SIRI ZA KUSHINDA MADENI | MWL. ONESMO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Huduma ya MBINGU DUNIANI inapatikana NGULELO ARUSHA TANZANIA chini ya Mtumishi MWALIMU ONESMO UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA NAMBA HII +255 743 404 043
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / onesmo.oyakhilome
    Follow our Instagram: / mbingu_duniani
    Subscribe our TH-cam:
    / @mbinguduniani
    Mbingu Duniani FM : onlineradiobox...
    #MwlOnesmo #Mbinguduniani #kumilikiMilkiZangu

ความคิดเห็น • 23

  • @user-dj7gr1gu7h
    @user-dj7gr1gu7h 5 หลายเดือนก่อน

    Ninamshukru sana MUNGU kwa ajili ya kumtuma mwalim onesmo hakika ninao hushuhuda mkubwa sana

  • @joycetemu9383
    @joycetemu9383 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba niondolee roho ya madeni kwenye fedha na uchumi wangu kwa jina la Yesu Kristo.Amen.

  • @joycelaura4611
    @joycelaura4611 5 หลายเดือนก่อน

    JESUS Nimejikuta nikicheka jmn km mazuri watu na miayo na hasira...Mungu nisaidie miayo iondoke kwangu

  • @hoisiacharles6180
    @hoisiacharles6180 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba niondoe kwenye roho ya madeni

  • @lydiapeter878
    @lydiapeter878 5 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂Mwl hapo kwenye fungu la kumi umetupata

  • @collinslyimo448
    @collinslyimo448 หลายเดือนก่อน

    Ameeen 🙏

  • @user-oe1gq7gq6c
    @user-oe1gq7gq6c 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu niwezeshe kshinda roho ya madeni

  • @joycelaura4611
    @joycelaura4611 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu asante kunikutanisha na ibada hii

  • @JasmineMnubi
    @JasmineMnubi 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Mungu umeniondolea roho ya madeni sasa naomba Mungu wangu unipe nguvu ya kuwalipa wote wanaonidai nina imani kubwa nitamaliza madeni yote.

  • @korogwefinest
    @korogwefinest 5 หลายเดือนก่อน

  • @JophinaPatrick-pm2qu
    @JophinaPatrick-pm2qu 5 หลายเดือนก่อน

    Kwakwe ifke sehem ukweli usemwe mahubir yaleo yamepenya kwangu yananihusu cpend kutoa fungu la kumi lkin leo nimetoa namungu aniwezeshe kila sehm ya mshahara wang nimpatie mungu haki yake

  • @feykimaro4615
    @feykimaro4615 5 หลายเดือนก่อน

    Eeeeeh Mungu nipe kibali cha kukutana na MTUMISHI huyu...naaamini madeni yangu YOOOOOOOOOOOOTE yataisha

  • @lydiapeter878
    @lydiapeter878 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu kwa ufunuo huu naamini ninatoka kwenye madeni haya....

  • @dativavernance7111
    @dativavernance7111 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba niondolee roho ya maden kwa jina la yesu kristo

  • @jastinnkya
    @jastinnkya 5 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @dativavernance7111
    @dativavernance7111 5 หลายเดือนก่อน

    Amne

  • @MeckitilidaTushabe-or9hu
    @MeckitilidaTushabe-or9hu 5 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏

  • @BenadetaBenangodi
    @BenadetaBenangodi 5 หลายเดือนก่อน

    Mwal fungu la kumi unatoa kwenye sehemu ipi ya mashara ni ile net salary au ile take home

  • @BenadetaBenangodi
    @BenadetaBenangodi 5 หลายเดือนก่อน

    Mwal fungu la kumi utoa sehemu ipi net salary au take home

    • @GabriellaSitayo
      @GabriellaSitayo 5 หลายเดือนก่อน

      Mimi sio mwalimu lakini Huwa ni Net salary ile ambayo haijakatwa tax bado rafiki kwa sababu malipo yote ya serikali yanafanywa kwaajili yako, pia insurance ni kwaajili yako , tuseme mfano nssf ni kwaajili yako hivyo malipo ya serikali yanafanywa kwaaajili yako ni malipo yako, net ni hela yako halali na imegawanyika, so it means kama sio wewe hiyo net payment usingepata. So ni asilimia kumi ya net salary not gross. mimi ndivyo ninavyojua.

  • @BenadetaBenangodi
    @BenadetaBenangodi 5 หลายเดือนก่อน

    Mwal fungu la kumi utoa sehemu ipi net salary au take home

    • @joycelaura4611
      @joycelaura4611 5 หลายเดือนก่อน

      10% MFANO LAKI MOJA UNATOA 10,000, LAKINO MOJA NA NUSU UNATOA 15,000