Big up san founder Tz 🎉🔥💯 Kwa wenye vision ya mbal,tunamuona mrithi wa Diamond platnumz......Big up sana Tale Kwa kutuandalia Almasi Founder......God bless you all
Dogo Mungu akutanguliye Kutoka kambini Nyarugusu hadi DSM na bado mambo yako good... Pambana,tangaza jina la Nyarugusu waambiye vipaji ni vingi mno kule niliko tokea ....❤
Wasanii wengi wamezamia kwenye amapiano siku hizi...ila mkombozi wa bongo flavour ndie huyu sasa,anairudisha bongo flavour kwenye ramani.. @foundertz ukazie hapo...tuko nyuma yako dogo, much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama Unaamin kwamba Huyu Dogo Anakipaji Kikubwa Like Hapa
Seach true bright team❤❤❤ support
@@AllanKevin-xj5oiNic
Huyu Dogo Ankuja nabaya Yaani ameshinda hadi D-Voice Kama Unaamini nikweli Weka like ❤❤❤❤
Kama unakubaliyana namimi kwamba dogo huyu ni king wa kizazi kipya, gonga like zangu hapa chini☀️
Tunaosema founder Tz ni Bora kuliko Dvoice like zenu apa❤
Huyu sasa ndio wasafii inge sign, kama unaamini gonga like, niko na ngoma mpya njooni tu support
Umli wa kusainiwa Bado hajafikia
Mpaka miaka 18
Asome kwanza
Plz seach true bright team❤❤❤ support share
Dogo ubarikiwe na kazi zako unajuwa kweli kweli 🥳🥰😳😳🥳🥰🥳
Jameni comment kwangu all the way from Kenya 🇰🇪 👏
Huyu dogo nimashine sanaaa kama na ww unaamini kama mm like hapa✌️
Kama unaaamini huyu dogo anajua ngonga likeee hapaa🎉🎉🎉🎉
Nimewayi ndungu zangu naomba like zangu nawapenda sana from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Bjr 🇨🇩
True bright team❤❤❤ inahitaji support zenu
Mimi ni kaka yake ya fonder tz Naomba like moja kutoka kwa fonder 😢😢
Kuja
Kipaji hiki hata huyo D voice hamfikii ❤
Hongeraa kwakuni tajaa faundaa weee nakupenda tuburee elaaulipatia hii song mm ndio waniige mfanoo😂😂😂😂
#foundertz WE ni hatari🔥🔥🔥👋🤝🤝🤝💯💯✌️
Mkono wa BABUTALEE❤❤❤.....the next diamond 💎💎💎
Mungu akujalie afya njema na Furaha ndani ya moyo wako. Hongera sana ❤️❤️❤️❤️❤️. Kweli hiki. Kipaji. Ngoma kali hongera sana mdogo wetu. From. OMAN
Mashaalah mungu ni mwema. Hongera sana❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Dogo nikiangalia miaka yake na maneno anayoyasema ni vitu viwili tofauti hapa kipaji kipo kabisa❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kama unahihisi hii ndio kazi alosimamia MH BABU TALE like apa bonge la ngoma🎉🎉
Kweli Kabisa
Kama umeiskiza zaidi ya mara 2 gonga like
Keep going 🎉
Saech true bright team❤❤❤ support
Kama unaamini dogo anajua kumzidi D voice gonga like tujuane..👍
D voice anajua nn lbda kumkopa mungu
Kwa nini d voice jamani 😂😂😂😂😂😂
Founder angepelekwa shule ya kusomea Muziki sio akasome mambo ya 'What is Physics?' 😂😂 wanampoteza bwanamdogo.
D vpice kaingiaje hap ,ww unjuw nn kumzid d voice kam sio kufil,ach ung'ng' utaliw
@@PauloDoo-gy5fcapana acha asome kwanza😂 bwana mdogo wako
Big up san founder Tz 🎉🔥💯 Kwa wenye vision ya mbal,tunamuona mrithi wa Diamond platnumz......Big up sana Tale Kwa kutuandalia Almasi Founder......God bless you all
Nimuona uyu kama vile diamond wa mupya ❤❤❤❤
Your future is bright ! Mungu aendelee kukujali akuepushe na mengi ya duniaaa uje kua mtu mwema sana kwa familia na jamii yako
Much love from Messi kadenge 254🇰🇪🇰🇪Kenya always💯🌟💪🙏
Niko kenya wapi like zangu hapo tunampenda dogo huyu
Yaani na ukali wake..🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi kubwa sana
Wakwanza nipen like zanguu. ....
Sema dgo anawez sana🔥🔥🔥
Ila huyu dogo nihatari❤
Unajua kuimba na pia waenda mbali dogo,,,congrats
kazi Safi gonga lyke twende sawa.
Uyu mtoto ana kipaji kweli love from Kenya bro keep going we love you so much
another hit from My g
Tuliorudia mara mbili hii ngoma gonga like hapo😂😂
Dogo Mungu akutanguliye
Kutoka kambini Nyarugusu hadi DSM na bado mambo yako good...
Pambana,tangaza jina la Nyarugusu waambiye vipaji ni vingi mno kule niliko tokea ....❤
😮wakwanza mm nipewe like zangu
Ambao mnakubali kazi za huyu dogo tujuane Kwa Like 🥰 na pia tumpe Maua yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yeye huyoooo huna baya nyimbo nzuri hongera new boy
Founder tz❤ i like it zabibu ❤nimtu wangu je unaruhusu anipende❤
Mze nini kk
Wasanii wengi wamezamia kwenye amapiano siku hizi...ila mkombozi wa bongo flavour ndie huyu sasa,anairudisha bongo flavour kwenye ramani.. @foundertz ukazie hapo...tuko nyuma yako dogo, much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Zambia kuchaloooo tunakupenda saana mwana
Hongera
Wagwan wagwan Dogo ..doba ni Kali sana .unyama ni Mwingi mwanagu ....Dogo Titoh from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kenya
Keep going brooo nmependa nyimbo zako cz zinafunzo kwa jamiii...endelea broo
Nan amegndua producer wa hii Ngoma n mkali Trone $ lizer classic
Huyu ni star siku zote humu duniani!!! Much love from 254
MFANO 🔥 🔥 ❤❤❤
Naomba like zangu. Leo mi ni wakwanza
Huyu nyota ime'ngaa❤❤❤
Yaaan huyu dogo anakipaji kweli,,,like kama unapenda Ngoma zake tafadhalini
Kukubali sana dogo endelea kuchapapa kz
Nk, 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Daaaaaaah 🤔🤔namuona mbali sana Huyu dogo mpeni nyingi❤❤❤❤❤❤🎉
Alie ipenda ngoma ya founder akiwa shule,chuo like zenu
Uyu dg anajuwa sana❤
Founder tz Big up mdogo wangu 👏❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 much love from America I'm here for founder Tz
Leo nimechelewa ila kama una mkubali founder tz gonga like zenu from burundi 🇧🇮
Nahomba sapoti zenu artist from Zambia camp
true boys music
My band
Cheking in youtobe
Niko wakwanza like zamingi jamani
Seach true bright team❤❤❤ support
from +254 mombasa kenya ngoma ina vibe kama lote naona cjachelewa like zenu wanaharakati
Top top song.... Chibu chukua dogo huyu
Sasa n consistency tu👌
Mimi uyo ❤❤🎉
🙌🙌🙌🙌🙌💥💥💥💥💥💥💥💥...... ngoma kaliiiiii...
Wow this boy gat talent🎉🎉🎉❤❤ more love from KE 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakwanza hapaaaaaaaaaaa ❤❤❤
Kamalizia kama kawa
Amerudi n hit walae🔥🔥🔥💯
Wakwanza hapa❤❤
Mjomba wangu foundertz aiseee dada angu amezaa faida sio hasara
#unajuaa kijana kazi nzuriiii
Hatari sana kwa dg huyu 🎉🎉❤❤🎉🎉
Kali sana hiyo
Nakukubali sana toka mwanzo
Keep Going Dogo anajua
Dogo unaupiga mwingi🔥🔥👌
Founder unajuwa sana aisee Mrithi wa Mondi
Kali sana founder TZ 🔥🔥🔥
Ngoma Kali huyu dogo ana kipaji
Amin dogo anajua so wa kumushindanisha na d voice
Big time mdogo wangu very talented
Team strong let's support this boy❤❤ ❤❤❤🎉🎉🎉more love from🇸🇦🇰🇪
Unyama mwingi found
Unsjua
Umejitaidi❤❤
Unaimba mpka wanyama na viumbe hai vyote vinafurahi,, 🔥🔥
Hacha ni kupe mauwa Yako kijan KAZI ihendele kweli 🎉🎉🎉🎉
Na mungu haku bless kweli katika KAZI Yako ya mziki
kaka hii nayo ni Moto 💯😘🔥 congratulations 🇰🇪
Nice❤❤
Kutoka makao mkuu ya east Africa Kenya 💯 Approved
Njooni mumsikilize dogo anaimba huku🎉🎉🎉🎉❤❤
Am always there for founder Tz from 254🔥🔥🔥
Wimbo huu ni moto, hongera @founder TZ ...Allah akibariki
Kazi nzuri
Brother Nakukubali😂🎉
Mash alhwa.. Dongo. Nakukubali! Mie.. Zanzibar.. Uje❤❤❤
Keep going 🎉🎉🎉
Toweni D Voice apo asainiwe msanii uyu
Ww Kama nan eb tutolee umasikini wako ap kashaur family yak
Wakwanza yani nimekumiss wemtot❤❤ yani nimeshituka😂😂😂 nakupenda san yani ningekuwa uko kwenu ningekusaka
Hatar sanaaaaa
Congrats from kenya 254
Uko vyema sana