@@igurusitv6553Sawa Bosi mungu Awe nawe kila siku. kumbuka akuna mungu wawili katika huu ulimwengu. Ni sisi ndio tunaweka utofauti kati ya mungu na mitume yake. Hona mungu anavyo tuhumbuwa kila siku pasta wauhongo wanaimbuka na stori za kutengeneza inshallah mungu hatuepushe tuwe na neno moja kuwa mungu ni mmoja tuuuu
@@hilalymajariwa4171 MUNGU aendelee kukutunza, siku moja utaijua kweli ya Yesu na kinywa chako kitakiri ya kwamba ulichelewa kumjua YESU Kama Bwana na mwokozi wa maisha yako
Wewe kama uwamini na kuamini dini yako amini usikae ukauponda ukristo dini yako ndiyo ya kisilmu ni kuabudu majini na shetani ndiyo baba yenu wa umwongo
Wachawi ni watu wapumbavu Sana na hawana nguvu kihivyo thus wakoloni walimudu kuwatawala waafrika pamoja na uchawi wao. Uchawi una nguvu kwako ukiwa na hofu.
Kaka unateseka na nini? Unatakiwa uamini kwamba Yesu Kristo ni Bwana Hapa siyo kusambaza ushilikina bali ni injili ya Yesu Kristo inahubiliwa kwa njia zote!!😅
Davista uislam unakukosesha raha n amani Dunia utaiacha na uislm utaendeea kuwepo, fanya yako na kaungane na mlokole mwenzio wa magu... Asilimia kubwa ya watoa ushuhuda yani Walio kuwa washirikina humu sio waislm hata,, ila kuna anaekosa raha na Hilo... ima analazimisha ku involve uislam
@@joshuatalu9596 three years hapo ndio certificate,miaka sita ni diploma,miaka tisa ni degree,mastaz miaka kumi na mbili,phd miaka kumi na nne. Kwahyo umefuzu kwa ngazi ya cheti. Ngoja mimi ninayejishughulisha na masuala ya education hapa davista mata nikutafutir cheti. Karibu sana🐵
Mimi mchawi akija usiku huwa nawamwagia moto wa Yesu huwa nasema natuma mishale milioni 60 y a moto wa damu ya YESU SAsa mishale m60 utapona kweli.
Hiki kipindi cha wakristo kila siku mambo ndio haya haya mbwana yesu, hata na watu wanao fanya ushuhuda ndio watu wale wale kila la kheri wanao hamini
😂😂😂😂😂 nenda wewe muislam ukahadithie🤣🤣🤣🤣. Yesu yupo na anaokoa, acha ubishi hakuna Jina lipitalo Jina la Yesu, uislam ni sehemu ya uchawi wenyewe
@@igurusitv6553Sawa Bosi mungu Awe nawe kila siku. kumbuka akuna mungu wawili katika huu ulimwengu. Ni sisi ndio tunaweka utofauti kati ya mungu na mitume yake. Hona mungu anavyo tuhumbuwa kila siku pasta wauhongo wanaimbuka na stori za kutengeneza inshallah mungu hatuepushe tuwe na neno moja kuwa mungu ni mmoja tuuuu
@@hilalymajariwa4171 MUNGU aendelee kukutunza, siku moja utaijua kweli ya Yesu na kinywa chako kitakiri ya kwamba ulichelewa kumjua YESU Kama Bwana na mwokozi wa maisha yako
Wewe kama uwamini na kuamini dini yako amini usikae ukauponda ukristo dini yako ndiyo ya kisilmu ni kuabudu majini na shetani ndiyo baba yenu wa umwongo
Wa pili Leo🔥
Sema ndo tulikuwa tunakula. Sio nyama ndo tunakula ukisema hivo inamaana mpaka Sasa unakula nyama za watu!!
Najifunza Jambo shuhuda zinaokoa Yesu anatisha Sana ukombozi wake ni wa kibabe huyu Yesu! Ni Mungu mwenye nguvu hakuna mfano wake.
Story za kutungwa jamaniiii
Wachawi ni watu wapumbavu Sana na hawana nguvu kihivyo thus wakoloni walimudu kuwatawala waafrika pamoja na uchawi wao.
Uchawi una nguvu kwako ukiwa na hofu.
Mimi mchawi huwa sisemi sijui toka, shindwa, vunja huwa naua kabisa
Ushuhuda mkubwa sana huu
Huyu kijana ananguvu za mungu Kwa hakika 🙌🏼🙌🏼🔥
Mchungaji unataka kusema tanzania wachungaji asilimia gapi ?% wanatumikiswa na mapepo ?🇹🇿🇬🇷
Sikweli
Tamdhiria za wakristo wanajuwa kutuga vizuri
Aibu kubwa kutawanya mawazo ya kishirikana kwenye mitandai ya jamii
Kaka unateseka na nini? Unatakiwa uamini kwamba Yesu Kristo ni Bwana Hapa siyo kusambaza ushilikina bali ni injili ya Yesu Kristo inahubiliwa kwa njia zote!!😅
Davista uislam unakukosesha raha n amani Dunia utaiacha na uislm utaendeea kuwepo, fanya yako na kaungane na mlokole mwenzio wa magu...
Asilimia kubwa ya watoa ushuhuda yani Walio kuwa washirikina humu sio waislm hata,, ila kuna anaekosa raha na Hilo... ima analazimisha ku involve uislam
Rudi kwenye shuhuda ya kijana alieua watoto 16000 pitia comments utaona hilo swali nimeulizwa
@@DavistarMataMediaDM davista chapa kazi achana nae
3 years nikifuata @Davistar Mata .Nahitaji cheti cha kufuzu.