma yako
Lema Heche Lissu hapo.sawa. Lema awe Katibu mkuu Mnyika kapoaga mmno apumzike na Mbowe
Wenzako wanapiga mahesabu. Usifikiri wanafuata mihemko kama yako.
Ulipo tupo
Heche anafa
Lisu mwenyekiti heche makamu lema katibu mkuu
Hiyo itakuwa nomaaa sanaa
Imejaa vizuri
Bora John heche .wote watoke
Mimi natamaani Heche au Lema kugombea ila siamini katika formation ya team fulani.ashinde Mbowe au Lisu ni sawa, ila katika kuleta integrity kwenye chama nafikiri Lema au Heche wanafaa ili kuondoa tuhuma dhidi ya Wenje
Teddy go to school so as to learn something.WATU AMBAO HAWAJAWAHI KUONA VTAI NCHINI KWAO NDIO WANAMUUNGA MKONO LISSU NA LEMA.WAKATI MWINGINE TUJITAHIDI KUTAZAMA MBALI.
NI KA M A KUMUAMINI CHUI AKUTUNZIE MBUZI😢😢😢😮
Ukitazama wewe na familiayko inatosha. ACHA KUSEMEA wenzako SIASA ni duara linalozunguka ndani ya maisha WAFUASI wameamua kuwa na UYO WAMPENDAE wewe mwenye wasiwasi wa vita hama.nchi
uwezo wako wa kufiri ndio umeishia hapo