JINSI YA KUONGEZEKA KIFEDHA | MWL. ONESMO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @Josephmolleli
    @Josephmolleli 3 วันที่ผ่านมา +1

    Amen 🙏

  • @JovenaSinda
    @JovenaSinda 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki mwalimu nimejifunza kuwa unapaswa Kuanza na kidogo ulicho nacho

  • @MaryPlasidi
    @MaryPlasidi 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu azidi kukupaka mafuta mabichi mwalimu nimejifunza kwamba unatakiwa uwe na milango mingi ya mapato

  • @EliambuyaMkony
    @EliambuyaMkony 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi wa mungu kwa namna unavyotujenga kiiimani

  • @PeacePallanje
    @PeacePallanje 3 หลายเดือนก่อน

    Nimesaidika kuliko maelezo kwenye eneo hili la fedha tangu nijiunge Mbingu Duniani. Barikiwa mno mtu wa MUNGU.

  • @EliambuyaMkony
    @EliambuyaMkony 3 หลายเดือนก่อน

    Haleluyaa mtumishi wa mungu

  • @VicentSadick
    @VicentSadick 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu huvutiwa na wanao THUBUTU
    Kutotoa ni kutokumwamini Mungu.
    Ukuu haupo kwenye kutoa upo kwenye kutoa
    Kila utoaji ni Mbegu.
    Usitake kuvuna Mavuno ambayo hukuwahi kupanda. Hivyo huwezi kupokea Fedha ambayo hukuwahi kupanda/kutoa.

  • @LowasaLucumay
    @LowasaLucumay 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi 9:28

  • @sarahjoseph-s8n
    @sarahjoseph-s8n หลายเดือนก่อน

    Mafundisho mazuri sana

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 หลายเดือนก่อน

    Amen❤

  • @anthonylaban4943
    @anthonylaban4943 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni Abba father to us.... Nimepata neno langu

  • @OmaryMwamlima
    @OmaryMwamlima 5 หลายเดือนก่อน +1

    hakika najifunza mengi❤

  • @NeemaSteven-or4zr
    @NeemaSteven-or4zr 4 หลายเดือนก่อน

    Najiambatanisha na somo la leo nan nikazidi kuongezeka

  • @BernardSilayo-y3l
    @BernardSilayo-y3l 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika mungu duniani ni majibu yetu amen

  • @cathymlay2916
    @cathymlay2916 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika nisiri kubwa mungu akutunze zaidi azidi kukuongezea maarifa

  • @SalomeJohn-ur2ls
    @SalomeJohn-ur2ls 5 หลายเดือนก่อน

    Amen hakika nimejifuzaa fumbo kubwaaaaaaa kweny maishaa yng
    Mungu akubariki mtumishi

    • @ElishaBenson
      @ElishaBenson 5 หลายเดือนก่อน +1

      2:22:09 Amina sana Baba yangu nakupenda sana toka nime anza kuku fatili najivunia wewe kuwa baba kwangu Asante Sana Mungu WANGU

  • @OmaryMwamlima
    @OmaryMwamlima 5 หลายเดือนก่อน

    hakika najifunza mengi