#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • D

ความคิดเห็น • 34

  • @zainabbakar7185
    @zainabbakar7185 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bakari Ponda wa Mombo Tanga. Tumechoka na maneno ya kila siku. Tunahitaji vitendo

  • @IBRAHIMUKHALID
    @IBRAHIMUKHALID 3 หลายเดือนก่อน

    Simba inatrend kwa kuwatambulisha wachezaji lkn matokeo yake mnaleta mashalubaro uwanjan

  • @SafariFarayo
    @SafariFarayo 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hatutaki maneno tunataka vitendo Simba nguvu moja

  • @JulianaChimaisi
    @JulianaChimaisi 3 หลายเดือนก่อน

    Mziwanda kutoka mkoka tanzania dodoma was he kutudanganya tumechoka kids fanya

  • @SendeuSaiboku
    @SendeuSaiboku 3 หลายเดือนก่อน

    Mjenge timu kwa vitendo na sio kwa maneno mashabiki tunaumia

  • @MsouthChilala
    @MsouthChilala 3 หลายเดือนก่อน

    Tunataka matokeo atutaki maneno Wikipedia kuleta makapi wanachama waamue

  • @EnockFabian
    @EnockFabian 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa Mimi shabiki wa Simba natarajia usajiri mzuri na sio kusajir majina tu

  • @GloryOsward
    @GloryOsward 3 หลายเดือนก่อน

    Fk mayele kalibu sana moyo😊

  • @SalaliAndrew
    @SalaliAndrew 3 หลายเดือนก่อน

    Hv mjomba nikwer mayele simba wanamtaka

  • @VicentMkinga
    @VicentMkinga 3 หลายเดือนก่อน

    Maneno ya nn leteni vyuma katika simba yetu🎉🎉

  • @HawaYahaya-pj8wl
    @HawaYahaya-pj8wl 3 หลายเดือนก่อน

    Hv kwel mayele kaja simba 9:21

  • @HawaYahaya-pj8wl
    @HawaYahaya-pj8wl 3 หลายเดือนก่อน

    Nikweli inatakiwa kujenga timu imara sio majina

  • @Seremanikazaura
    @Seremanikazaura 3 หลายเดือนก่อน

    Maere ananafasii kuwba sanasimbaa wamusajirii

  • @anthonysegereti9795
    @anthonysegereti9795 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona hueweki una gusagusa we VP,Mara mayele,baleke,Barbra unazingua

  • @BuguzaCity
    @BuguzaCity 3 หลายเดือนก่อน

    n kweri au munakura bando retu

  • @YonaKeiya
    @YonaKeiya 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtangazaji wetu simba imesajili wachezaji wangapi hadi sasa

  • @Juma-jg5fn
    @Juma-jg5fn 3 หลายเดือนก่อน

    Vp uhakika atuaa

  • @fakifaki5246
    @fakifaki5246 3 หลายเดือนก่อน

    Simba achaneni na huyo mchezaji kwa sasa hatoisaidia chochote Simba.

  • @Katega-vw8zt
    @Katega-vw8zt 3 หลายเดือนก่อน

    Maneno hatutaki sisi tuna ipenda simba milele kalibu mayele

  • @judahkasiga3235
    @judahkasiga3235 3 หลายเดือนก่อน

    Sikuona sababu ya kumtoa Baleke ni mtu aliamua kuharibu ssmb yetu

  • @aloycekaumbu
    @aloycekaumbu 3 หลายเดือนก่อน

    Tunaitaji ufalme wetu Simba atutaki maneno

  • @BuguzaCity
    @BuguzaCity 3 หลายเดือนก่อน

    simba awasajirii mdomo ira wanasajiri majina

  • @OnyangoAbwao
    @OnyangoAbwao 3 หลายเดือนก่อน

    Mayele ni sawa lakini sio kwa mdomo shida ndo hiyo

  • @rehemakiula
    @rehemakiula 3 หลายเดือนก่อน

    Balked baleke njoo tena simba

  • @rehemakiula
    @rehemakiula 3 หลายเดือนก่อน

    Balked tunamtaka simba

  • @MsigaziMsigazi
    @MsigaziMsigazi 3 หลายเดือนก่อน

    Viongoz wasimb wanazngua

  • @Allyabdalamjambo
    @Allyabdalamjambo 3 หลายเดือนก่อน

    Mayele kalibu sana

  • @BuguzaCity
    @BuguzaCity 3 หลายเดือนก่อน

    tena wanazingua sana

  • @DogoHokololo
    @DogoHokololo 3 หลายเดือนก่อน

    Mayele mtu

  • @ZuberiChamtumavi
    @ZuberiChamtumavi 3 หลายเดือนก่อน

    Vip kuhusu mayele kusajiliwa na simba?

  • @OmarKhamis-b2t
    @OmarKhamis-b2t 3 หลายเดือนก่อน

    Tatzo lawo simba wanasajili kwa mdomo tuu

    • @IBRAHIMUKHALID
      @IBRAHIMUKHALID 3 หลายเดือนก่อน

      Uongeaj mwing vitendo zero😢