TAREIKH YETU MSIMU WA KWANZA (SILSILA 7): Nyakati na Maisha ya Sayyid Barghash bin Said - Part 1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 มิ.ย. 2020
- Sayyid Barghash bin Said Al Busaid alikuwa sultani wa tatu wa Zanzibar na hadithi ya maisha yake kabla na baada ya kuwa sultani imejaa visa vya kusisimua. Ndiye alama ya kile kilichokuja kufahamika baadaye kama 'Mwamko wa Zanzibar' kwenye maendeleo ya uchumi, teknolojia na ustawi wa zama hizo.
Ni simulizi nzuri keep going
ASSLAMALAKUM MASHAALLAH I LOVE ZANZIBAR I AM LUVING IN 🇬🇧 I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA BUT I STILL LOVE ZANZIBAR FROM BOTTOM OF MY ❤ HEART MY PARENTS FROM ,ZANZIBAR BUT I AM BORN IN KENYA 🇰🇪 MOMBASA .I LOVE ZANZIBAR AND PEOPLE OF ZANZIBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Thank you very much I was looking for history of sayid barghash he was great leader .
Ni simulizi zuri sana kuhusu maisha ya wafalme. Ni muhimu sana kuchukuwa mfano mzuri kutokana na historia yao na sisi vipi tutaweza kunufaika kutokana na historia hii iliojaa simulizi.
Assalam alaykum Mussa kutoka Zanzibar naomba historia ya Zanzibar kabla na baada ya mapinduzi
Assalam aleiykum .tunawashukuru
Saanna kwa simulizi hizi
Tunafaudika sanaa
Mapambano yanaendelea
Dah!Sim mchezo
Lakini muda mdogo sana
Historia nzuri ya Zanzibar makosa makubwa yaliyofanywa na hao watawala wa al-Busaidi kuwaamini waingereza katika mambo ya ulinzi na hapo ndipo walipo wafikisha ni wanafiki wakubwa hawa wazungu nchi imepotea mali zimepotea pia roho zao zimepotea
Ongelea na biashara ya utumwa
Jee Al mabusaid ndio kabila waliotawa pekeyao au kuna kabila jengine lililo wahi kutawla zanzibar ? Kuna habari kuwa mazuruwi ndio walio tawala kwanza kabla ya albusaidi jee yanaukweli?
Mazungumzo matamu sana