Amejishtaki kwamba karudi uchawi akiwa bado kanisani alafu mkakatisha na kubadilisha story... Pia alionekana kama ambaye kashtuka .. Sielewi!!... Wapo wengi wao ambao wanatoa hizi shuhuda sio kwamba wametoka na kuokoka, ila wanatumika kwa shuhuda zao kushinikiza watu kuwaamini na hapo ndipo wanapoingia katika mitego ya kishetani... Mungu halali, bali anawatizama tu
MZEE WAKO KAWALAWITI WATU SANA KIMAZINGALA ANGEMUOMBA MSAMAA MUNGU AMSAMEE MAZAMBI YAKE YOTE ALIYOFANYA APO MBONA UMETUCHANGAYA MCHAWI ANAINGIA KANISANI???🇹🇿🇬🇷
Sio kila kanisa ni la Mwenyezi Mungu au mwanzilishi n Mungu,Kama kuna wachungaji wachawi, Nabii wachawi etc,Vile vile kuna wafuasi wachawi wamejaa kanisa sio ajabu
Hallelujah Hallelujah search amazing testimony thank you servant of JESUS CHRIST......GOD bless you so much
Amejishtaki kwamba karudi uchawi akiwa bado kanisani alafu mkakatisha na kubadilisha story... Pia alionekana kama ambaye kashtuka .. Sielewi!!... Wapo wengi wao ambao wanatoa hizi shuhuda sio kwamba wametoka na kuokoka, ila wanatumika kwa shuhuda zao kushinikiza watu kuwaamini na hapo ndipo wanapoingia katika mitego ya kishetani... Mungu halali, bali anawatizama tu
Kama Mungu anasamehe watu wa namna hii ,Binadamu Wewe Ni Nani ukosewe na usisamehe
Davistar ingia maombi. Hiyo spirit ya kuingililia watu inakufuata.
Amina Amina Amina Amina
Mmmm 👀👀👀mara ya 3 ukianguka na kusimama
Ndo maana shetani anawaita wachawi wapumbavu, sababu wanafanya mambo ya kipumbavu
Mbona story nyingi tunasikia ulimi unakatwa chini katika kikamba cha ulimi chini wewe unasema vingine ?
Huwa hawakatwi ulimi ila kuna mmoja alisema kuna dawa wanawekewa na ulimi unaisha kama ice-cream
Lkn pia uchawi ni mpana sana kama upo makin na story za hapa bas utaelewa coz kila mchawi anakuja na story yake tofauti
Uko uchawi tofauti Mara milioni
KILA mchawi ana namna yake ya ukataji ulimi
MZEE WAKO KAWALAWITI WATU SANA KIMAZINGALA ANGEMUOMBA MSAMAA MUNGU AMSAMEE MAZAMBI YAKE YOTE ALIYOFANYA APO MBONA UMETUCHANGAYA MCHAWI ANAINGIA KANISANI???🇹🇿🇬🇷
Wengi Sana,kanisa ni jengo tu what matters ni Imani yako thabiti na Mungu wa kweli
Yaap
Sio kila kanisa ni la Mwenyezi Mungu au mwanzilishi n Mungu,Kama kuna wachungaji wachawi, Nabii wachawi etc,Vile vile kuna wafuasi wachawi wamejaa kanisa sio ajabu
Kanisa ni jengo kwann asiingie
Jiulize kwann jumamosi uitwa ni siku ya wachawi. Jumamosi ndio siku wachawi wanaloga makanisa Ili jumapili watu wasisikie mafundisho