I have never met marehemu Raisi magufuli but I do watch his videos from youtube 😢😢😢😢😢😢 He is the best he gives the best no one can replace the 💕 He had for the poor the humanity the sick the needy He always gave back and that was an example to everyone all over the world we love you Tanzania all will be well the lord of restoration will restore peace in your heart's😢😢😢 we love you from kenya❤️❤️❤️❤️
Poleni sana familia pamoja na watanzania wote🇹🇿 hakika ni huzuni kubwa sana tumepoteza kiongozi mashuhuri ,mzalendo na mwenye kuopenda Tanzania na watu wake hakika hili ni pengo kubwa sana na halitazibika kamwe.Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, mbele yake, nyuma yetu apumzike kwa amani🙏
Vilio vya wa Tanzania vina nitowa machozi sana..nimeamini kweli vizuri avidumu, Rest easy our President JOHN POMBE MAGUFULI..Imeacha uchungu sana kwa wa Afrika wote kwaku mpoteza Freedom fighter..Mimi kama mcongo man🇨🇩🇨🇩 himenigusa sana..message to all Africans all in this together..nawalili wa Tanzania na Afrika Nzima kwakupoteza Pan African Dr POMBE MAGUFULI..tutakukumbukwa mengi sana..😭😢😥😰😭😭
watz mwache woga muoji wakuuwenu wa serikali raisi wenu shupavu ameuliwa maana haiwezekani mtu amefichwa weeks kadhaa alafu leo hii from no where mnakuja kutangaziwa eti kafa wakati huu wa Corona na mnajuwa niyeye pekee ndio alikuwa rais wa Africa kupinga mbinu za wazungu kuirudisha uchumi wa Africa nyuma na kilawakati alikuwa akilalamika "huu ni vita wakiuchumi" afu leo wakati huu mwambiwe anamefariki bila maelezo yoyote huu ni ujinga mmeniuia role model wangu shujaa wa africa one man against the world ni yeye pekee alikuwa napinga chanjo , ni yeye pekee alipinga lockdown, niyeye pekee alipinga barakoa zao... alafu leo from no where mjetu munambie amefariki kisha niwaelewe kishatu niseme ni kawaida mbwa nyie mmeua role model wangu na mkombozi wa fikra za mwafrika nilivyomjuwa JPM naakili yake utakuta alitaka ajulishe wtz na wa afrika nini inaendelea lakini hawakufanya ivyo kwa7bu alikuwa hajiwezi tena jamaa alikuwa anawindwa na mabeberu juu chini maana alikuwa tishio (asa,pale waliposikiya wanainchi waenza claim aongezewe mda waona waongeze speed yakummaliza haraka sana) na ata ikulu wapo vibaraka mule mule wanausika...mbwa nyie kwakila alieusika MACHOZI YA WA TZ (asa maskini) na WA AFRIKA KWAUJUMLA IWEJUU YENU NA KIZAZI CHENU mbwanyie😭
This clearly shows that how the president was love by his people and it shows that, he works for his people rest in peace Dr John Joseph Pombe Magufuli.
Jamani haya maumivu yatapona lini mhh!! Mungu baba tunakuomba umpokee rais wetu magufuli na akawe miongoni mwawatu wema tulimuona kama kashushwa kutoka mbinguni kuliokoa taifa letu leo atukonae tunalia sana😭😭😭😭
Hii iwe funzoo kw Marais wote w African n dunia nzima hakika ulipendwa MAGUFULI ,kila ninapo kutana n picha yke natokwa n machizii 😭😭😭Ewee Mollah mpee kauli njemaa alijali sana wanyongee🇰🇪🇰🇪🇰🇪💔💔💔💔😭
Jinsi gani alivyokuwa na samani ,,,ukiona watu wanakulia ivi ,japo awakujui wanakujua kwa kukusikia bas akika pepo inakusubili roho yako ikatulie baada ya siku chache,
Poleni poleni ndugu zangu wa tz mm mkenya ukweli ni machungu umenitowa machozi mwenyezi mungu awape subira na afrika yote hapatatokea raisi kama jpm Alijali maslahi ya wanyonge mungu ailaze roho yake pema peponi ameen 😪😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Sijui n nani atajitokesa afrika nzima awe kama magufuli rahis aliye chitolea kulinda watu wake na raslmali zao tafadhali watanzania musifuate ujinga wa watu kama Tindu Lissu
I would like to express my deepest condolences on the death of the President of tanzaniya, and It is my prayer that God will give comfort to the people and give you a good upcoming leader for Tanzania. Ermias Getachew from Addis Ababa, Ethiopia 🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹
Lala salama Baba etu, uende salama tutakukumbuka sana. Mda mchache ila uliyofanya ni makubwa. Ulale salama usingizi wa milele. R.I.P OUR PRESIDENT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI 😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu watie nguvu wakati huu wa manjonzi Ww simama na watanzania,, maana ww ni Baba wa yatima na wajane,,,uliwapa na umejchukua. Twakushukuru kwa kila jambo.
I loved this man, it makes my eyes full with years... From a thousand miles I mourn with you my tanzanian brothers
😢😢😢😢😢 Tuna jaribu kusahau lakini tunashindwa. Mungu Asante
All the way from Kisumu Kenya can't control my tears 😭😭😭😭😭 Kwaheri Hayati MAGUFULI
I have never met marehemu Raisi magufuli but I do watch his videos from youtube 😢😢😢😢😢😢 He is the best he gives the best no one can replace the 💕 He had for the poor the humanity the sick the needy He always gave back and that was an example to everyone all over the world we love you Tanzania all will be well the lord of restoration will restore peace in your heart's😢😢😢 we love you from kenya❤️❤️❤️❤️
Be strong our sisters and brothers to Tanzania, Africa lost the best President. RIP my President. From Cameroon 🇨🇲🇨🇲
Salu tu es camerounais
@@kilimandjarotv1508 oui
We loved you so much. Kenya really longs for a leader like you. You always stood by us in ODM Party during the struggle. Rest well Daktari 😭😭😭
I9
Poleni sana familia pamoja na watanzania wote🇹🇿 hakika ni huzuni kubwa sana tumepoteza kiongozi mashuhuri ,mzalendo na mwenye kuopenda Tanzania na watu wake hakika hili ni pengo kubwa sana na halitazibika kamwe.Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, mbele yake, nyuma yetu apumzike kwa amani🙏
Love from Kenya,you are our brothers kwa shida,kwa raha
Kweli tumepoteza shujaa lala salama baba yetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wtwew r
Mungu atutie nguvu wote tulioguswa na msiba huu 😭😭😭😭🇹🇿
Kabisa ndugu yangu, mungu atutie nguvu
🇨🇭🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@@nafuwswedi2465 amen
th-cam.com/video/1gBjTISulIQ/w-d-xo.html
R.I.P 🙏DR.JOHN POMBE MAGUFULI😭😭😭😭😭😭😭😭😭Allah akusamehe madhambi yako na akupokee na akuekeee kwenye waja wema peponi🙏daima tutakkumbuka 😭safiri salama legendary 😪
So sad 😭 we will miss you 😪 Magu wetu 😭😭😭😭😭😭kifo kimenitia hasira miaka hii miwili 2020-2021 😭😭😭😭😭
Vilio vya wa Tanzania vina nitowa machozi sana..nimeamini kweli vizuri avidumu, Rest easy our President JOHN POMBE MAGUFULI..Imeacha uchungu sana kwa wa Afrika wote kwaku mpoteza Freedom fighter..Mimi kama mcongo man🇨🇩🇨🇩 himenigusa sana..message to all Africans all in this together..nawalili wa Tanzania na Afrika Nzima kwakupoteza Pan African Dr POMBE MAGUFULI..tutakukumbukwa mengi sana..😭😢😥😰😭😭
Rip magufuli 🇸🇳🇸🇳 depuis Senegal west African
Kama kuna mtu amehusika atalipwa tu maana kuna ngedere wa wazungu wanapongezana huko twiter 💪💪💪💪, #RIPlenged .
Kabsa
AMEN 🙏🙏
Amen machoz yetu hayawez kuwa ya bure
watz mwache woga muoji wakuuwenu wa serikali raisi wenu shupavu ameuliwa maana haiwezekani mtu amefichwa weeks kadhaa alafu leo hii from no where mnakuja kutangaziwa eti kafa wakati huu wa Corona na mnajuwa niyeye pekee ndio alikuwa rais wa Africa kupinga mbinu za wazungu kuirudisha uchumi wa Africa nyuma na kilawakati alikuwa akilalamika "huu ni vita wakiuchumi" afu leo wakati huu mwambiwe anamefariki bila maelezo yoyote huu ni ujinga mmeniuia role model wangu shujaa wa africa one man against the world ni yeye pekee alikuwa napinga chanjo , ni yeye pekee alipinga lockdown, niyeye pekee alipinga barakoa zao... alafu leo from no where mjetu munambie amefariki kisha niwaelewe kishatu niseme ni kawaida mbwa nyie mmeua role model wangu na mkombozi wa fikra za mwafrika nilivyomjuwa JPM naakili yake utakuta alitaka ajulishe wtz na wa afrika nini inaendelea lakini hawakufanya ivyo kwa7bu alikuwa hajiwezi tena jamaa alikuwa anawindwa na mabeberu juu chini maana alikuwa tishio (asa,pale waliposikiya wanainchi waenza claim aongezewe mda waona waongeze speed yakummaliza haraka sana) na ata ikulu wapo vibaraka mule mule wanausika...mbwa nyie kwakila alieusika MACHOZI YA WA TZ (asa maskini) na WA AFRIKA KWAUJUMLA IWEJUU YENU NA KIZAZI CHENU mbwanyie😭
Visasi ni vya bwana
We cry with you Tanzania. Be comforted.
Can't control my tears😭😭😭rip baba,we loved u
Very sad indeed Wambui
This clearly shows that how the president was love by his people and it shows that, he works for his people rest in peace Dr John Joseph Pombe Magufuli.
😭😭😭 we'll always love 💕 you MAGUFULI babaah❣️💖
the song background make me cry😭😭😭😭
This is sad I loved you 😭😭😭😭 good leadership in East Africa
Safiri salama Daktari Mugufuli 😭😭 ...we have lost a strong great leader😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭🤔🤔🤔sitak kuamin mimi kama utani vile
Oh my God..it's so painful to watch😭😭...rest easy Dr John Magufuli
Inauma aki kama mimi ni mkenya na inanitoa machozi vipi watanzania jamani 😭😭😭😭
💔😭😭Tumepata hasara kubwa San, lakini hutuna budi🙏 kumshukuru Mungu amemchukua kiumbe wake.🤲
Tunaombea Tz Rabbana tu
Acha tu nimtihani sana
@@jonathanngwira9585 kweli
That song hit soo hard😭😭🤧😭
Jamani haya maumivu yatapona lini mhh!! Mungu baba tunakuomba umpokee rais wetu magufuli na akawe miongoni mwawatu wema tulimuona kama kashushwa kutoka mbinguni kuliokoa taifa letu leo atukonae tunalia sana😭😭😭😭
Mi sijawahi kupona asee kila nikiona hizi video nalia .
Hii iwe funzoo kw Marais wote w African n dunia nzima hakika ulipendwa MAGUFULI ,kila ninapo kutana n picha yke natokwa n machizii 😭😭😭Ewee Mollah mpee kauli njemaa alijali sana wanyongee🇰🇪🇰🇪🇰🇪💔💔💔💔😭
Jinsi gani alivyokuwa na samani ,,,ukiona watu wanakulia ivi ,japo awakujui wanakujua kwa kukusikia bas akika pepo inakusubili roho yako ikatulie baada ya siku chache,
Jaman pakaa watuu wana simia Eee Mungu zaidi yaupendo 🙏🙏🙏😭pumzika kwa amani dady na poleni sana Tanzania 😭😭😭😭
😭😭😭😭😭
This clearly shows how the president was loved by his people...no doubt a good leader of all times...R.i.p Daktari
Poleni sana 😭😭🇰🇪🇰🇪
Asante rafiki
Poleni poleni ndugu zangu wa tz mm mkenya ukweli ni machungu umenitowa machozi mwenyezi mungu awape subira na afrika yote hapatatokea raisi kama jpm Alijali maslahi ya wanyonge mungu ailaze roho yake pema peponi ameen 😪😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Sijui n nani atajitokesa afrika nzima awe kama magufuli rahis aliye chitolea kulinda watu wake na raslmali zao tafadhali watanzania musifuate ujinga wa watu kama Tindu Lissu
He was a real good man the best caring....hata Mimi yaniuma Sana😥😥😥
u guys are still adarmant.....hebu valieni barakoa!!
Vaa wew Tena mtuache na nchi YETU nonsense
Huyu Raisi roho inauma Sana Sana 🇹🇿💔💔😭😭😭😭
Ooooh akika wewe ni mungu baba
I can't hold my tears
Oh my Godness
Mungu awapee nguvu watanzania 😭😭😭it is well
It's hurting am crying!!!!🇰🇪🇰🇪
From Ghana, sending you LOVE. Rest in peace, Mr. PRESIDENT
Mungu atutie nguvu watanzania wote tulimpenda lkn mungu amempenda zaidi
Pole Sana Africa ya mashriki
I would like to express my deepest condolences on the death of the President of tanzaniya, and It is my prayer that God will give comfort to the people and give you a good upcoming leader for Tanzania.
Ermias Getachew
from Addis Ababa, Ethiopia 🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹
His déath has affected many.....i present kenya. Rest in peace baba
MUNGU awatie nguvu hakika it's so painful I can't hold my tears 😭😭😭😭😭😭 rip baba
Mungu upo nasi amina
Nikitizama mimi murundi jinsi inanitowa machozi vipi wa Tanzania jmn😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Inna lillahi wa inna lillahi rajin, rip Magufuli, we shall also follow in shaa Allah may Allah grant you Janna
We love you but God loves you more may your soul RIP,😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu awatie nguvu 💪 ndugu zangu watanzania 😢😭😭💔💔
Mungu tutie nguvu magufuli tulimpenda sana sisi wakenya
Poleee afrika yetuuu
Buriani Baba yetu kipenzi JPM 😭😭😭😭💔😭
God console Tanzania.
May his soul rest in peace,poleni sana watanzania.
Tusame mungu😭😭😭😭🧎♀️🧎♂️🙏🙏🙏
So painfull😭😭
Lala salama Baba etu, uende salama tutakukumbuka sana. Mda mchache ila uliyofanya ni makubwa. Ulale salama usingizi wa milele. R.I.P OUR PRESIDENT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI 😭😭😭😭😭😭😭😭
Poleni sana 😭tumuombeeni dua jaman
Inauma Sana
RIP MAGUFURI 😭😭😭😭😭😭
Rip president of Tanzania sorry of your loss out side of country
Polen Sana mungu at2tie guvu
Upumzike baba, mtetezi wa wanyonge. Sijawahi kufikiri kama siku hii ingefika. Rest easy king.🙏🙏🙏
Hakika Inauma Sana 😢😢😢
🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanalia ama wanajifanya
Mungu akulaze maalapema jembe letu umetuachia pengo lisilo zibika hakika tutakukumbuka daima
c mungu amuamushe aki😭😭😭😭
😩😩😭😢😭😭Ee Mungu Wangu
Condolences to you our brothers and sisters
Dah
Tunaona kama ndoto 😭😭😭
Ukiona watu waki sly don't think nimchezo late magufuli ni kipenzi cha watu all African
Jmni mbona Kam ndoto vile😭😭😭😭😭😭😭
Kabisa😭😭😭
😭😭😭😭
Eeeh mola tupe subra kipindi hiki kigumu😭😭😭 kenya tunakulilia africa tumekosa kiongozi😭😭
Uganda is crying with you
What a sad moment may his soul rest in peace
Magufuli amka uone watu walivyokupenda baba😭😭😭😭
Nakumbuka ilikuwa tarehe 28 October 2020 siku ulioapishwa duh buriani Magufuli mola alikupenda zaidi
Actually it is very sad moment 😭😭😭😭
R I P 😥😥😥
Mungu watie nguvu wakati huu wa manjonzi Ww simama na watanzania,, maana ww ni Baba wa yatima na wajane,,,uliwapa na umejchukua. Twakushukuru kwa kila jambo.
Pumzika kwa amani raisi wetu Mpendwa.Mungu akurehemu na kukupokea daima tutakukumbuka 😭
💔💔💔
Polenisana wapedwa
Sikitiko kueli jamani 😭😭😭😭🤭
SubhaAllah 😭😭😭🙏💔🇹🇿
So sad...Rest in Peace Mr president
Poleni xana familia 😭😭😭
May his soul Rip
Siamin
Poline
MAGUFULI jamaniiiii, tuliyonufaika na utawala wako ndo tunaumia jamaniii
My heart is broken
😭😭😭😭💔💔💔
th-cam.com/video/n4VkD1LJMPg/w-d-xo.html
Baba RIP
oooh my God😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Rest in peace great son of the African soil
Paix à ton âme